hahahahaha atakuwa kala ndumu limemkolea kisha hana kitu mfukoni sasaDogo anajiita Sexer....kwi kwi kwi
Google biltong box.wadau naomba kujuzwa kama kuna njia ya kuchoma nyama bila kuwasha mikaa wala kuni, make jiko ninalotumia ni la gas mambo ya wali natumia rice cooker, gheto langu ni kali mno, la kibabe linang'aa sio la hadhi ya kuwasha mikaa, lakin sasa ninapenda mno nyama choma kuliko ya kupika hali inayopelekea nikitaka kula nyama lazima nikanunue kwenye mabar iliyochomwa tayari afu kwa bei za ajabu ajabu so naona napata hasara. bas bandugu naombeni mnisaidie kama kunanjia mbadala wa kuchoma mnyama ili niwe nachoma gheto natafuna. hasara sitaki tena
mkuu ni frampen tofaut na hiz za kukaangia?!
mkuu ni frampen tofaut na hiz za kukaangia?!
HIYO BREAD MAKER NITAIPATA WAPI MKUU JE INATUMIA UMEME AU GASView attachment 631735 chapati maker 220000
ndogo yake 140000View attachment 631735 View attachment 631738bread maker unaweka unga na vikolombwezo inakanda na kuoka mkate ukitoka hapo ni tumboniView attachment 631741 hii unachoma mahindi nyama nk bei poa see me kijana na unachokichoma hakikamati kwenye jiko .............. og from uk
HII NI UMEME OG FROM UK DEAREST NICHEK HII UNAWEKA VIKOLOMBWEZO VYOTE INAPONDA UNGA KISHA INAOKA UKITOKA APO NI KULIWAHIYO BREAD MAKER NITAIPATA WAPI MKUU JE INATUMIA UMEME AU GAS
WEKA BEI MKUU SISI WA MIKOANI HIVYO VITU NI ADIMUView attachment 634870
HII NI UMEME OG FROM UK DEAREST NICHEK HII UNAWEKA VIKOLOMBWEZO VYOTE INAPONDA UNGA KISHA INAOKA UKITOKA APO NI KULIWAView attachment 634860 View attachment 634860 View attachment 634861 View attachment 634862 View attachment 634863 View attachment 634864 View attachment 634864 View attachment 634865 View attachment 634866 View attachment 634867 View attachment 634868
Wattage yake ikoje?View attachment 631735 chapati maker 220000
ndogo yake 140000View attachment 631735 View attachment 631738bread maker unaweka unga na vikolombwezo inakanda na kuoka mkate ukitoka hapo ni tumboniView attachment 631741 hii unachoma mahindi nyama nk bei poa see me kijana na unachokichoma hakikamati kwenye jiko .............. og from uk
breadmaker ninayo inatumia umeme unapata mkate wenye vionjo utakavyo zinapatikana maduka ya vyombo na vifaa vya majumbani bei kama 250000 hadi laki 4 inategemeana na kampuniHIYO BREAD MAKER NITAIPATA WAPI MKUU JE INATUMIA UMEME AU GAS
Unauza Mkuu?Hiyo hapoView attachment 635410