Njia rahisi ya kusahau shida zako.

Njia rahisi ya kusahau shida zako.

acha usenge wewe.
Mkuu kwani umeambiwa wewe? Hili ni jukwaa la utani na ucheshi kama haikupendezi au haikuchekeshi unaacha kama ilivyo. Kumbuka pia ucheshi na utani huburudisha na elimisha!
 
Hii ni dawa kwa mtu anaevaa viatu kwa mara ya kwanza kwani atakuwa anafurahia kuingia ktk ulimwengu mwingine.
Kwa aliyezoe viatu, hii itakuwa shida nyingine mpya.
 
Mkuu Mzee wetu hii id yako iliibiwa au ulisahau paswd zake? Tangu 2011 post 5 kah! (its kind of joke)
 
Mkuu kwani umeambiwa wewe? Hili ni jukwaa la utani na ucheshi kama haikupendezi au haikuchekeshi unaacha kama ilivyo. Kumbuka pia ucheshi na utani huburudisha na elimisha!

unajua nini, jamaa inaonesha anashida sn. sasa alipoona thread akajua atapata ufumbuzi kumbe ndio kabisaaaa. mimi nimecheka sana aisee
 
Back
Top Bottom