Njia mpya ya wizi tuwe makini, epuka kutapeliwa

Very poor

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
347
509
Habar ya Leo,

Naomba kushare na wa Tanzania wenzangu kuna aina ya wizi mpya umeanza kushamili.

Iko hivi, Jana nikiwa nimekaa na familia yangu majira ya jioni nilipigiwa simu na namba ngeni, nilipopokea sauti ilikuwa ya kiume ikiniita Mkuu samahani naomba unisaidie namba ya bodaboda ambaye unamwamini nahitaji aniletee chakula eneo la new park range, nikamjibu sawa mkuu muda si mrefu nikamutumia Ile namba ya bodaboda ambaye mimi huwa ananisaidia kazi

Kumbe baada tu ya kumtumia namba alimpigia yule boda akamwambia namba nimepewa na fulani hivyo nahitaji kukuagiza chips uniletee na kweli yule bodaboda alikubali akaenda kuchoma chips wakati anachoma chips alipokea simu nyingne kutoka kwenye Ile namba akamwambia naomba uniwekee shilling elf 30,000/ kwenye namba yangu hii ukiwa unaleta chips basi utakuja kuipata pesa Yako. Kweli bodaboda alifanya hivyo Kwa kumuwekea pesa hiyo kwenye namba hiyo, na baadaye aliendelea kuchoma chips

Baada tu ya kumaliza kuchoma anampigia simu namba haipokelewi, alipiga Mara 3 namba haipokelewi akasema afike eneo alilotajiwa hakukuta mtu yeyote ndipo aliponitafuta na kuniuliza nikawaambia ni kweli mtu huyo alinipigia na Mimi ndiye niliyemtumia namba

Nikajaribu kumpigia kwa namba yangu pia hakupokea, baada ya muda kidogo ndipo nilipogundua amemtapeli bodaboda kwa kupitia Mimi.

Please ndg zangu naomba share kadri uwezavyo watu wapate uelewa na kufahamu
 
Yaani namba ya mtu anakupigia humfahamu halafu unamuunga na Boda? Yaani Mimi ningemuuliza maswali mengi Sana na hata anipe majibu gani nisingempa namba. Shukuru Mungu hawakumwibia Bodaboda Boda yake au kwenda kumuua wachukue Boda. Yaani ingekuta muda huu unaisaidia Jamhuri.
 
Kuna boda gani mjinga kisi cha kutuma 30000Tsh kwa mtu asiyemjua ili akaifate akienda..?

Yaani nikuazime 30000Tsh kisha uniambie nitaikuta nikija (probably baada ya 30mins kwamfano), kama unayo ya kunirudishia nikifika hapo kwanini usiitumie hiyo badala ya kuniomba yangu.?

Haiingii akili, CHAI hii.
 
Kuna dogo mmoja ni shemeji nae walitaka kumpiga juzi. Yeye aligizwa dawa na maji. Baadae akaambiwa amnunulie luku. Yeye alikomaa kuwa hana hela jamaa akamwambie aende Kwa wakala anaejuana nae. Dogo bado akakomaa na akaamua kumpelekea tu hizo dawa na maji. Kufikia eneo husika ni pembeni ya Shule ambao aliambiwa akifika apige honi. Kweli bwana, dogo kufika pale anapiga honi akatokea mlinzi wa shule. Dogo kumuelezea ndio mlinzi anamshtua kuwa wengi sana wanaelekezwa waje hapo ili ni matapeli tu.
Uzuri dogo alifanikiwa kurudisha zile dawa Pharmacy na akapewa hela yake
 
Dogo nae kama boda tu🤓🤓🤓🤓🤓
 
Kuna boda gani mjinga kisi cha kutuma 30000Tsh kwa mtu asiyemjua ili akaifate akienda..?

Yaani nikuazime 30000Tsh kisha uniambie nitaikuta nikija (probably baada ya 30mins kwamfano), kama unayo ya kunirudishia nikifika hapo kwanini usiitumie hiyo badala ya kuniomba yangu.?

Haiingii akili, CHAI hii.
Inaweza isiwe chai, inategemea guyo boda anamuamini kiasi gani huyo mtoa namba japo naysona makosa mawili;

1. Boda kutojiridhisha hasa kwa mtoa namba
2. Mtoa namba kutomhoji muomba namba

3. Likazaliwa kosa lingine...mtoa namba na boda kushindwa kuwasiliana
 
Habar ya Leo,

Naomba kushare na wa Tanzania wenzangu kuna aina ya wizi mpya umeanza kushamili.

