uko wapi mimi wa nyanda za juu nimejitoa kutoka huku mpaka darKomaa bro swma nipo mbali ningekuja tukashirikiana..
uko wapi mimi wa nyanda za juu nimejitoa kutoka huku mpaka dar
mwanaume hakati tamaa bro anapambana kivyovyote unalalamika vitu vidogo ningekusimulia yangu usingeaminiMwisho wa reli mkuu, Mtaji, nauli, changamoto. Inafika wakati kupata buku shida..
hahaaa usiniambiebrother nimepata shamba hapa magonza siendi tena ulaya nimeamua kulima.
maisha popote
Niko hapa mkuuHuu uzi mzuri..
usiwaze wewe kama unaenda nenda mi nadhani miezi mitatu au minne mbele ntakuwa nimemove kwenye hii situationhahaaa usiniambie
maisha nipopote ndio lakini hoja hii naifikiria Mara mbili mimi mwnyew kama vipi nisepe tu
haya mkuu mungu ajaalie harakati zako hizousiwaze wewe kama unaenda nenda mi nadhani miezi mitatu au minne mbele ntakuwa nimemove kwenye hii situation
Sijakuelewa hapa kakaDumelang Asante Kwa ukarimu wako Kwa uzi mzuri.
Chakuongezia Kwa watakao bahatika kwenda nchi hizo NI USAFI wa mwili maana Watu wengi wanavaa vizuri lakini hawatumii dawa za MAKWAPA na MDOMO hubadilisha hali ya hewa.Utachukiwa Au kupendwa Na wenyeji kuanzia hapo
Hahaaaaa,you made my day mkuu..[emoji1]Cc britanicca.mtaalam huyu.hapigiwi.anacheza.
Ukijibiwa unishtue tafadhariNaomba mwanga kidogo. Unaweza ukajitolea ukapewa na ruksa ya kupiga part time work?.
Nikimaanisha muda wa kujitilea SAA nana Kwa Siku, nakufanya yakwako muda unaobaki huku ukiwa bado unahudumiwa na mwenyeji wako?..
Mpakà sasa naona kimya tu. Nimejaribu kuperuzi sipati majibu ya kujitosheleza.Ukijibiwa unishtue tafadhari
u nailed it akhyHustlers are travellers.
Keep the vibe up. Keep the fire burning!
Ambitiouz as a riddah, and keep ya head up until end of time cuz it ain't easy.
Life goes on.
-Kaveli-