Njia panda, help pliz

its about time, huh? Women learned it from the best, they learned it from you!

Kingasti still aiseee,maana imekuwa too much na kwa mila na desturi haipaswi kuwa hivyo,inabidi siku zote mwanamke awe mpole na sio kufanya mambo ya ajabu ajabu,naona nowdays wanaume wanalizwa kishenzi,

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
ni kweli wachumba wako kibao na inaonekana uyo duu amekuona zuzu bro kama vip piga chini ufanye mambo mengine

Mapenzi mkuu acha tu,hii kitu hatari sana aiseee,jamaaa hapo naona ushauri tunaompa hapa kama tunamzingua tu kumbe akifuatilia utawork na kufanya kazi,hawa watu wakipendwa kupita kiasi mwishoni ndio inakuwa hivyo sasa.....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Jaman me na mchumba wangu my wife to be, kuna jamaa ambaye najua anamfuatilia na nishamwambia my girl kuhusu huyo people na kumuonya astop communicatn nae bt cha ajabu nikishika phone yake call list nakuta na ya huyo msela nikimwambia anadai ni normal friend nisihofu cha kushangaza mchumba wangu alikuwa anaumwa nikaenda kumuona kwao bt nikamkuta mshikaji ndani kaketi kaja kumuona, hapa nashindwa kuelewa is just friendship au coz nishamwambia astop mawasiliano bt they are stil, njia panda is she love him or friendship

"kuhusu huyo people"??????????
 
Hao lazima watakuwa wanaunganisha VIKOJOLEO tu.Kimbia kabla hujapewa li kibuti la Suprise.
 
Aisee ni soo, jamani nashukuruni kwa mawazo bt stil I love her, maamuzi magumu bado ni ishu honestly!

kweli jamaa yngu! Unafaa kuwa police wewe. Kwa Machache tu nliyokuona nayo aise umetoklezea! Kwa hiyo ndio umemaliza sio???
 
Aisee ni soo, jamani nashukuruni kwa mawazo bt stil I love her, maamuzi magumu bado ni ishu honestly!

ni bora ukamuacha mapema kuliko uje uachwe wewe baadae..utaumia zaidi..mapenzi ndivyo yalivyo..unaumia ndio lakini kisicho riziki hakiliki, usilazimishe utaja juta baadae..maumivu yataisha na utampata mwingine, utamsahau ..vinginevyo ukubali kuishi in a perpetual miserable life
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom