Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,986
- 168,504
Mwangalie vizuri, begi lake limejaa minofu ya kitimotombona hivi, sasa mbona anakanyaga Vitabu Vitakatifu!?? Hii si ni sawa na kuikojolea?
haya majani huku pembeni yanatakiwa yafyekwe au kung'olewa.
Mbona huyo YESU ni mzungu
alikuwa ni myahudi na myahudi=mzungu
Sisi wabantu hatuhusiki katika lolote kama issue ni dini maana zote za wenzetu na rangi zao si kama za kwetu,zetu zilikuwa matambiko.Kwa hiyo sisi wabantu hatuhusu sio?
hapana,wanatuhusu,historically wote wametokea huku,,,,so ni descendants wetu hao weupe.......kuna thread humu inaelezea vizuri sana ila sikumbuki jina lake.....Africa,is where it all began.Sisi wabantu hatuhusiki katika lolote kama issue ni dini maana zote za wenzetu na rangi zao si kama za kwetu,zetu zilikuwa matambiko.
Kwani Yesu alikuwa NIGGA?Mbona huyo YESU ni mzungu
Kwani Yesu alikuwa NIGGA?
Kwa hiyo sisi wabantu hatuhusu sio?
mkuu sisi wachaga tulikuwa tunaabudu mlima kilimanjaro,lakini utandawazi umetutoa kule na kutuonyesha njia ya uzima,mzungu ndiye mwenyewe bana
Haya maana hata hiyo historia tumeandikiwa ila ukweli unabaki pale pale kuwa wabantu tulikuwa na mambo yetu na uzao wetu hauhusiani kabisa na wazungu na waarabu.hapana,wanatuhusu,historically wote wametokea huku,,,,so ni descendants wetu hao weupe.......kuna thread humu inaelezea vizuri sana ila sikumbuki jina lake.....Africa,is where it all began.
Aisee.....mungu wa kizungu sio?
Mbona huyo YESU ni mzungu
Mkuu kabla hatujaenda mbali toa msimamo wako,unaamini nini hasa katika Mungu,je wewe ni dini gani,halafu naomba kujua umri wako