Njia watumiazo wadada kuwataka wakaka

Njia watumiazo wadada kuwataka wakaka

Dalili zote sijawahi kuona. Ndio maana sipati mtu
 
Anakusogezea kufua pindi amekupatia simu eti umlekebishie wallpaper
 
Afu ukimpenda mwanaume kiukweli kweli,yaan ile kumwona tu hata kwa mbali joto la mwili hupanda,mapigo ya moyo less.
upendo una nguvu sana
unajua wanawake wanasema wanaime wanapenda kila mwanamke lakini hakuna ambalo mwanaume ana-enjoy kama kumpata mwanamke ambaye naye ana-mfeel. raha sana.
 
Back
Top Bottom