Njia mpya ya wizi wa kwa miniwa/Utapeli Mjini

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,275
21,448
Habar ya Leo, Naomba kushare na WA Tanzania wenzangu Kuna aina ya wizi mpya umeanza kushamili,
Iko hivi

Jana nikiwa nimekaa na familia yangu majira ya jion nilipigiwa simu na namba ngeni, nilipopokea sauti ilikuwa ya kiume ikiniita Mkuu samahani naomba unisaidie namba ya boda boda ambaye unamwamini nahitaji aniletee chakula eneo la new park range,

nikamjibu sawa mkuu mda si mrefu nikamutumia Ile namba ya bodaboda ambaye Mimi Huwa ananisaidia kazi, kumbe baada tu yakutumia namba alimpigia yule boda akamwambia namba

nimepewa na flani hivyo nahitaji kukuagiza chips uniletee na kweli yule bodaboda alikubali akaenda kuchoma chips wakati anachoma chips alipokea simu nyingne kutoka kwenye Ile namba

akamwambia naomba uniwekee shilling elf 30,000/ kwenye namba yangu hii ukiwa unaleta chips bas utakuja kuipata pesa Yako, kweli bodaboda alifanya hivyo Kwa kumuwekea pesa hiyo kwenye namba hiyo, na

Badaye aliendelea kuchoma chips baada tu yakumaliza kuchoma anampigia simu namba haipokelewi, alipiga Mara 3 namba haipokelewi akasema afike eneo alilotajiwa hakukuta mtu yeyote nipo alipo nitafta na kuniuliza nikawaambia ni kweli mtu huyo alinipigia na Mimi ndiye niliyemtumia namba nikajaribu Kumpigia Kwa namba yangu pia hakupokea, baada ya mda kidogo ndipo nilipogundua amemtapeli bodaboda Kwa kupitia Mimi,

Please ndg zangu naomba share kadri uwezavyo watu wapate uelewa huo.
 
Unatoaje namba ya mtu kwa mtu usiemfahamu? Utamuuza hata mke wako hivi hivi.
Kutotoa numba ya mwenzio kwa ajoli ya kumpa mteja ni roho mbaya........atawenyewe husema akipata mteja mpe number yangu
 
Mtu humfahamu anakuja kuomba namba kwako. Kwani utapata shida gani kumuuliza yeye ni nani ili umfahamu mtu inayemsaidia. Utawauza wengi sana!
 
Ahsante kwa kutukumbusha.. ila me najua hii story sio yako.
Ni ka sms flani forwaded kanazagaa sana Whatsapp.

Nina boda wangu wa3 ninao waamini… siku wakinipiga tukio nitalia 😂😂

1. Huyu yuko Town… nilipewaga na mtu siku natafuta boda aliyepo town. nilianza kumuamini sana siku nimemuagiza sehemu akachukue pesa afu adeposit bank flani ambayo haijazagaa mawakala mpaka uende mjini. Pesa ilikuwa 1M… akaifata, akadeposit na kuniletea slip nilipokuwa.

2. Yuko around kazini… namtumia sanaaa
Kwa kazini na mambo binafsi

3. Around mtaani… nae nishamwagiza issue ya pesa.

Na mtu akitaka boda akaniomba namba zao uwa natoa bila shaka
 
Kitu kinachoitwa PESA unabidi kuwa nacho makini Sana japo hii story ni ya kutunga ila umakini muhimu
 
Habar ya Leo, Naomba kushare na WA Tanzania wenzangu Kuna aina ya wizi mpya umeanza kushamili,
Iko hivi

Jana nikiwa nimekaa na familia yangu majira ya jion nilipigiwa simu na namba ngeni, nilipopokea sauti ilikuwa ya kiume ikiniita Mkuu samahani naomba unisaidie namba ya boda boda ambaye unamwamini nahitaji aniletee chakula eneo la new park range,

nikamjibu sawa mkuu mda si mrefu nikamutumia Ile namba ya bodaboda ambaye Mimi Huwa ananisaidia kazi, kumbe baada tu yakutumia namba alimpigia yule boda akamwambia namba

nimepewa na flani hivyo nahitaji kukuagiza chips uniletee na kweli yule bodaboda alikubali akaenda kuchoma chips wakati anachoma chips alipokea simu nyingne kutoka kwenye Ile namba

akamwambia naomba uniwekee shilling elf 30,000/ kwenye namba yangu hii ukiwa unaleta chips bas utakuja kuipata pesa Yako, kweli bodaboda alifanya hivyo Kwa kumuwekea pesa hiyo kwenye namba hiyo, na

Badaye aliendelea kuchoma chips baada tu yakumaliza kuchoma anampigia simu namba haipokelewi, alipiga Mara 3 namba haipokelewi akasema afike eneo alilotajiwa hakukuta mtu yeyote nipo alipo nitafta na kuniuliza nikawaambia ni kweli mtu huyo alinipigia na Mimi ndiye niliyemtumia namba nikajaribu Kumpigia Kwa namba yangu pia hakupokea, baada ya mda kidogo ndipo nilipogundua amemtapeli bodaboda Kwa kupitia Mimi,

Please ndg zangu naomba share kadri uwezavyo watu wapate uelewa huo.
huyo aliekpgia sim ww binafs una mfaham au ? na km humjui uliweza kumhoj no yk kaipataje
 
Ahsante kwa kutukumbusha.. ila me najua hii story sio yako.
Ni ka sms flani forwaded kanazagaa sana Whatsapp.

Nina boda wangu wa3 ninao waamini… siku wakinipiga tukio nitalia

1. Huyu yuko Town… nilipewaga na mtu siku natafuta boda aliyepo town. nilianza kumuamini sana siku nimemuagiza sehemu akachukue pesa afu adeposit bank flani ambayo haijazagaa mawakala mpaka uende mjini. Pesa ilikuwa 1M… akaifata, akadeposit na kuniletea slip nilipokuwa.

2. Yuko around kazini… namtumia sanaaa
Kwa kazini na mambo binafsi

3. Around mtaani… nae nishamwagiza issue ya pesa.

Na mtu akitaka boda akaniomba namba zao uwa natoa bila shaka
Naomba namba ya huyo wa 3 mkuu nimuagize chap
 
Ahsante kwa kutukumbusha.. ila me najua hii story sio yako.
Ni ka sms flani forwaded kanazagaa sana Whatsapp.

Nina boda wangu wa3 ninao waamini… siku wakinipiga tukio nitalia 😂😂

1. Huyu yuko Town… nilipewaga na mtu siku natafuta boda aliyepo town. nilianza kumuamini sana siku nimemuagiza sehemu akachukue pesa afu adeposit bank flani ambayo haijazagaa mawakala mpaka uende mjini. Pesa ilikuwa 1M… akaifata, akadeposit na kuniletea slip nilipokuwa.

2. Yuko around kazini… namtumia sanaaa
Kwa kazini na mambo binafsi

3. Around mtaani… nae nishamwagiza issue ya pesa.

Na mtu akitaka boda akaniomba namba zao uwa natoa bila shaka

Jiangalie Sana kuna mmoja atakufata baa akupeleke nyumbani umelewa..utashangaa Una amka nae lodge...na utashindwa hata kusimulia watu
 
Habar ya Leo, Naomba kushare na WA Tanzania wenzangu Kuna aina ya wizi mpya umeanza kushamili,
Iko hivi

Jana nikiwa nimekaa na familia yangu majira ya jion nilipigiwa simu na namba ngeni, nilipopokea sauti ilikuwa ya kiume ikiniita Mkuu samahani naomba unisaidie namba ya boda boda ambaye unamwamini nahitaji aniletee chakula eneo la new park range,

nikamjibu sawa mkuu mda si mrefu nikamutumia Ile namba ya bodaboda ambaye Mimi Huwa ananisaidia kazi, kumbe baada tu yakutumia namba alimpigia yule boda akamwambia namba

nimepewa na flani hivyo nahitaji kukuagiza chips uniletee na kweli yule bodaboda alikubali akaenda kuchoma chips wakati anachoma chips alipokea simu nyingne kutoka kwenye Ile namba

akamwambia naomba uniwekee shilling elf 30,000/ kwenye namba yangu hii ukiwa unaleta chips bas utakuja kuipata pesa Yako, kweli bodaboda alifanya hivyo Kwa kumuwekea pesa hiyo kwenye namba hiyo, na

Badaye aliendelea kuchoma chips baada tu yakumaliza kuchoma anampigia simu namba haipokelewi, alipiga Mara 3 namba haipokelewi akasema afike eneo alilotajiwa hakukuta mtu yeyote nipo alipo nitafta na kuniuliza nikawaambia ni kweli mtu huyo alinipigia na Mimi ndiye niliyemtumia namba nikajaribu Kumpigia Kwa namba yangu pia hakupokea, baada ya mda kidogo ndipo nilipogundua amemtapeli bodaboda Kwa kupitia Mimi,

Please ndg zangu naomba share kadri uwezavyo watu wapate uelewa huo.

Most likely ni boda boda mwingine ndo kafanya huo mchezo....
Next time usimpe mtu namba ...
 
😂😂 dah! Umewaza nje ya box.. inawezekana…. Ila mie nikiwa bar uwa ni indrive tu, baridi ya huku siwezi jiumiza na boda boda za usiku hata kwa bahati mbaya.
Jiangalie Sana kuna mmoja atakufata baa akupeleke nyumbani umelewa..utashangaa Una amka nae lodge...na utashindwa hata kusimulia watu
 
😂😂 dah! Umewaza nje ya box.. inawezekana…. Ila mie nikiwa bar uwa ni indrive tu, baridi ya huku siwezi jiumiza na boda boda za usiku hata kwa bahati mbaya.

Sio nje ya box ..
Kuna mdada namjua kafanyiwa hivyo...
Huyo mdada ni mzuri Sana ...Hamisa Mobetto haingii hata robo...
Na huyo bodaboda Sura imejaa utango utango....na ndie anaesimulia watu sasa mitaani
 
Back
Top Bottom