Njia sahihi ya kutunza pesa

Njia sahihi ya kutunza pesa

Nunua ardhi unayoweza kulipa kidogo kidogo,uwe unaweka huko hela yako,ikiwa unahitaji uwanja wa kujenga,lakini kama tiyari umejenga,anzisha biashara na hiyo hela,kila ukipokea mshahara unaongezea kwenye biashara.
Duh wewe unamwelekeza namna ya kutumia hela, hajaomba ushauri wa kitu cha kufanyia hela yake
 
Kama ni Milioni kwa mwenzi ni vizuri kama ukaweka benki tu kwenye fixed account, au unapaswa kununua safe box uwe unaziweka humo, cha msingi ni kuwa na nidhamu nayo tuu.
 
Braza hapa kila mtu atakupa jibu kulingana na Interest yake na experience yake.
Wewe binafsi
1. Tafuta Elimu
2. Follow your heart.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Back
Top Bottom