Njia sahihi ya kuhendo vikwazo vya kinadada

Njia sahihi ya kuhendo vikwazo vya kinadada

St evance

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
83
Reaction score
11
Habari zenu wakuu..... na baada ya salam leo nataka tujadiliane mbinu sahii za kukabiliana na vikwazo vya kinadada kama vifuatavyo

1.Niko kwenye period

2.ninaboy friend/mume/mchumba

3.Ninaumwa(malaria/tumbo/kichwa)
4.mama yangu mgonjwa
5.Niko bize
6.Nimeokoka nampenda yesu
7.wiki hii ninatest(kwa wanavyuo)
8.Mi sitaki mambo hayo mpaka nimalize masomo nipate na kazi
9.Mi bado mdogo
10.sitaki
11.nyumbani kwetu geti kali siwez kutoka
12.ww sio mwanaume wa type yangu(mfupi sana/mweusi sana/mweupe sana)
13.mimi sitaki /siongei na watu nisiowajua
14.Sijisikii kuwa na ww/sikupendi!
 
ukishaambiwa hivyo unataka nini tena? ...chapa lapa
 
Dada mmoja ashawahi niambia mwanamke akikupenda hakusumbui.... tena akaongezea kwa kusema hata akiwa busy kiasi, ukimwambia tu "can I take you this evening" ataacha kila kitu just to be with you.

Ukiona danadana ujue hutakiwi cause wanawake wa siku hizi hawaringi tena, if you are the one husumbuliwi... love where you are loved, want where you are wanted.
 
^^
Mnahitaji kupitia hayo ili mfanye maamuzi yenu wenyewe!
Kuliko kutegemea majibu ya kuambiwa.

Mhhh!Ntahakikisha.
 
Easy....
mambo matano ya kufanya demu akupende:
1. mpe hela
2. we mpe hela
3. we mpe hela tu
4. mpe hela tu
5. nakuambia mpe hela tu mwenyewe atakupenda
 
^^
Mnahitaji kupitia hayo ili mfanye maamuzi yenu wenyewe!
Kuliko kutegemea majibu ya kuambiwa.
^^

rudi kwenye mada mkuu uponje ya mada coz hakuna aliyesema anataka majibu yakuambiwa hapa hizo nihisia zako mkuu.
 
Easy....
mambo matano ya kufanya demu akupende:
1. mpe hela
2. we mpe hela
3. we mpe hela tu
4. mpe hela tu
5. nakuambia mpe hela tu mwenyewe atakupenda

sifanyikaz m-pesa,wala maxmalipo kama ndohivyo bora nikimbie.
 
Mwanamke akikupenda utajua tuu..!!
 
Ww ulitaka ujibiweje, kama unataka urahic hvy nenda kmboka utaulizwa tu unataka huduma gan.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom