Njia mpya ya wizi tuwe makini, epuka kutapeliwa

Aisee hii kitu ni kweli leo nimepigiwa simu na namba ngeni nimtumie namba ya bodaboda yupo sinza mori tena ni mwalimu anashida na mtu wa bodaboda... nikakumbuka kuna uzi jamiiforums,
 
Nilikuwa sijui kama kuna watu wana akili ndogo kiasi cha kutapeliwa kirahisi namna hiyo. Alichosema mleta mada na hiki ulichosema wewe, naomba uniamini tu kwamba litafanya kazi wa watu wenye akili ndogo sana.
Haya haina shida mkuu
 
Yawezekana hanunui kwa cash bali anachukua duka analofahamiana/amejijengea uaminifu kwa mali kauli tu.

Mie yupo alikuwa ananiletea vifaa vya ujenzi kwa staili hiyo hata mzigo wa 80K
Hapana. Naweza kumtuma vitu ambavyo viko mbali na maeneo ninayoishi kwenye maduka au butcher ambalo hana mazaoea nalo kabisa!!! Mfano unamtuma Makongo kwenye butcher la kitimoto akuletee kilo 3 za kitimoto, kuku wanne Interchick, nyama kilo 3 na samaki kilo 3. Hapo ni zaidi ya 70k na analipa anakuletea vitu ninamrudishia pesa yake.
 
Habar ya Leo,

Naomba kushare na wa Tanzania wenzangu kuna aina ya wizi mpya umeanza kushamili.

Iko hivi, Jana nikiwa nimekaa na familia yangu majira ya jioni nilipigiwa simu na namba ngeni, nilipopokea sauti ilikuwa ya kiume ikiniita Mkuu samahani naomba unisaidie namba ya bodaboda ambaye unamwamini nahitaji aniletee chakula eneo la new park range, nikamjibu sawa mkuu muda si mrefu nikamutumia Ile namba ya bodaboda ambaye mimi huwa ananisaidia kazi

Kumbe baada tu ya kumtumia namba alimpigia yule boda akamwambia namba nimepewa na fulani hivyo nahitaji kukuagiza chips uniletee na kweli yule bodaboda alikubali akaenda kuchoma chips wakati anachoma chips alipokea simu nyingne kutoka kwenye Ile namba akamwambia naomba uniwekee shilling elf 30,000/ kwenye namba yangu hii ukiwa unaleta chips basi utakuja kuipata pesa Yako. Kweli bodaboda alifanya hivyo Kwa kumuwekea pesa hiyo kwenye namba hiyo, na baadaye aliendelea kuchoma chips

Baada tu ya kumaliza kuchoma anampigia simu namba haipokelewi, alipiga Mara 3 namba haipokelewi akasema afike eneo alilotajiwa hakukuta mtu yeyote ndipo aliponitafuta na kuniuliza nikawaambia ni kweli mtu huyo alinipigia na Mimi ndiye niliyemtumia namba

Nikajaribu kumpigia kwa namba yangu pia hakupokea, baada ya muda kidogo ndipo nilipogundua amemtapeli bodaboda kwa kupitia Mimi.

Please ndg zangu naomba share kadri uwezavyo watu wapate uelewa na kufahamu
Hii ni uongo, yaani mtu humjui umpe namba ya bodaboda? We ni yellow pages?!
 
Hili tukio ulilopigwa lipo category ya social engineering, watu wanakuandama kwamba inakuwaje unampa mtu number usiyemjua, wanashindwa kujua unaweza kuwa na rafiki wa rafiki yako ambaye wewe hufahamiani naye. Hivyo, unapopokea number automaticaly unajua huyu jamaa ameunganishwa nami na mtu ninayemfahamu.
 
Kuna bodaboda alisafirisha jeneza kutoka Serengeti hadi Tarime... Na hela alipigwa pia.
 
Nilichogundua watu humu ni wabishi, mnaambiwa mbinu za wizi zinazotumika mnakaza shingo.
Mimi huu wizi naujua na nimeshuhudia Mara 4 bodaboda wakitapeliwa. Kifupi huwezi kuchomoa kumsaidia mtu Namba ya boda, maana akilini mwako ni kama unamuongezea boda wako kazi zaidi.
Wao ndio wa natumia mwanya huo kutapeli.
 
Habar ya Leo,

Naomba kushare na wa Tanzania wenzangu kuna aina ya wizi mpya umeanza kushamili.

Iko hivi, Jana nikiwa nimekaa na familia yangu majira ya jioni nilipigiwa simu na namba ngeni, nilipopokea sauti ilikuwa ya kiume ikiniita Mkuu samahani naomba unisaidie namba ya bodaboda ambaye unamwamini nahitaji aniletee chakula eneo la new park range, nikamjibu sawa mkuu muda si mrefu nikamutumia Ile namba ya bodaboda ambaye mimi huwa ananisaidia kazi

Kumbe baada tu ya kumtumia namba alimpigia yule boda akamwambia namba nimepewa na fulani hivyo nahitaji kukuagiza chips uniletee na kweli yule bodaboda alikubali akaenda kuchoma chips wakati anachoma chips alipokea simu nyingne kutoka kwenye Ile namba akamwambia naomba uniwekee shilling elf 30,000/ kwenye namba yangu hii ukiwa unaleta chips basi utakuja kuipata pesa Yako. Kweli bodaboda alifanya hivyo Kwa kumuwekea pesa hiyo kwenye namba hiyo, na baadaye aliendelea kuchoma chips

Baada tu ya kumaliza kuchoma anampigia simu namba haipokelewi, alipiga Mara 3 namba haipokelewi akasema afike eneo alilotajiwa hakukuta mtu yeyote ndipo aliponitafuta na kuniuliza nikawaambia ni kweli mtu huyo alinipigia na Mimi ndiye niliyemtumia namba

Nikajaribu kumpigia kwa namba yangu pia hakupokea, baada ya muda kidogo ndipo nilipogundua amemtapeli bodaboda kwa kupitia Mimi.

Please ndg zangu naomba share kadri uwezavyo watu wapate uelewa na kufahamu
Wewe na huyo bodaboda wako mtakuwa ni vilaza pro max.
 
Yani wewe ulitoa namba kwa mtu usiye mfahamu!? Tatizo lipo kwako.
 
Nilichogundua watu humu ni wabishi, mnaambiwa mbinu za wizi zinazotumika mnakaza shingo.
Mimi huu wizi naujua na nimeshuhudia Mara 4 bodaboda wakitapeliwa. Kifupi huwezi kuchomoa kumsaidia mtu Namba ya boda, maana akilini mwako ni kama unamuongezea boda wako kazi zaidi.
Wao ndio wa natumia mwanya huo kutapeli.
Yan unapokea namba ngeni bila hata kuhoji unaye ongea naye ni nani? aisee hii kali.

Tena huyo boda inabidi akamshtaki huyo jamaa maana amekiri yeye mwenyewe kuwa ndio alimpa namba za simu na kusababisha demage!
 
Yaani ukiitwa Mkuu tu basi unatoa namba ya mtu yeyote bila hata kuhoji kazi ipo ndio maana matapeli wanakuja na miguu ya zamani wageni mjini wanajua miguu mipya hapo wewe ndio umempelekea Moto boda boda hata lolote baya lingetokea huko wewe moja kwa moja unahusika...
Kwakweli afanye kumlipa 30K yake tu
 
Hii n kweli ipo,imemtokea jamaa juzi…

Iko iv,kuna wale wanauzaga bidhaa online akapiga cm ofisin afanyiwe delivery ya flan ikifka atalipwa boda kabla hajafka jamaa akampgia cm amnunulie luku ya 30000 akifka anampa naya mzigo jamaa akaenda kwa wakala kafanya muamala kwa tapeli ili anunue luku baada yakufka boda anapga namba haipatkan

Huu n kama utapeli mpya wa sasa,hata hvyo tusiwaone wajinga/wazembe

SIKU YA KUTAPELIWA HATA UWE MZOEFU NA MJANJA utajitahd kukwepa ila kuna siku utanasa kizembe sana! Kila mtu ana siku yake ya kutapeliwa kama Haijafka ipo inakuja
 
Hapo unakua haujatapeliwa umetoa tuu mwenyewe utapeli gani sasa huo eti ninunulie Luku harafu iweje kisa umeleta mzigo? Kwa hiyo ukifanya kazi tu na mtu haujamfahamu vizuri inapelekea kumuamini kwa kitu chochote atakachosema kwa muda mfupi? Muwe mnajiongeza bhana ili mkaendelea kuwapa watu hela bure na kusema mmetapeliwa upo utapeli ukisimulia unasema hapa watu wametumia akili kumtapeli ila sio hii ya ninunulie kitu au toa huduma hii..
 
Back
Top Bottom