Njia rahisi ya kujilipua Abroad, (Risk Takers & Wapambanaji tukutane hapa)

Nenda South Korea kuna viwanda utabeba box vizuri tu. Kuna Wakenya wengi cru pamoja na Wanigeria na Bangladesh.

Landscape view of South Korea

South Korea visa
Tanzanian citizens need visa for travelling to South Korea as tourist. The stay is usually short with a period of 90 days and visa expires in 90 days. Applicant is required to be present when applying for visa and a total of 7 documents are required. You can also find visa exemptions and useful tips from fellow travellers.

Visa requirements

South Korea Visa requirements for Tanzania
Visa Required

: Visa required
1
found useful
Get visa for South Korea from Tanzania
  • You can apply for a single-entry visa valid for 3 months or a double-entry visa valid for 6 months.
  • Periods of stay will be granted for up to 90 days for a single-entry visa , and 30 days for a double-entry visa.
Applicant required
Max Stay
: 90 days
Visa Expires: 90 days
short Stay

OFFICIAL WEBSITE
FEE ESTIMATE
Documents required for South Korea tourist visa : 7
1
Visa Application Form: Complete application form for South Korea
VISA FORM
2
Passport Photo: Photo must be no older than 6 months
3
Passport: Original Passport or Travel document with at least 6 months remaining validity on the date of travel and have at least 2 visa pages clear of any markings.

4
Flight Bookings: Flight reservations(s) for the country of your visit and return ticket
GET ITINERARY

5
Hotel Bookings: Hotel reservation(s) for the duration of your visit.
GET ITINERARY

6
Cover Letter: Covering letter mentioning the details of the applicant, travel and details of the other members travelling with you.

7
Current Details: Employed: • A letter from your employer on company letterhead, with contact details, stating that a leave of absence has been granted, purpose and duration of the trip, and that you will be returning to your current job. • Current bank statement of the latest 6 months • Income Tax Return (ITR) • Original pay slips Self Employed: • Include a copy of your business license • Company bank statement of the latest 6 months • Income Tax Return (ITR) Student: • Submit an official letter from your school indicating that you are in good standing and that you are registered for the upcoming semester. • No Object certificate from School or University. Retired: • Submit proof of your retirement fund. Yes.
 
Yaani process za kupata visa bongo huwa hazieleweki kama mvua za dar tu, na mbaya zaidi kila mtu anasema lake kuhusu hizo process.
Kwa kweli hazieleweki na hasa visa ya Marekani. Unaweza ukajiandaa na madocuments yako ukaishia kupigwa chini. Nimeshuhudia watu wanapigwa chini utafikiri masihara hivi. Nikasema this time sipati hii visa. Imefika zamu yangu nakwenda kwa jamaa yule yule anayepiga chini, nashangaa kaanzisha story, tukapiga story mara paaap! Ananiambia njoo kesho uchukue visa yako. Sikuamini. Nikajisemea kweli kila mtu na nyota yake.
 
Yaani process za kupata visa bongo huwa hazieleweki kama mvua za dar tu, na mbaya zaidi kila mtu anasema lake kuhusu hizo process.

Kwa sababu ndivyo ilivyo, hazieleweki. Ziko visa za aina tofauti tofauti, zina vigezo tofauti na pia inategemea muombaji atakavyojieleza.

Hazitabiriki
 
Kwa kweli hazieleweki na hasa visa ya Marekani. Unaweza ukajiandaa na madocuments yako ukaishia kupigwa chini. Nimeshuhudia watu wanapigwa chini utafikiri masihara hivi. Nikasema this time sipati hii visa. Imefika zamu yangu nakwenda kwa jamaa yule yule anayepiga chini, nashangaa kaanzisha story, tukapiga story mara paaap! Ananiambia njoo kesho uchukue visa yako. Sikuamini. Nikajisemea kweli kila mtu na nyota yake.
Hahahahaha! Umenikumbusha mbali sana interview yangu ya kwanza Ubalozini.
 
Uzi umenyooka kinoma joto ya jiwe ishakolea vjana wanataka kusepa ,wakuu njoeni mtupe madini
 
Mwenye elimu kupata visa inayokurusu kufanya kazi UK ashushe nondo kidogo
Inchi nyingi duniani ni ngumu kuingia kwa kufanya kazi..

Tena hata ukipata viza ya visitor au tourist visa..
Ukapata bahati mbaya ya kuseachiwa na kukutwa na vyeti vya shule ukiwa unaingia pale airport,,
utapata usumbufu mkubwa sn kuingia..

Fanya juhudi ingia kwanza nchi husika..
Ukiwa ndani fanya unachotaka ..
Mfano kujilipuwa.nk.
 
Na kweli kiongozi,ikibidi bora kwenda kupandia Ndege Kenya tu sababu hii inchi sasahv ipo kikuda sana aisee🤔
 
Kama ulijipanga foleni ya NIDA jua yakuwa kujilipua kwako n kazi bure kidole Cha NIDA ulichokuwa unagombania foleni jua ndo kitakunyima fursa ya kujiita msomalia
 
Na kweli kiongozi,ikibidi bora kwenda kupandia Ndege Kenya tu sababu hii inchi sasahv ipo kikuda sana aisee
Namaanisha sio usumbufu hapa Tanzania,,
bali utakapofika huko uendako.
Mfano Inchi kama Australia kupata viza sio ticket ya kuingia pale,,

Ukifika bado kuna interview zingine,, sasa ukikutwa na vyeti vya shule na huku una viza ya visitor au tourist watakurudisha tu..
 
Mkuu tupate overview ya nchi zenye unafuu kidogo wa kuingia na kupambania kombe
 
Mkuu tupate overview ya nchi zenye unafuu kidogo wa kuingia na kupambania kombe
Inchi nyingi za ulaya viza zinatoka kwa msimu,,
kufuatana na embassy na balozi mwenyewe.

Mfano unaweza kuta embassy ya Italy imelegeza masharti,,,au Spain,

Utaomba pale,,
ukipata utaingia inchi unayotaka kwenda kupitia viza ile ya Italy.au ukaomba Spain,au swiss mradi tu embassy iwe viza zinatoka.

Zipo inchi 29 za umoja wa shenghen,,,
utatumia uwepesi wa embassy yeyote kati ya hizo kupata viza na kuingia.
Inchi kama UK wapo watu kule wanahusika na kuingiza watu UK kupitia ulaya,,,,

America na Canada ,,,,Australia ndy wasumbufu sana kupata viza zao.

Sababu hazitegemeani...

Na passport yako ikiwa na viza hizo mfano America,, Canada,,Australia,UK ambazo inaonyesha uliwahi kusafiri na kurudi Tanzania,,

Hakika mzungu hakunyimi viza yake popote pale
 
Back
Top Bottom