Njia panda

sendisha

Member
Joined
Oct 11, 2012
Messages
26
Points
0

sendisha

Member
Joined Oct 11, 2012
26 0
mimi ni mwanajamii mwenzenu naomba msaada wenu wa kimapenzi ninja mpezi wangu ni muislam mimi ni mkristo tunapendana sana ila wazazi wake hawataki awe na mkristo sasa nifanyaje
 

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,232
Points
1,500

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,232 1,500
sendisha dear.. siku ingine ni bora ukasema kuwa nina mpenzi wangu ninampenda saana. Hivi unajua the way mapenzi hayana adabu na wala hayasikilizi sababu? Mngekuwa mnapendana sana, hiyo ingekuwa sio issue.

Hapo sijaona ukizungumza mpenzi wako anasemaje, maana kama wazazi wanaingilia kati na mpenzi wako yupo tulii akilalama kwako kuwa wazazi wamekataa, ina maana kawaunga mkono na kwa maneno mengine penzi lake juu yako halipo ama halina nguvu la kukupa wewe kipau mbele kuliko wazazi wake.

BTW itapendeza saana ukisema kama wewe ni dada ama kaka? Itatoa majibu mengi saana.
 
Last edited by a moderator:

mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Messages
8,465
Points
2,000

mzabzab

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2011
8,465 2,000
alafu mitoto ya jakaya bwana...mnajidai oh twapendana na ishu ya dini mnaipuuzaga mpaka pale inapokuja kuwatokea puani. Dini ni kitu muhimu sana na nilazima uliangalie hilo kabla hujaingia kwenye mapenzi. honestly wazazi wapo sahii kabisa. wewe na mpenzi wako ndio mmebugi meeeeeen!!!!
 

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Messages
4,225
Points
1,195

WABHEJASANA

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2011
4,225 1,195
mimi ni mwanajamii mwenzenu naomba msaada wenu wa kimapenzi ninja mpezi wangu ni muislam mimi ni mkristo tunapendana sana ila wazazi wake hawataki awe na mkristo sasa nifanyaje
Angalia hapo kwenye red kama kweli yeye ni wa mlengo huo achana naye kabisa atakumaliza huyo,isitoshe hapo alipo kaficha Majambia mgongoni huajayaona tu,na visu viiingi kiunoni,kuwa mbali na huyo mtu haraka!!
 

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
52,980
Points
2,000

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
52,980 2,000
Binafsi si muumini wa ndoa za imani mbili tofauti kidini.
Ushauri pekee ninaoweza kuutoa ni hakikisha unapata suluhu ya imani yako na mwenzi wako kabla ya hatua imayofuata.
 

Forum statistics

Threads 1,389,283
Members 527,879
Posts 34,022,069
Top