Njia watumiazo wadada kuwataka wakaka

Njia watumiazo wadada kuwataka wakaka

Nimeona sehemu, 1. Kujichelesha chekesha pindi unapokuwa nae, 2. Anapenda mgusane kugusane au akushike mkono au bega 3. Wivu akuonapo na mwingine 4. Kukutega zipo nyingi ila sijui kama zina work kweli 5. Wanapenda mawasiliano ya mara kwa mara
 
1) Suddenly anakuwa supporter wako kwa kila kitu
2) Anacheka kila kichekesho hata kama hakichekeshi sana
3) Anatafuta visingizio vya kujipitisha umuone au muonane
4) Anakuwa mkarimu kukupa ofa au usaidizi kwenye mambo mbalimbali
5) Anajitahidi kuvaa kwa kuvutia pale ambapo anajua mtakutana
6) Anababaika ukijaribu kumsemesha au kumsogelea....

Zingine wataongeza wengine
 
Akaniumia kucha huku akiniangalia lile jicho legevu!,nilipogundua nilitabasam huku nikiwaangalia wengine walikuwa hawaoni picha lile!. Kurudisha jicho kwake ndo kwanza aliendelea kunesanesa kwa mapozi kushoto na kulia!. What a movement!! My heart started to vibe with her movements 😀

Mnajua nini kilifuata.....?

Sijui tu kwanini yesu alikuwa upande wangu nilimkosa...🤣🤣
 
Back
Top Bottom