Njia rahisi ya kujilipua Abroad, (Risk Takers & Wapambanaji tukutane hapa)

Jabari XVI

Jabari XVI

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2018
Messages
273
Likes
370
Points
80
Jabari XVI

Jabari XVI

JF-Expert Member
Joined May 31, 2018
273 370 80
Heko kwa kufafanua vizuri mkuu. Ila Naomba nikuongezee kitu Muhimu zaidi walichofanya wajeremani ili kuziba mianya ya mabaharia wazamiaji kwenye hili Kwani wahindi, wapakistani, wabangladeshi, wanigeria walitaka kufilisi social welfare benefit ya mjeremani kwa kujifanya wanaenda masomoni kumbe walikuwa wanataka kuzamia tu.

Inajulikana wazi kwamba German education is dirty cheap with excellent infrastructure and world class facilities hivyo iliatract watu wengi kutaka kusoma German but wazamihaji wa kutaka kuishi na kuhaso tu walikuwa wengi kuliko Wakusoma. Hivyo wakaintroduce system moja makini sana ya kuziba mianya ya wazamihaji kupenya kiwepesi.

System hii iliwataka wanafunzi wote wenye vigezo kufungua kwanza "online blocked bank account" wakiwa nchini mwao ambayo hawatakua na total control nayo yenye jumla ya million kama 22 hivi za kibongo ambapo mwenye account anapewa access ya kutoa €650 kwa kila mwezi. Kwa hiyo mwanafunzi alitakiwa kubalance asitumie zaidi ya Euro 650 kwa mwezi. Na hiyo account unaifungulia online unadeposit hiyo pesa kwenye Deutsche Bank ya Germany then inablockiwa na unakuwa huna access na control ya moja kwa moja sababu awali wanaigeria walikuwa wanaazima hela kwa Mtu wanaingiza kwenye Deutsche Bank then wanapewa visa kirahisi afu wanazitoa hela zote na kurudisha walikozikopa na kwenda kuishia mitaani huko Berlin na kusumbua serikali ya ujeremani kwenye welfare support.

"By mandate, a student planning to study in Germany is supposed to prove that he/she can afford his/her stay in Germany for at least the first year of study. For this, the government has decided on a particular sum. As per the Federal State, a student is required to prove that he/she have access to at least 659 euro per month for the first year, or 7,908 euro total. This, in turn is done by means of opening a blocked account."

Pale embassy hawana shida wakipatiwa hii document from Germany Deutsch bank ikithibitisha mkwanja ushatumwa na umeblockiwa kitu ni fasta tu unapewa visa yako. Na hapa ndipo ugumu unapokuja kwenye kusoma Germany lazima uwe na mkwanja wako au wa mdhamini alisi na alietayari kukudhamini afu wao ndio waushike ndio usome bure unless husomi kwa mjeremani na utaendelea na kusoma VETA.

Hivyo tu!
Aisee
 
Bastille

Bastille

Member
Joined
Sep 7, 2018
Messages
12
Likes
28
Points
15
Bastille

Bastille

Member
Joined Sep 7, 2018
12 28 15

Thanks and Be blessed bro....Nilifika Embassy kuuliza hii issue wakanambia kama una sponsor hamna shida you just need to prove na wao wajiridhishe. Issue ya blocked account naifahamu but hawakunigusia, and i know two guys ambao wamepita bila kuulizwa hii blocked account.
 
Bastille

Bastille

Member
Joined
Sep 7, 2018
Messages
12
Likes
28
Points
15
Bastille

Bastille

Member
Joined Sep 7, 2018
12 28 15
kusoma post-graduation!? hii kali bro. Sema postgraduate. Ok simshauri mtu aende huko ughaibuni hapa namaanisha nchi za ulaya na marekani, ila akiweza aje huku Canada. Ingawa mimi kabla sijaja nilikuwa na mawazo kama yako
Typing error Boss, ni ndefu i had to be fast...so kukiwa na mistake ndogo ndogo not bad as long as ujumbe umefika
 
mtena

mtena

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
1,518
Likes
711
Points
280
mtena

mtena

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
1,518 711 280
Uzi mzuri sana japo kwa ss wengine tulishapigwa pin na mkulu hakuna kwenda kusoma nje

Ila ntajitahidi my masters degree nkaisome nje hata apo Kenya tu sio mbaya
 
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
4,049
Likes
3,636
Points
280
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
4,049 3,636 280
kusoma post-graduation!? hii kali bro. Sema postgraduate. Ok simshauri mtu aende huko ughaibuni hapa namaanisha nchi za ulaya na marekani, ila akiweza aje huku Canada. Ingawa mimi kabla sijaja nilikuwa na mawazo kama yako
Share nasi man nasikia ni ngumu sana mtu kupata nafasi ya kusoma Canada
 
T

thetruth2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Messages
271
Likes
182
Points
60
T

thetruth2015

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2015
271 182 60
ni rahisi sana kama utakuja kwa njia ya masomo katika postgraduate level yaani uwe umesoma degree ya kwanza nyumbani kwanza na ufaulu kweli kweli sio kwa cheti chenye GPA ya gentleman..atleast minimum iwe GPA iwe lower second ya let say 3.3 au 3.4..ukiapply chuo huku hawakuachi na pia uwe na means yakueleweka financially yakujikimu kimaisha...mm sikufanyiwa hata interview ubalozini.

GPA siyo tatizo , je kuhusu fees hapo ndiyo utata
 
T

thetruth2015

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Messages
271
Likes
182
Points
60
T

thetruth2015

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2015
271 182 60
GPA siyo tatizo , je kuhusu fees hapo ndiyo utata
yaani katika nchi zina lowest tution fee duniani ni Canada. Trust me fee zao ziko very very reasonable and most of Universities hapa wako very considerate hata katika namna ya ulipaji. Unalipa kwa installment
 
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
4,049
Likes
3,636
Points
280
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
4,049 3,636 280
yaani katika nchi zina lowest tution fee duniani ni Canada. Trust me fee zao ziko very very reasonable and most of Universities hapa wako very considerate hata katika namna ya ulipaji. Unalipa kwa installment
Good, nitajaribu kuapply .
 
caine

caine

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2015
Messages
310
Likes
515
Points
180
caine

caine

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2015
310 515 180
Naomba kuuliza kipi kinatakiwa kuanza kuaaply chuo au kuomba passport au vinafanywa kwa pamoja. Majibu tafadhali kwa mwenye ufahamu zaidi.
 
caine

caine

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2015
Messages
310
Likes
515
Points
180
caine

caine

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2015
310 515 180
Vp 2.7 GPA undergraduate unapata chuo ujerumani kusoma masters?
 
Bastille

Bastille

Member
Joined
Sep 7, 2018
Messages
12
Likes
28
Points
15
Bastille

Bastille

Member
Joined Sep 7, 2018
12 28 15
Naomba kuuliza kipi kinatakiwa kuanza kuaaply chuo au kuomba passport au vinafanywa kwa pamoja. Majibu tafadhali kwa mwenye ufahamu zaidi.
Unatakiwa uwe na passport maana ukiwa unafanya application lazma uweke front page ya passport yako
 
Sir Khan

Sir Khan

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
4,098
Likes
5,436
Points
280
Sir Khan

Sir Khan

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2018
4,098 5,436 280
Naomba kuuliza kipi kinatakiwa kuanza kuaaply chuo au kuomba passport au vinafanywa kwa pamoja. Majibu tafadhali kwa mwenye ufahamu zaidi.
Mkuu unaanza kupata passport then application halafu ile form ya application kutoka chuo husika ndiyo unaenda nayo kuomba viza
kila la kheri Mkuu
 
Misitu

Misitu

Member
Joined
Feb 23, 2008
Messages
71
Likes
56
Points
25
Misitu

Misitu

Member
Joined Feb 23, 2008
71 56 25
yaani katika nchi zina lowest tution fee duniani ni Canada. Trust me fee zao ziko very very reasonable and most of Universities hapa wako very considerate hata katika namna ya ulipaji. Unalipa kwa installment
Sahihi mkuu, nilisoma College moja huko na nilijisomesha pia maisha siyo magumu kama Europe kwa mwanafunzi.
 
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Messages
28,625
Likes
63,469
Points
280
Age
21
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2014
28,625 63,469 280
kusoma post-graduation!? hii kali bro. Sema postgraduate. Ok simshauri mtu aende huko ughaibuni hapa namaanisha nchi za ulaya na marekani, ila akiweza aje huku Canada. Ingawa mimi kabla sijaja nilikuwa na mawazo kama yako
Karo za Canada ni ndefu saana mkuu! Nauliza maana online naona zipo juu kweli kweli

Vipi unaweza kueleza kidogo?
 
Humble African

Humble African

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Messages
4,772
Likes
11,908
Points
280
Humble African

Humble African

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2013
4,772 11,908 280
Karo za Canada ni ndefu saana mkuu! Nauliza maana online naona zipo juu kweli kweli

Vipi unaweza kueleza kidogo?
Tafuta university moja inaitwa Newfoundland iko Canada, hawa jamaa ada zao ni very affordable and reasonable pia unaruhusiwa kulipa kwa instalment zaidi ya 5 kwa mwaka whole academic year.

Na Newfoundland ndio mji peke wenye watu wakarimu kuliko mji wowote ule Canada.. Ndio mji pekee ambapo wakazi wa pale huwaomba samahani wageni ikitokea kuna hali mbaya ya hewa.... Yaani wanasemaga... "I'm sorry for the bad weather sir" utadhani wao ndio wamesababisha hiyo hali mbaya ya hewa. Kuna tukio jingine kubwa la kikarimu walilifanya hadi Dunia ikashikwa na butwaa. It's absolutely great place to be on earth.
 
usiniguse

usiniguse

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,464
Likes
526
Points
280
usiniguse

usiniguse

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,464 526 280
yaani katika nchi zina lowest tution fee duniani ni Canada. Trust me fee zao ziko very very reasonable and most of Universities hapa wako very considerate hata katika namna ya ulipaji. Unalipa kwa installment
Mkuu tuwekee vyuo vya canada kama hutojali
 
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Messages
28,625
Likes
63,469
Points
280
Age
21
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2014
28,625 63,469 280
Tafuta university moja inaitwa Newfoundland iko Canada, hawa jamaa ada zao ni very affordable and reasonable pia unaruhusiwa kulipa kwa instalment zaidi ya 5 kwa mwaka whole academic year.

Na Newfoundland ndio mji peke wenye watu wakarimu kuliko mji wowote ule Canada.. Ndio mji pekee ambapo wakazi wa pale huwaomba samahani wageni ikitokea kuna hali mbaya ya hewa.... Yaani wanasemaga... "I'm sorry for the bad weather sir" utadhani wao ndio wamesababisha hiyo hali mbaya ya hewa. Kuna tukio jingine kubwa la kikarimu walilifanya hadi Dunia ikashikwa na butwaa. It's absolutely great place to be on earth.
Shukrani ngoja nipitie.
 
Forum statistics

Threads 1,262,324
Members 485,560
Posts 30,120,652