Njia rahisi ya kujilipua Abroad, (Risk Takers & Wapambanaji tukutane hapa)


P

pilato93

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2014
Messages
3,540
Likes
2,142
Points
280
P

pilato93

JF-Expert Member
Joined Jun 28, 2014
3,540 2,142 280
Kama sio wa kutoka nje ya nchi sio wa kutoka tu

Kuna siku niliweka post humu kuhusu Canada na program yao ya miaka mitano ambapo wanatafuta raia million 1 jamaa wanai promote kweli hiyo policy.

Moja ya watu wanaopewa kipaumbele ni wanachama wa jumuiya ya madola na waziri anae promote hiyo sera ni mwenye asili ya somalia kuonyesha africans ni watu wanaowataka hakuna hata mtu alieuliza swali utaratibu ukoje; kinachotokea waombaji wanakuwaga Pakistan, India, Bangladesh mpaka wanafuta na program zenyewe sisi waafrika tumelala.

Halafu ndio wafuate njia hizi complicated, wakuondoka wanapataga tu mbinu na wa kubaki ni kuwabaki tu
Mkuu uwe unaweka tu sio mpaka watu waulize

Sent using Jamii Forums mobile app
 
E

edson Dominic Jr

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2016
Messages
251
Likes
146
Points
60
E

edson Dominic Jr

JF-Expert Member
Joined Nov 9, 2016
251 146 60
vp kama una diploma ya engineering na cheti cha form four chenye matokeo mazuri unaweza pata nafasi kwl
 

Forum statistics

Threads 1,262,316
Members 485,560
Posts 30,120,613