Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,371
- 29,937
Ha ha ha ha ha uzur soda huwez kunywa siku nzima ila maji utakunywa tu so soda ni ya muda so msijaliShughuli ni pale soda inapochukua nafasi ya maji
Ha ha ha ha ha uzur soda huwez kunywa siku nzima ila maji utakunywa tu so soda ni ya muda so msijaliShughuli ni pale soda inapochukua nafasi ya maji
Soda tena? Ngoja mi nimfanye wine ili nikupiku we bazazi chipukiziHujambo soda yangu
Hahaha Sawa mr bonny.... Mkemia mkuu wa JFHa ha ha ha ha basi usjal ntatumia maji kutengenezea fresh juice so ntakua nmekunywa maji na juice
Sawa babu, nimekubali.Naomba uwe mchepuko wangu
Mfyuuuu.Ha ha ha ha ha uzur soda huwez kunywa siku nzima ila maji utakunywa tu so soda ni ya muda so msijali
Nimeona mtu kakuita soda. Siku hizi wanakukunywa?Sawa babu, nimekubali.
Ha ha ha ha so far status yako ni maji soda au fresh juice?
Shindwaaaa!Hujambo soda yangu
Au uwe fresh juice?Mfyuuuu.
Nawe wataka kunikunywa?Nimeona mtu kakuita soda. Siku hizi wanakukunywa?
Siwezz kushindwa kunywa soda kwanza bei rahis tu jeroShindwaaaa!
Lakini all in all mkuu bonny ...maji ni muhimu kuliko hata hiyo fresh juice.Ha ha ha ha so far status yako ni maji soda au fresh juice?
Anhaaa kumbe ndo mjadala unavyosema? Basi kama nina maji na soda ngoja nifanye mpango mkakati nipate Juice, K Vant, Serengeti lite na Grants
Inategemea we ni soda gani. Kama bitter lemon hapo sawa.Nawe wataka kunikunywa?
Lakini hata wewe mkuu espy... Unachoice ya either kuwa MAJI au SODA....Nawe wataka kunikunywa?
Wala sijapinga umuhimu wa maji ni muhimu sana ila ukienda kwenye sherehe utatamani ukute maji au soda be honest??Lakini all in all mkuu bonny ...maji ni muhimu kuliko hata hiyo fresh juice.
Believe that!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha ha ha h aha ha mzee huko kwenye Kvant na Serengeti unatafuta balaaaAnhaaa kumbe ndo mjadala unavyosema? Basi kama nina maji na soda ngoja nifanye mpango mkakati nipate Juice, K Vant, Serengeti lite na Grants
Lakini hata wewe mkuu espy... Unachoice ya either kuwa MAJI au SODA....
Hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakupinga hata wewe tangu mwanzo mkuu bony...Wala sijapinga umuhimu wa maji ni muhimu sana ila ukienda kwenye sherehe utatamani ukute maji au soda be honest??