Njia wanazotumia wanawake kuondoa ashki

Njia wanazotumia wanawake kuondoa ashki

Ila wadada wananunua sana dildo aisee, hasa zile zipo kama ua rose zina tukitu tunacheza cheza 😂😂. Zinatoka hapo Nairobi na kuna wadau ndio mishe zao hizo na wadada wa masaluni.
 
katika kuhangaika hangaika na wanawake , hatimae hawa wanawake wamenichana ukweli.

Ipo hivi katika harakati zangu za kutafuta mke wa kuoa nimejitahidi sana kuzoea wanawake / wasichana wengi sana kupita kiasi ili kuweza kuchambua chambua mwanamwali wa kuweka ndani..

Nimekua ni kiuliza uliza maswali ya hapa na pale na wengine hadi maswali ya ndani kabisa kwa lengo la kuwapima kisawasawa ni yupi atanifaa ila kuna hawa wanawake watano (5) mpaka sasa wameniweka wazi mbinu wanazotumia kuondoa nyege/ hamu ya kufanya mapenzi kwa sababu wao wanadai wanaweza kuishi muda mrefu na hawana haja na mwanaume/ kuolewa..

Njia zenyewe wanazo tumia ni hizi mbili nyingine nitaendelea kujua tuu

1: Wanatumia sabuni

Yani nilipotaka kujua zaidi wanaitumiaje sabuni ni hivi Wanakata kakipisi kidogo cha sabuni na kukalowesha kwenye maji mpaka kalainike alafu wanaingiza ukeni iyeyukie humo na hii wanafanya siku nzima alafu wananawa kesho yake

2: Wanatumia maji ya chumvi

Wameniambia asilimia kubwa hii njia hawaijui ila kwa waliosoma bording au vyuoni wanaijua sana na wale wanaojichanganya sana na wenzao..

Wanachukua maji wanachanganya na chumvi alafu wanakaa mkao ambao utawawezesha kuyamiminia ukeni na wanabaki nayo bila kujiosha.

Nb..wanaume wenzangu haya ndio wanayo yafanya gizani dada zetu , kwa kweli inasikitisha sana
1. Hivi kuna aina ngapi za mke? Umesema mke wa kuoa, kuna mke wa aina nyengine?
2. Ni sabuni gani duniani ukiilowesha inalainika badala ya kuyeyuka?
 
Kuna njia zinazoelewaka kama
1. Kuwa busy na kazi
Ukiipa akili yako mawazo juu ya mapenzi mda wote basi utatawaliwa na mapenzi. Watu wanagundua na kubuni ila wewe utakuwa unamaliza oxygen bure. .

2. Kumix mafuta ya taa na chakula
Hii tunaona hata mashuleni wanachanganya mafuta ya taa kidogo kwenye chakula kuwaondolea wanafunzi mihemuko ya mapenzi

3. ....
Mafuta ya taa? Unayajua mafuta ya taa wewe? Nani atakubali kulishwa au kula chakula kilichochanganya na mafuta ya taa? Umewahi kunusa mafuta ya taa lakini au unasema tu? Ah stori nyengine ni too much!!!!
 
katika kuhangaika hangaika na wanawake , hatimae hawa wanawake wamenichana ukweli.

Ipo hivi katika harakati zangu za kutafuta mke wa kuoa nimejitahidi sana kuzoea wanawake / wasichana wengi sana kupita kiasi ili kuweza kuchambua chambua mwanamwali wa kuweka ndani..

Nimekua ni kiuliza uliza maswali ya hapa na pale na wengine hadi maswali ya ndani kabisa kwa lengo la kuwapima kisawasawa ni yupi atanifaa ila kuna hawa wanawake watano (5) mpaka sasa wameniweka wazi mbinu wanazotumia kuondoa nyege/ hamu ya kufanya mapenzi kwa sababu wao wanadai wanaweza kuishi muda mrefu na hawana haja na mwanaume/ kuolewa..

Njia zenyewe wanazo tumia ni hizi mbili nyingine nitaendelea kujua tuu

1: Wanatumia sabuni

Yani nilipotaka kujua zaidi wanaitumiaje sabuni ni hivi Wanakata kakipisi kidogo cha sabuni na kukalowesha kwenye maji mpaka kalainike alafu wanaingiza ukeni iyeyukie humo na hii wanafanya siku nzima alafu wananawa kesho yake

2: Wanatumia maji ya chumvi

Wameniambia asilimia kubwa hii njia hawaijui ila kwa waliosoma bording au vyuoni wanaijua sana na wale wanaojichanganya sana na wenzao..

Wanachukua maji wanachanganya na chumvi alafu wanakaa mkao ambao utawawezesha kuyamiminia ukeni na wanabaki nayo bila kujiosha.

Nb..wanaume wenzangu haya ndio wanayo yafanya gizani dada zetu , kwa kweli inasikitisha sana
Ubgemuuliza nana'ko angekufafanulia vizuri zaidi.
 
Mafuta ya taa? Unayajua mafuta ya taa wewe? Nani atakubali kulishwa au kula chakula kilichochanganya na mafuta ya taa? Umewahi kunusa mafuta ya taa lakini au unasema tu? Ah stori nyengine ni too much!!!!
Uko dunia gani ndugu yangu? Uliza kisha uje utoe ushuhuda
 
Nitajie shule moja tu unayoijua wewe ambayo huwachanyia wanafunzi wao chakula na mafuta ya taa. Narudia tena hivi wewe unayajua mafuta ya taa au unasema mafuta mengine wewe? Mafuta ya taa ni Kerosene utawezaje kumlisha mtu chakula kilichochangaywa na kerosine bila ya yeye kujua? Na kwa nini mtu ajiharibie chakula chake kwa kujimiminia kerosene? Wacha hadithi za alinacha!
 
Swali zuri sana dogo nikikujibu mimi utaona nakutungia ngoja nijaribu hata kutafuta nyuzi humu Jf zitakuwepo tu. .

Inaonekana hujawah kaa bweni. Majibu yako pitiia huu uzi👇

Ila nasikia pilipili haiwawashagi?

Sababu kuna katoto miaka ya zamani kiasi kaliwachanganga wahuni watatu sasa walikakamata wakakawekea pilipili kunako wakakaachia kalipofika mbali kidogo kakaanza kuwacheka eti haiumi hata kidogo
Mm pilipili hii hii😀
 
Back
Top Bottom