Njia za kupunguza hasira

Njia za kupunguza hasira

Ila hasira mbaya sana, hakika ni kukaa mbali sana na mtu mliyetibuana ili tu usije ukaleta mengine. Nilishuhudia kijana mmoja alipandwa na hasira akawa anatetemeka mwili mzima kuanzia kichwa midomo, yaani kila kiungo. Aisee waliokuwepo walikimbia!!! Mwishowe alidondoka chini na kukaa pale kama nusu saa akaamka na kukaa chini!!! Sikuwahi kuziona hizo.
 
Kama una hasira,kaoge maji ya baridiiii na hakikisha unatumia si chini ya dakika 10 ukimiminikiwa na maji!
 
Kama una hasira,kaoge maji ya baridiiii na hakikisha unatumia si chini ya dakika 10 ukimiminikiwa na maji!

Mtu akikuudhi au ukipata hasira kwenye daladala unaenda ofsini,teremka ukaoge maji ya baridi,ukifika ofisini mtu au ukapata hasira,kaoge maji ya baridi,ukiwa unarudi hom jion konda akakuudhi teremka ukaoge,ukiudhka njiani,oga,ukifka hom mtu akakuudhi,oga maji ya baridi

kwa utaratibu huo utajikuta unaoga mara 20 au zaidi kwa siku,sijui hizo bafu za maji baridi unazipata wapi,inabidi utembee na mapipa ya maji,hii ni kiboko!
 
1.kunywa maji mengi walau lita3
2.kaa mbali naaliye kuuzi walau mita 300
3.kula chakula unachokipenda
4.imba nyimbo za upendo
5.kunywa juice ya Pili pili na limao walau glass 3

6. fikiria aliyekuuzi kapanda air MALAYSIA:nod:
7. Ongea na vidumu kwenye simu..huwa vinafurahishaga sana :eyebrows:
8. kama mnywaji, kanunue jameson whisky..keeps nerves calm balaa
 
Basi mi ni watofauti huwa ninalia sana ndo hasira zinaisha alafu nikitoka hapo nafanya kazi kama greda yani non stop alafu MTU asinisemeshe
 
Njia kubwa ya kupunguza hasira ni kuoga maji baridi.....ikifuatiwa na Kunywa maji mengi.... ni kweli.....Mtume Muhammad (s.a.w) amesema hasira zinatokana na Shetani ambae ameumbwa kwa moto..kwa io uzimeni moto huo kwa kutumia Maji....

Imagine upo kariakoo afu umeudhiwa balaa,utaoga saa ngapi??
 
Ila hasira mbaya sana, hakika ni kukaa mbali sana na mtu mliyetibuana ili tu usije ukaleta mengine. Nilishuhudia kijana mmoja alipandwa na hasira akawa anatetemeka mwili mzima kuanzia kichwa midomo, yaani kila kiungo. Aisee waliokuwepo walikimbia!!! Mwishowe alidondoka chini na kukaa pale kama nusu saa akaamka na kukaa chini!!! Sikuwahi kuziona hizo.

Kama ni boss kakuudhi afu mpo ofisi moja utafanyaje??
 
Back
Top Bottom