jb87
JF-Expert Member
- Nov 23, 2012
- 250
- 449
Kumbe ili jukwaa halina maana????
Ingekuwa ni tatizo la kiafya angeenda jamii doctor,sasa mtu kashakwambia anatumika sana halafu bado anaomba ushauri kama huo, hayo ndio mambo ya vijana wa dot-com.
Kumbe ili jukwaa halina maana????
Ingekuwa ni tatizo la kiafya angeenda jamii doctor,sasa mtu kashakwambia anatumika sana halafu bado anaomba ushauri kama huo, hayo ndio mambo ya vijana wa dot-com.
Na wewe utakua dot.com upande wakufikir.kwasababu kama unawaza kutafuta pesa na mambo ya msingi bac ili jukwaa ukutakiwa upite kwasababu halikuhusu ..ILA WENGINE BAADA YA KUTAFUTA PESA NA MAMBO YA MSINGI UWA TUNATAFUTA SEHEMU YA KURELAX NA KUREFRESH MIND KAMA UMU NDAN ...
Habari za jumapili wadau.
Naombeni msaada wenu jinsi ya kuongeza uwingi wa sperm, Yaani siku hizi natumika sanaa kiasi cha kwamba ujazo wa bao umepungua mno nahisi hata gal wangu ashaanza nishtukia yaani uwingi na uzito umepungua mno. So kuna njia yeyote ile ya kuweza kuongeza hii kitu, mana raha ya mechi bao hasa ukifungia ndani ya kumi na nane.
Kwa hiyo na akili zako umeona hiyo topic ni ya kukusaidia kurelax? Halafu jifunze basi hata kuandika vizuri, kuweka paragraph ndio uje humu sio unajaa jaa povu kwa vitu visivyokuhusu!
Ili gal wangu asione utofauti coz zamani zilikua nyingi tu, Mkuu majukum ndo yanafanya nitumike hivyo.
Wambie basi mods waitoe, halafu kama ujaipenda Kwan ulilazimishwa kuisoma ..Mkuu jb87 Usipanic tuko pamoja its jus a forum