Njia tusioipenda ila inayoweza kupunguza kuchapiwa, kusalitiwa pamoja na kutendwa.

Ninachofahamu mm sio kila muda utahitaji maji na sio kila wakat utahitaj soda kama vip dilute tu
Hapana aiseeh,

Utakapohitaji afya nzuri..lazima maji yazidi soda katika mwili wako

So it means utahitaji maji kila muda.

Na ukisema uchanganye...likely lazima inakuwa na taste mbaya...utakunywa kwa muda then baadae utaichukia tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soda yenyewe ina maji ndani yake ila swala langu ni moja kwamba sio kila muda maji yatahtajika katika mwili so hapo ndio umuhimu wa juice unapoanza
 
Aka mwenye tako na mvuto. Sawa Mungu anakupa.. lakin baadae unakuja gundua kuwa ndoa si tako wala si sura nzuri.. by the mwanamke kiburi juu juu sababu ya uzuri wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Yah ni kweli mkuu detective... Hatumaanishi wote ila hawa mademu ambao ni wazuri sanaaa, mvuto na wenye mawezere huwa wana kiburi cha kupindukia..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soda yenyewe ina maji ndani yake ila swala langu ni moja kwamba sio kila muda maji yatahtajika katika mwili so hapo ndio umuhimu wa juice unapoanza
Yah ni kweli mkuu bonny..ila what kind of juice does your body really need ..coz hizi za viwanadani zina kemikali sanaa..so i think hizi za "home made" na mashine za nyumbani ziko poa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom