Ndg kukaa kimya ni njia ya kuepusha Shari na kupuza kunapunguza hasiraimagine umeingia ofisi fulani, umeenda mapokezi ili kupata info flani, ila huyo ambaye yuko hapo hakusaidii kabisa kibaya zaidi lugha yake inakera, mnazungumza wawili ila anapayuka kila mtu anasikia. MUNGU ananisaidia tu na hawa watu wa aina hii, natamani kuwazinguaga ila nashukuru nimeacha siku hizi.
Waamerika wanatakiwa kujifanya awaoni kinacho endelea
Mi zangu huwa zinakuja haraka mno, sipati muda hata wa kupractise hizo njia uzomensheni.1.kunywa maji mengi walau lita3
2.kaa mbali naaliye kuuzi walau mita 300
3.kula chakula unachokipenda
4.imba nyimbo za upendo
5.kunywa juice ya PILI na limao walau glass 3
Mihasira yangu ni ya tofauti sana
mfano, MAREKANI ina hasira sana na IRAN juu ya suala la nyuklia na matumizi ya mabavu kwa raia wake,
je, unashauri nini hapo?
Mi zangu huwa zinakuja haraka mno, sipati muda hata wa kupractise hizo njia uzomensheni.
Kuna formula nilipewa na ndugu ya ku count to ten. Hii ndio hunisaidia. Asee ukinipandisha hasira kabla sijachukua attention yoyote huwa na hesabu kimoyomoyo mpaka kumi hivo naweza kontrol hata kureply. Wadau tumieni hii inasaidi sana
Njia kubwa ya kupunguza hasira ni kuoga maji baridi.....ikifuatiwa na Kunywa maji mengi.... ni kweli.....Mtume Muhammad (s.a.w) amesema hasira zinatokana na Shetani ambae ameumbwa kwa moto..kwa io uzimeni moto huo kwa kutumia Maji....
1.kunywa maji mengi walau lita3
2.kaa mbali naaliye kuuzi walau mita 300
3.kula chakula unachokipenda
4.imba nyimbo za upendo
5.kunywa juice ya Pili pili na limao walau glass 3
Sio unjwe kwa wakati moja unakunjwa taratibu maji yanasidia kutuliza jazba na kutakasa moyo