Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,832
- 4,888
pole sana jamaa yangu.pombe inatesa sana na mimi ni muhanga,hapa nilipo na comment huku natoa lock na kili baridi.karibu toroka uje kimara hapa tupige mbili tatu huku tukijadiliana namna ya kujinasua.daah pombe jamanimimi ni kijana nilianza pombe nikiwa kidato cha nne na nilikuwa nakunywa kawaida tu hata mwiezi mi nne ilikuwa inapita bila hata kuonja sasa nikaingi chuo na kuanza cheti na kupindi hicho nilikuwa situmi japo nilikuwa naishi na watu wanatumia siku moja rafiki yangu alininunulia sita sahau na nilikoma kuchanganya bia na konyagi nilizima nilishtuka ni asubuhi.
nikafanikiwa kuingia diploma hapo sasa nilivyo bahatika kupata kazi ya kusimamia pooltable nilianza kunywa ovyo nikishinda kamaritu basi ikatokea nikaanza kupenda pombe haipiti week lazima ninywe mara moja mbili.
(nafupisha)
sasa kwa sasa hivi nimekuwa napenda pombe kiasi kwamba haipiti siku sijatupia kiroba yani saizi bia sipendi napenda viroba tu na pia kila nikijaribu kusema niache nashindwa hata saizi confidence ya kuonge sina hadi nitupia na hata pia kutongoza inakuwa ngumu. na pia huwa natetemeka sana kupita kiasi kama nisipo kunywa siku mbili. nimejaribu kuacha lakini wapi.
jamani hakuna anaejua dawa ya hii kitu kweli maana nina malengo mengi sana. nisaidieni ana jf