Njia tusioipenda ila inayoweza kupunguza kuchapiwa, kusalitiwa pamoja na kutendwa.

Haha ha ha h aha ha mzee huko kwenye Kvant na Serengeti unatafuta balaaa
Kuwa honest mzee kijana... Serengeti ina maji ila maji hayana serengeti. Ukiwa jiniaz kama mimi utakunywa serengeti... by default utakuwa ushakuwanywa maji. Ila ukinywa maji utakuwa hujanywa Serengeti.

Think Bonny, think!
 
Tumbaaaaafu!
 
Mkuu kuchapiwa kuko PALE PALE,,, unaweza ukachukuwa MWANAMKE wa kawaida ukamuweka NDANI,,kumbe kuna VIDUME NJE vinamfananisha na BEYONCE wa JZ....kikubwa ni KUOMBA MUNGU tu,,,Wapo WANAWAKE/WANAUME hawana MVUTO lakini ni VICHECHE BALAA,,sioni sababu ya KUCHUKUWA LAPU LAPU nikaweka NDANI ,,kisa NAOGOPA kuchapiwa,,,wakati huyo unayemuona ni wa KAWAIDA hukumkuta na BIKIRA, maana YAKE alikuwa na mpnz kabla yako,,sasa unachokikwepa nn? KULA KITU ROHO INAPENDA MKUU,, .MTU anachukuwa DEMU wa kawaida anaoa halafu anatafuta MWANAMKE mwenye MVUTO anamfanya KIMADA na kumuwekea THAMANI ZA VITU kibao ndani,,sasa umekwepa nn?KUCHAPIWA hakuna ANAYEKWEPA,,especially kama hujakuta BIKIRA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, thank you for your effort.....

Sijasema hauwez kuchapiwa demu ambae anaonekana ni muhimu kwa ajili ya maisha yako na mwenendo mzuri.

Dhumuni la ujumbe wangu ni kuchukua risk mapema kwennye ishu ya uchaguzi, ili kupunguza ukaribu wa kupata loss kwa chaguo ulilofanya .

Natumaini umeelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom