Itscharlie
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,794
- 15,772
Eti kuna ukweli wowote juu ya msemo madereva wa kanda ya ziwa hawana uwezo waku battle mbele ya njia ya nyanda ya kusini.?
NB: Inasemekana njia za nyanda ya kusini ni ngumu zaidi kuliko kanda ya ziwa... Vipi imekaaje hii wakuu tupe uzoefu wako.
Kwangu Mimi naona nyanda za juu kusini ni njia ya kiume sana hasa ukianzia hapo iyovi,kitonga, na kuendelea transit,IT ni nyingi mno umakini wako ndio usalama wako.
Karibuni tuchangie.