Iko hivi, Jana nikiwa nimekaa na familia yangu majira ya jioni nilipigiwa simu na namba ngeni, nilipopokea sauti ilikuwa ya kiume ikiniita Mkuu samahani naomba unisaidie namba ya bodaboda ambaye unamwamini nahitaji aniletee chakula eneo la new park range, nikamjibu sawa mkuu muda si mrefu nikamutumia Ile namba ya bodaboda ambaye mimi huwa ananisaidia kazi

Kumbe baada tu ya kumtumia namba alimpigia yule boda akamwambia namba nimepewa na fulani hivyo nahitaji kukuagiza chips uniletee na kweli yule bodaboda alikubali akaenda kuchoma chips wakati anachoma chips alipokea simu nyingne kutoka kwenye Ile namba akamwambia naomba uniwekee shilling elf 30,000/ kwenye namba yangu hii ukiwa unaleta chips basi utakuja kuipata pesa Yako. Kweli bodaboda alifanya hivyo Kwa kumuwekea pesa hiyo kwenye namba hiyo, na baadaye aliendelea kuchoma chips

Baada tu ya kumaliza kuchoma anampigia simu namba haipokelewi, alipiga Mara 3 namba haipokelewi akasema afike eneo alilotajiwa hakukuta mtu yeyote ndipo aliponitafuta na kuniuliza nikawaambia ni kweli mtu huyo alinipigia na Mimi ndiye niliyemtumia namba

Nikajaribu kumpigia kwa namba yangu pia hakupokea, baada ya muda kidogo ndipo nilipogundua amemtapeli bodaboda kwa kupitia Mimi.

Please ndg zangu naomba share kadri uwezavyo watu wapate uelewa na kufahamu
We jamaa itakua ni kikapu sana. Yaani mtu haumjui anakuupigia simu, na kujitambulisha, anakuomba namba ya mtu hata kama kwa mtu huyo ni faida. Wewe ukavimba kichwa kwa kuitwa "mkuu"? What if angeenda kuuawa?
Watu huwa hamshughulishi kabisa akili zenu hadi mpatwe na ya kuwapateni.
 
Iko hivi, Jana nikiwa nimekaa na familia yangu majira ya jioni nilipigiwa simu na namba ngeni, nilipopokea sauti ilikuwa ya kiume ikiniita Mkuu samahani naomba unisaidie namba ya bodaboda ambaye unamwamini nahitaji aniletee chakula eneo la new park range, nikamjibu sawa mkuu muda si mrefu nikamutumia Ile namba ya bodaboda ambaye mimi huwa ananisaidia kazi
Hapa ndipo ulipopuliziwa madawa ya kulevya, kwanini hukuuliza yeye ni nani kwakuwa namba ni ngeni?
 
Hii ni chai ya mchana kabisa, kama sio chai basi we na bodaboda wako wote wazembe NA wala hapa hakuna utapeli.
Unapigiwa tu simu na mtu humjui unaanza kumtumia namba za watu? na huyo boda anaambiwa tu atume hela kwa mtu ambaye hamjui na anatuma?
Peleka upuuzi wako jukwaa la vichekesho
 
Habar ya Leo,

Naomba kushare na wa Tanzania wenzangu kuna aina ya wizi mpya umeanza kushamili.

Iko hivi, Jana nikiwa nimekaa na familia yangu majira ya jioni nilipigiwa simu na namba ngeni, nilipopokea sauti ilikuwa ya kiume ikiniita Mkuu samahani naomba unisaidie namba ya bodaboda ambaye unamwamini nahitaji aniletee chakula eneo la new park range, nikamjibu sawa mkuu muda si mrefu nikamutumia Ile namba ya bodaboda ambaye mimi huwa ananisaidia kazi

Kumbe baada tu ya kumtumia namba alimpigia yule boda akamwambia namba nimepewa na fulani hivyo nahitaji kukuagiza chips uniletee na kweli yule bodaboda alikubali akaenda kuchoma chips wakati anachoma chips alipokea simu nyingne kutoka kwenye Ile namba akamwambia naomba uniwekee shilling elf 30,000/ kwenye namba yangu hii ukiwa unaleta chips basi utakuja kuipata pesa Yako. Kweli bodaboda alifanya hivyo Kwa kumuwekea pesa hiyo kwenye namba hiyo, na baadaye aliendelea kuchoma chips

Baada tu ya kumaliza kuchoma anampigia simu namba haipokelewi, alipiga Mara 3 namba haipokelewi akasema afike eneo alilotajiwa hakukuta mtu yeyote ndipo aliponitafuta na kuniuliza nikawaambia ni kweli mtu huyo alinipigia na Mimi ndiye niliyemtumia namba

Nikajaribu kumpigia kwa namba yangu pia hakupokea, baada ya muda kidogo ndipo nilipogundua amemtapeli bodaboda kwa kupitia Mimi.

