Njia tusioipenda ila inayoweza kupunguza kuchapiwa, kusalitiwa pamoja na kutendwa.

Financial Analyst

JF-Expert Member
Nov 27, 2017
1,605
2,748
Uchaguzi wa wenzi (wapenzi, wachumba, mke/mme....) katika maisha ni mfano halisi wa uchaguzi kati ya
"MAJI" NA "SODA /JUICE ZA VIWANDANI"

-MAJI
Ni kimiminika kisichokuwa kitamu ila ni muhimu kwa ajili ya afya yetu na inatulazimu tunywe maji ili kutunza uhai wetu.

-SODA /JUICE ZA VIWANDANI
Ni kimiminika kitamu kwa ajaili ya "leisure", sio muhimu kwa ajili ya afya yetu na tunaweza kuwa na uhai bila ya kunywa soda au juice ya kiwandani.

So, ingawa binadamu tunafamu umuhimu wa maji katika maisha yetu, lakini mtu akiwekea "MAJI" NA "SODA/JUICE YA VIWANDANI" ..mara nyingi atachagua soda/juice ya viwandani (hata kama ana Kiu kali) kwa sababu ni tamu na inaridhisha kwa taste yake, ILA akisahau kuwa ita mridhisha kwa muda tu na utumiaji mwingi (zaidi ya maji) waweza kumletea madhara katika afya yake.

Nachomaanisha hapo juu:

MAJI:
Ni yule mwanamamke / mwanaume ambae kiukweli inakubidi au inakupaswa uwe nae ili uishi maisha yenye amani, heshima na furaha. Ingawa haoneshi kuwa na sifa za kuvutia unazohitaji (viwango unavyohitaji) ila ndie mwanamke / mwanaume aliye muhimu na maalum kwa ajili ya maisha yako.

SODA /JUICE ZA VIWANDANI:
Ni yule mwanamke / mwanaume ambae unadhani anakufaa kwa sababu ana kila sifa za kuvutia unazohitaji, ingawa huyu mwanaume / mwanamke ana uwezekano wa kukuletea balaa kwa sababu hakuwa na sifa au viwango vya kuwa mtu muhimu kwa ajili ya maisha yako.

FUNDISHO:

WANAUME:
-Kiukweli ni kuwa tumekuwa tunafahamu yule mwanamke ambae ni muhimu kwa ajili ya maisha yetu ila kwa bahati nzuri au mbaya hawa wadada wanakuwaga simple sanaa na hawana sifa za "flashy girl" na viwango vya "bonge la mwanamke"..ila ni wanawake wanaotengeneza familia bora na yenye mafanikio, kiujumla huwezi kujuta kuwa nae.

Lakini tumekuwa tukifumbia macho hili, na kuendelea na itikadi ya kuweka ndani mademu wenye mvuto wa kimahaba, wezeree kubwa, ngozi inayong'aa , mavazi ya hali ya juu. Na mara nyingine tumekuwa tukidhanipesa zetu ndio zitatupa ticket ya kuwa nao na kuwatuliza ndani ila bahati mbaya matokeo yanakuwa sio kama vile tulivyokusudia, unakuta mwanamke anakuwa mhuni hata zaidi yako, unashindana na mwanamke kwenda viwanja, mwanamke anakuwa kiburi cha hali ya juu, .. yani hata unakuta mwanamke hataki hata kusikia jina la mama yako.

Unasahau kuwa nyumbani hauendi kuweka mapambo ya demu mkali, ila kutengeneza familia bora yenye furaha na mafanikio.

WANAWAKE:
Kwa bahati mbaya wadada wengi siku hizi wamekuwa wahanga wa kulia na kulaumu juu ya wanaume ila wanasahau katika pulukushani za kuapprochia au kutongozwa kabla ya mahusiano yao ya sasa waliweza kuwa approached na wanaume ambao walikidhi viwango vya kuwa muhimu kwa ajili ya maisha yao, ila wadada wakajifanya kuwaona na kuwaambia hawa wakaka kwamba sio level na type yao.

Unakuta mdada anakuwa anahitaji mkaka mwenye muonekano wa bonge la mwanaume, pesa, gari ,mwenye kutoka kwenye familia yenye utajiri na yule anaemgalimikia mahitaji yake ya urembo na leisure.

Kwa bahati mbaya mshikaji mwenye pesa ( sio wote) anaanza kukupelekesha kama anavyopelekesha pesa zake na anaanza kukuendesha kama vile anavyo yaendesha magari yake. Isitoshe unaanza kushuhudia au kusikia story jinsi anavyotoka na vimada wengine (kumbuka na wale vimada wamempendea uwezo kama vile wewe ulivyompendea).. So kinachofuatia badala u-focus katika kushindana na maisha badala yake unaanza kushindana na vimada wa mpenzi wako.

-NAFIKIRI TUCHAGUE "MAJI" ZAIDI YA "SODA" / "JUICE ZA VIWANDANI".. KAMA TUNAPENDA KUWA NA AFYA BORA NA UHAI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko right wanaume/wanawake huwa tunapenda sana kuwaimpress watu tunapochagua wenza wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa za nimtakaye;-
1. Angalau awe na degree.
2. Awe ameajiliwa/kujiajiri
3. Awe na wazo la biashara maake mi napenda biashara.
4. Awe mzuri.
5. Awe .........
6. ........
 
Back
Top Bottom