Njia rahisi ya kufika nchi yoyote Duniani

Unaweza ukapa inchi ya kwenda kujitolea,,issue kubwa nikupata document zakusafiria,
 
Huko kote ni kujisumbua tu, mimi huwa nafuata nyayo za Mh. na mwanamazingaombwe mashuhuri hapa Afrika Mashariki Mshana Jr. Natumia ungo wake alionipa mwaka jana, hivyo nikijisikia kula BBQ huko Marekani, naparamia tu ungo wangu baada ya dakika kadhaa natinga huyo.
 
Ipo siku utaisha mafuta tu huo, maana huko zanzibar hao pilot washaanguka sana na kutiwa moto[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemeana kama mtu una kiburi kwa sababu mimi miaka yote hii mafuata yangu natia Zanzibar kabla ya masafa marefu na ninawalipa cash hivyo sidhani kama watanitungua.
 
ngoja nitafute kwa Trump kwenda kujitolea au malita
 
Back
Top Bottom