Please ndg zangu naomba share kadri uwezavyo watu wapate uelewa na kufahamu
Na nyie. Wa mjini mnatapeliwa kiboya namna hii
 
Hii ni chai ya mchana kabisa, kama sio chai basi we na bodaboda wako wote wazembe NA wala hapa hakuna utapeli.
Unapigiwa tu simu na mtu humjui unaanza kumtumia namba za watu? na huyo boda anaambiwa tu atume hela kwa mtu ambaye hamjui na anatuma?
Peleka upuuzi wako jukwaa la vichekesho
Sio chai mkuu. Huu wizi upo aisee. Tena wanafanya kabisa research kabla hawajakupiga. Mfano huyu dogo yeye walimpigia na kumuita jina lake kabisa na wakamuuliza kama yupo kituo anachpark. Walikitaja jina na wakamuelekeza aende sehemu ambayo dogo anapajua vizuri sana
 
Habar ya Leo,

Naomba kushare na wa Tanzania wenzangu kuna aina ya wizi mpya umeanza kushamili.

Iko hivi, Jana nikiwa nimekaa na familia yangu majira ya jioni nilipigiwa simu na namba ngeni, nilipopokea sauti ilikuwa ya kiume ikiniita Mkuu samahani naomba unisaidie namba ya bodaboda ambaye unamwamini nahitaji aniletee chakula eneo la new park range, nikamjibu sawa mkuu muda si mrefu nikamutumia Ile namba ya bodaboda ambaye mimi huwa ananisaidia kazi

Kumbe baada tu ya kumtumia namba alimpigia yule boda akamwambia namba nimepewa na fulani hivyo nahitaji kukuagiza chips uniletee na kweli yule bodaboda alikubali akaenda kuchoma chips wakati anachoma chips alipokea simu nyingne kutoka kwenye Ile namba akamwambia naomba uniwekee shilling elf 30,000/ kwenye namba yangu hii ukiwa unaleta chips basi utakuja kuipata pesa Yako. Kweli bodaboda alifanya hivyo Kwa kumuwekea pesa hiyo kwenye namba hiyo, na baadaye aliendelea kuchoma chips

Baada tu ya kumaliza kuchoma anampigia simu namba haipokelewi, alipiga Mara 3 namba haipokelewi akasema afike eneo alilotajiwa hakukuta mtu yeyote ndipo aliponitafuta na kuniuliza nikawaambia ni kweli mtu huyo alinipigia na Mimi ndiye niliyemtumia namba

Nikajaribu kumpigia kwa namba yangu pia hakupokea, baada ya muda kidogo ndipo nilipogundua amemtapeli bodaboda kwa kupitia Mimi.

Please ndg zangu naomba share kadri uwezavyo watu wapate uelewa na kufahamu
Sjamlza kuisoma lakin unahitajika umlipe hiyo 30k huyo boda boda coz yeye alifaham huyo mtu huenda mnafahamian ndio mana akawa na moyo mwepesi wa kufanya hivo huwez muungunisha mtu biashara kwa mtu ambae hamjui yeye anamtreat huyo mtu kama wew akiamn kua mnafahamian na mna ukarimu nalog off
 
Kuna boda gani mjinga kisi cha kutuma 30000Tsh kwa mtu asiyemjua ili akaifate akienda..?

Yaani nikuazime 30000Tsh kisha uniambie nitaikuta nikija (probably baada ya 30mins kwamfano), kama unayo ya kunirudishia nikifika hapo kwanini usiitumie hiyo badala ya kuniomba yangu.?

Haiingii akili, CHAI hii.
Watanzania wangekuwa na Akili kama zako pengine tungekuwa mbali kimaendeleo,ila kwakuwa kila mmoja anazo akili zake basi usishangae huyo mtu kutapeliwa
 
Back
Top Bottom