kolelela
Senior Member
- Sep 2, 2013
- 173
- 33
- Thread starter
- #21
Ndg kukaa kimya ni njia ya kuepusha Shari na kupuza kunapunguza hasiraimagine umeingia ofisi fulani, umeenda mapokezi ili kupata info flani, ila huyo ambaye yuko hapo hakusaidii kabisa kibaya zaidi lugha yake inakera, mnazungumza wawili ila anapayuka kila mtu anasikia. MUNGU ananisaidia tu na hawa watu wa aina hii, natamani kuwazinguaga ila nashukuru nimeacha siku hizi.