Yes ila siwezi kumface mwanaume nikamwambia aiseeUtaishia kuumia moyo
kwasababu gani huwa inakuwa hivi kwa wadada?Yes ila siwezi kumface mwanaume nikamwambia aisee
For me naona kama ni kujitongozesha wakati tumezoea wakaka ndiyo wanaotongoza, afu pia would i be comfortable kuwaambia hata watoto wangu kwamba baba yenu nilimfata nikamwambia nampenda? Mmh kidogo haijakaa sawa, raha ya babe akufate akutongoze umhoji hoji viswali then umkumbalie aisee hata yeye atajiskia vizuri bana, good morning mkuukwasababu gani huwa inakuwa hivi kwa wadada?
je, ni kwasababu mwanaume ataona mwanamke anajirahisisha?
Kinachokusumbua wewe na wanawake wenzio, sio udomo zege wala uoga, bali ni kiburi (pride/ego) unahisi ukimtongoza mwanaume umejishusha na kujidhalilisha, pia mnaogopa kukataliwa financial servicesFor me naona kama ni kujitongozesha wakati tumezoea wakaka ndiyo wanaotongoza, afu pia would i be comfortable kuwaambia hata watoto wangu kwamba baba yenu nilimfata nikamwambia nampenda? Mmh kidogo haijakaa sawa, raha ya babe akufate akutongoze umhoji hoji viswali then umkumbalie aisee hata yeye atajiskia vizuri bana, good morning mkuu
si unaona hapo juu nshaitwa malaya!kwasababu gani huwa inakuwa hivi kwa wadada?
je, ni kwasababu mwanaume ataona mwanamke anajirahisisha?
hiii imekaa vizr, mnatoa mbinu mpyaAkichukua namba ako kwa group akakutext ujue tayari
Na wa aina yako ni msaada mkubwa sana kwetu sisi madomo zege na tuliopitwa na hiyo bahati ya kupendwa aisee, hata dada poa tu hawajawahi kunielewa.Kwa nini kuzunguka mbuyu
Honestly nikiona mkaka nikamuelewa namwambia bila hofu
Achana naosi unaona hapo juu nshaitwa malaya!
hahahaHallelujah
Umekua prof Kabudi?Hii ya kukukodolea mimacho vipi
Ngoja nijaribu nije nijipitishe nione reaction yako itakuwaje! Huenda mambo yakawa mamboAfu ukimpenda mwanaume kiukweli kweli,yaan ile kumwona tu hata kwa mbali joto la mwili hupanda,mapigo ya moyo less.
upendo una nguvu sana
Hahahahaha we jamaa wewe, eti kama sijamuelewa najifanya sijui anachomaanisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo ukijifanya mgumu anakuchukia kisiri siri??Baadhi ya Dalili za kwamba mdada anakutaka kimapenzi (According to me)
1) ukichukua namba yake, siku ingine yeye anakuwa wa kwanza kukutext na kukupigia..sms zake zitakua refu..
2) Anapenda kukugusa Kidoogo na ku-spend muda mwingi akiwa karibu wewe
3) Baadhi ya Rafiki zako wa kike na wa kiume wanakwambia fulani anakupenda
4)Karibia kila umwambiacho kwake yeye ni sawa, anakukubalia
5)Ukimwambia aje ghetto,au mkutane sehem fulani atakuja, mwanamke anaekupenda, hawezi toa visingizio kuwa yuko busy, hana muda, au ahairishe miadi..yani mwanamke anaekupenda haswa, hawezi play hard to get kwako..
6) Kukuvalia mavazi ya mitego na kukupa vijizawadi, inategemea na mazingira mliopo
7) Saa ingine ukiongea naye anahema whuuuuuu, kama vile alikuwa anakimbia kumbe anatembea, kwasababu anakuona you are the sexiest man alive
Pamoja na kufahamu hizi dalili, lakini saa nyingine ili kuonyesha umangula wangu, mdada mbovu mbovu akinionesha hizi dalili huwa najifanya sielewi mdada anachomaanisha, bhas naishia kuchukiwa kisiri siri