Njia panda, help pliz

mwanamke asiyefuata maagizo yako hakufai, hapo ni girlfriend je ukimweka ndani itakuwaje? kipindi cha relation watu huwa wanaficha makucha, huyo kama hapo ndo kaficha makucha alafu ndo anafanya hayo na anashindwa kukutii, chukua maamuzi magumu utapata mwingine tena mzuri zaidi yake baada ya muda mfupi
 
Kaka labda unasubiri fumanizi ndio uelewe nini? Kama jamaa umeshamwambia bado tu hajakusikia, na huyo mchumba wako naye pia hajakusikia, unasubiri nini mkuu hapo??. kwa kusoma tu mazingira hujaelewa tu? Mwanaume sifa yake kubwa anatumia sana Kichwa kwenye mahusiano kuliko moyo, lakini ukaruhusu moyo ukamzidi kichwa ndio ukipofu huwa unaanzia hapo.
 
mwanamke asiyefuata maagizo yako hakufai, hapo ni girlfriend je ukimweka ndani itakuwaje? kipindi cha relation watu huwa wanaficha makucha, huyo kama hapo ndo kaficha makucha alafu ndo anafanya hayo na anashindwa kukutii, chukua maamuzi magumu utapata mwingine tena mzuri zaidi yake baada ya muda mfupi

Nmekusoma mkuu,
 
kwenye mapenzi sidhani kama ni kuhusu utii kwa.kila kitu, ila kuna vitu hupaswi kufanya kwa sababu sio sahihi kuvifanya. Ama pia vinamuumiza mwenzio. Ndio maana twaambiwa usimtendee mwenzio usichopenda kutendewa. Amuulize huyo chaurembo, utajisikiaje ukiwa mgonjwa unafika kwangu na kumkuta mdada ambae nawasiliana nae kila siku kaketi ananifariji?
 
Nice one, gud qn bro
 
ni muhimu kuheshimiana na kuhakikisha kunakuwa na mutual understanding kuna wakati ambapo mtu una-sacrifice kitu unachokipenda kwa ajili ya mwenzio endapo umeona haridhishwi na mambo fulani fulani hv. ukishindwa kufanya hivyo hence no care at all
 
Mkuu we si ndio unayetaka kuoa na si kuolewa, fanya maamuzi ambayo yatakua ni sahihi kwa hatma ya ndoa yenu. Mwanamke asiyekuaikia na kukuelewa kabla ya ndoa usitegemee kama atakuelewa na kuwa msikivu wakati wa ndoa.
 
Mkuu mbona kila kitu kiko wazi hapo hamna kitu, wife materials do not behave that way!
 
Mwanaume neno lake moja tu,la pili linafuatana na maamuzi magumu,mwambie kama anaendelea kuwasiliana na jamaa then ww huwez kuendelea naye..jiamini kaka hao wachumba wako kibao

ni kweli wachumba wako kibao na inaonekana uyo duu amekuona zuzu bro kama vip piga chini ufanye mambo mengine
 
Piga chini, demu atakuwaje na urafiki na men tena wakubembelezana hata wakati wakuumwa.. Huyooo dem siooooo kabisa
 
unafikir weye best!si yule uliyemnukuu!mtu unaweka umombo halafu huuweki vizuri si mambo ya aibu haya!hebu niongee lugha niliyojifunza chini ya mwembe mie!

It iz very tru bat itiz not concening you, u beta help him ma fello bratha. Contibute anythang. Thenk u. LOL!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Huyo msichana sio mwaminifu kwako na sidhani kama ana kupenda kwa dhati! Jaribu kufanya uchunguzi na kuongea nae kabla ujachukua maamuzi!

Jaman me na mchumba wangu my wife to be, kuna jamaa ambaye najua anamfuatilia na nishamwambia my girl kuhusu huyo people na kumuonya astop communicatn nae bt cha ajabu nikishika phone yake call list nakuta na ya huyo msela nikimwambia anadai ni normal friend nisihofu cha kushangaza mchumba wangu alikuwa anaumwa nikaenda kumuona kwao bt nikamkuta mshikaji ndani kaketi kaja kumuona, hapa nashindwa kuelewa is just friendship au coz nishamwambia astop mawasiliano bt they are stil, njia panda is she love him or friendship
 
Jamaa ana onekana kasha mfia huyo msichana kwa hiyo ana weza asistuke na unaona ana muita wife wake to be! Ndio hapo baadaye ana kuja kulalamika kuwa mke wake ana toka nje kumbe akafanya makosa toka mwanzo!

Mwanaume neno lake moja tu,la pili linafuatana na maamuzi magumu,mwambie kama anaendelea kuwasiliana na jamaa then ww huwez kuendelea naye..jiamini kaka hao wachumba wako kibao

Hapa umemaliza mkuu hana haja ya kujiuliza tena!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom