Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,453
- 40,446
Kama wewe ni mwanamke ama mwanaume, tumia njia hii kupata mume/mke pale unapokutana na mtu aliyeuteka moyo wako, na umwambie hivi:-
Kwa mwanaume: - 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mke wangu'
Kwa mwanamke:- 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mume wangu'
Unapokuwa unamwambia, uwe siriazi na uwe na tabasamu la mbali; baada ya hapo utaona ameshikwa na mshangao na ataongea kwa hisia. Kama yuko 'single' utakuwa umejinyakulia ushindi.