Njia sahihi ya kutunza pesa

Njia sahihi ya kutunza pesa

Nunua ardhi unayoweza kulipa kidogo kidogo,uwe unaweka huko hela yako,ikiwa unahitaji uwanja wa kujenga,lakini kama tiyari umejenga,anzisha biashara na hiyo hela,kila ukipokea mshahara unaongezea kwenye biashara.
 
Hamjamuelewa tu mtoa mada hataki njia za kidigitali, simu na banks hataki halafu mtu anasema m-wekeza.

Mwingine amesema anunue kiwanja, hajasema umpe matumizi ya pesa

Anyway, achana na hao mkuu. Tafuta mti mkubwa uliokaribu na home, weka hela zako kwenye ile mifuko iliyozuiwa na serikali then chimba chini ya huo mti fukia hela zako

Wakikuotea rudi hapa jukwaani tukupe namba za waganga
 
Back
Top Bottom