Njia watumiazo wadada kuwataka wakaka

Daah, me kuna mmoja aliwahi kuja kuniambia kanipenda, kibaya zaidi kaka zake 3 wote walikuwa washikaji. Tena yule bro wake mkubwa alikuwa mshikaji wa damu.

Mwingine yeye alikuwa anamtuma beki tatu wetu. Huyo nilimtema, hata sijui kwanini tu. Huwa najilaum sana
 
*msalimie wifi

*siku hizi umenichunia hata salamu amna

*jana kuna mdada alikuw anakuulizia sana inaoneka unajulikana sana (hapa kakupiga kamba)

*fulani we katika maisha yako unapenda mwanamke wa aina gani (baharia hapa ukisema unapenda weupe wenye nyama alafu ye kimbaumbau utaona anatabasamu kinafki )

*mi muongeaj sana vipi nakuboa

*hujanimic

*naenda kupika nikuletee chakula

*naomba namba yako kuna kitu ntaomba unisaidie

*fulani inaonekana huna shobo na watu

*ila mwanamke atakayezaa na ww atazaa mtoto mzuri sana

*mbona sms unajibu kwa kuchelewa why.

___________________________________

SHIDA YA WANAWAKE
anaweza akawa amependa pua lako tu,macho tu,sauti yako (hasa zile za kina millardayo na wafanyakaz wake) au akakupenda kimuonekano
 
Ha ha haaaa
 
Nimeona sehemu, 1. Kujichelesha chekesha pindi unapokuwa nae, 2. Anapenda mgusane kugusane au akushike mkono au bega 3. Wivu akuonapo na mwingine 4. Kukutega zipo nyingi ila sijui kama zina work kweli 5. Wanapenda mawasiliano ya mala kwa mala
hiyo ya mawasiliano ya mara kwa mara sidhani , it doesnt work fro me sema anataka umliwaze akiwa idle akipata mwenye moyo unapenda unakaa sub
 
Ok. nimeelewa. nadhani hadi mwanamke kufika hatua ya kukuchukia anakuwa amekupenda kweli kweli.
Sidhani Mkuu nafikiri ni hisia zao tu kumbuka hawa wenzetu wameumbwa tofauti kidogo kwa upande wa hisia.

Manake hata mke wa mtu anaweza kukuchukia tu bila sababu, Je, amekupenda kwelikweli huyo???

Nachofikiri anaweza kuchukia akidhani labda umemdharau ama umeona hajakidhi viwango so humfanya afeel insecure kumbe muhusika akutilia tu maanani ama hakuelewa somo.
 
By my experience alinionesha ishara zote mimi nika ignore baada ya muda alinichukia balaa ikabidi nimchombeze kidogo nikala mzigo akanipa sababu iliyomfanya anichukie.
Hiyo ndio imenikumba mimi mkuu, tena kwa wasichana wengi mno, najiuliza(ga) kwa nini nachukiwa hivi? Leo nimepata jawabu. Nilikuwa naona ishara walizokuwa wakiniletea ni za kawaida mno(nilizidharau na kudhani hazikuwa kama nilivyofikiria).

Dah, sijui nifanye nini, hebu nishauri mkuu!!
 
Ok. nimeelewa. nadhani hadi mwanamke kufika hatua ya kukuchukia anakuwa amekupenda kweli kweli.
Nishafanya utafiti wangu kwa vitendo, unaweza kuwa group kwa ofisi ama sehemu yeyote afu akatokea binti akasalimia wengine wote fresh afu wewe akakusalimia kwa tofauti hivi kama hataki mimi kwangu huwa ni ishara ya green light nikirusha ndoano samaki ananasa.
 
Hiyo ndio imenikumba mimi mkuu, tena kwa wasichana wengi mno, najiuliza(ga) kwa nini nachukiwa hivi? Leo nimepata jawabu. Nilikuwa naona ishara walizokuwa wakiniletea ni za kawaida mno(nilizidharau na kudhani hazikuwa kama nilivyofikiria).

Dah, sijui nifanye nini, hebu nishauri mkuu!!
Jaribu kuchek chanzo cha wao kuchukia ni nini usipopata sababu za msingi basi nenda ukale kimasihara
 
Back
Top Bottom