Njia watumiazo wadada kuwataka wakaka

Njia watumiazo wadada kuwataka wakaka

Namwambia kila nikimuona mapigo ya moyo yanatetemeka mbaya zaidi nikinywa maji namuona kwenye glass
😅😅😅Kumbe hizi swagger za zamani bado ziko on flick💥💥💥
 
Yes ni Malaya
So?
"Usiache mbachao kwa msala upitao"
Kwann umesema 'yes' sister, usiropoke vitu kwa hasira, usingemjibu tuu sister, he ain't worth it😞😞
Mm naamini ww sio ulichokisema😅😅😅
 
Nishafanya utafiti wangu kwa vitendo, unaweza kuwa group kwa ofisi ama sehemu yeyote afu akatokea binti akasalimia wengine wote fresh afu wewe akakusalimia kwa tofauti hivi kama hataki mimi kwangu huwa ni ishara ya green light nikirusha ndoano samaki ananasa.
Mm akinisalimia kama hataki namjibu
"Haijalishi" au "it doesn't matter"
 
Mwanaume unapopata ujasiri unatamkia wangapi?

Wee nenda tu ila roho yangu nyeupe imetua mzigo.
Aisee najishangaa sana kwann sijawahi penda msichana yeyote😅😅😅,sijui kuna tatizo gani aisee😞
Anyways ila nikimpata anayenipenda na akafunguka kwa ujasiri kama ww "atakula mema ya nchi"😊
 
Mwanaume unapopata ujasiri unatamkia wangapi?

Wee nenda tu ila roho yangu nyeupe imetua mzigo.
Raha ya sungura ufanye mawindo.....Sio sungura kujikamatisha.....

Wanaume wengi hatupendi wanawake easy coming......

Mm Huwa nawa avoid wote walio wai kunitongoza..

Mm mpk marafiki zangu waliwai kunishangaa....una mwachaje mrembo kama yule....

Mm ni mtu wa principal....

Tabia za wanaume fisi ukijilengesha atakukula..... Atakusepa

Nduki
 
Raha ya sungura ufanye mawindo.....Sio sungura kujikamatisha.....

Wanaume wengi hatupendi wanawake easy coming......

Mm Huwa nawa avoid wote walio wai kunitongoza..

Mm mpk marafiki zangu waliwai kunishangaa....una mwachaje mrembo kama yule....

Mm ni mtu wa principal....

Tabia za wanaume fisi ukijilengesha atakukula..... Atakusepa

Nduki
preach
ila siwezi kufa nalo rohoni
 
Muuza mahindi ya kuchoma ananitongoza kimya kimya

Phase 1: Nilipita kijiweni kwake majira ya jioni kununua ,wakati ananipa chenji akasema hebu lete mkono, nikajua labda kanizidishia chenji, akaniminyaminya kiganja akasema "mbona una mikono milaini au hufanyagi kazi" sikuongea kitu nikaondoka.

Phase 2: Nikapita kijiweni kwake tena, siku hiyo alikuwa na mdogo wake, alivoniona tu akamtuma mdogo wake kwao ili apate chance ya kunipiga sound, ni kabinti keusi ka modo ofcourse kako magoli, nikaona ametulia yaani kakosa raha ,mara akatoa kiswaswadu chake, mi siombi namba wala nini nipo cool ile ki gentleman, nikachukua hindi nikasepa.

Phase 3: Nikapita siku ingine, siku hiyo sikutaka hindi, nikapita kwa mbali, kalivoniona tu kaka shout " njoo uniungishe" nikasogea nikasema sina hela kakanipa hindi la bure, nikaondoka ile nageuka nyuma naona kananiangalia kwa kunitamani


Kanachokitafuta ninacho, Sio punde nakatafuna kama mahindi yake...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia nyngn n hy
JamiiForums-39367804.jpg
 
Afu ukimpenda mwanaume kiukweli kweli,yaan ile kumwona tu hata kwa mbali joto la mwili hupanda,mapigo ya moyo less.
upendo una nguvu sana
Joto la mwili tu??.Si na mashine inatepeta kabisa inalainika kabisa au?!!.
 
Back
Top Bottom