emmanuel mhecha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 933
- 547
Tuko tayarDaby Kuja pande hii...
Alafu mkuu nimecheck website yao inakulazimu kulipia dollar 26
Tuko tayarDaby Kuja pande hii...
Alafu mkuu nimecheck website yao inakulazimu kulipia dollar 26
Faida hii ni lazima tiketi inakuwa ya kwenda na kurudi. Hakuna kurembaJe wakati wa kurudi nauli wanakulipia?
Jiongeze, Waulize wahusika.mkuu nimeicheki sasa ukitaka uanze kuwasiliana na wao inakuaje? ni mpaka ulipie kwanza?? nielekeze mkuu
umenikumbusha huyo jamaa alivyowaliza watu kuleCc britanicca mtaalam huyu.hapigiwi.anacheza.
Inatoa wepesi wakukaa nchi yeyote bila wasiwasi ukiwa na wenyeji, kwa mfano ukae mwaka naimani unakiwa nawe ni mwenyeji haswa na unakuwa ushapata michongoCouchsurfing.com
hii hapa pia iko sawa sana kuconect na watu especially wenye interest ya kusafiri duniani kote na kuwa hosted na local person at any country.
Enjoy!
Jisajili kwenye hiyo website. Kuna kujisajili kama host au kujisajili kama volunteer, naimani wewe wataka kuwa volunteer. Utatakiwa kulipa ada ya mwaka kama dola 26, hii ni kama elfu 60 hv. Naimani ni ndogo sana na unaiweza maana huduma hii ni uhakika sio longolongo.Jiongeze, Waulize wahusika.
imenivutia nahisi mzuka wangu wa kwenda nje unaamka tenaKwanini tena
Tafta nauli tu, na passportimenivutia nahisi mzuka wangu wa kwenda nje unaamka tena