niquetamere
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 532
- 1,017
Unamaanisha huyo boda boda ndo alikuwa anakaanga hizo chips mwenyewe?aliendelea kuchoma chips

ngumu sana boda kuwa na hiki kiasi mfukonishilling elf 30,000/
Unapigiwa simu na mtu usiyemjua anakwambia umtafutie bodaboda na wewe unatuma tu namba ya mtu!Habar ya Leo,
Naomba kushare na wa Tanzania wenzangu kuna aina ya wizi mpya umeanza kushamili.
Iko hivi, Jana nikiwa nimekaa na familia yangu majira ya jioni nilipigiwa simu na namba ngeni, nilipopokea sauti ilikuwa ya kiume ikiniita Mkuu samahani naomba unisaidie namba ya bodaboda ambaye unamwamini nahitaji aniletee chakula eneo la new park range, nikamjibu sawa mkuu muda si mrefu nikamutumia Ile namba ya bodaboda ambaye mimi huwa ananisaidia kazi
Kumbe baada tu ya kumtumia namba alimpigia yule boda akamwambia namba nimepewa na fulani hivyo nahitaji kukuagiza chips uniletee na kweli yule bodaboda alikubali akaenda kuchoma chips wakati anachoma chips alipokea simu nyingne kutoka kwenye Ile namba akamwambia naomba uniwekee shilling elf 30,000/ kwenye namba yangu hii ukiwa unaleta chips basi utakuja kuipata pesa Yako. Kweli bodaboda alifanya hivyo Kwa kumuwekea pesa hiyo kwenye namba hiyo, na baadaye aliendelea kuchoma chips
Baada tu ya kumaliza kuchoma anampigia simu namba haipokelewi, alipiga Mara 3 namba haipokelewi akasema afike eneo alilotajiwa hakukuta mtu yeyote ndipo aliponitafuta na kuniuliza nikawaambia ni kweli mtu huyo alinipigia na Mimi ndiye niliyemtumia namba
Nikajaribu kumpigia kwa namba yangu pia hakupokea, baada ya muda kidogo ndipo nilipogundua amemtapeli bodaboda kwa kupitia Mimi.
Please ndg zangu naomba share kadri uwezavyo watu wapate uelewa na kufahamu
Yaani kweli wewe uko Very poor hata kwenye kufikiri. Namba huijui halafu unatoa tu namba ya bodaboda bila kujiuliza kwanza huyo mtu ni nani na amepataje namba yako na ni kwa nini akutumie wewe kumpa namba ya bodaboda!!!!Habar ya Leo,
Naomba kushare na wa Tanzania wenzangu kuna aina ya wizi mpya umeanza kushamili.
Iko hivi, Jana nikiwa nimekaa na familia yangu majira ya jioni nilipigiwa simu na namba ngeni, nilipopokea sauti ilikuwa ya kiume ikiniita Mkuu samahani naomba unisaidie namba ya bodaboda ambaye unamwamini nahitaji aniletee chakula eneo la new park range, nikamjibu sawa mkuu muda si mrefu nikamutumia Ile namba ya bodaboda ambaye mimi huwa ananisaidia kazi
Kumbe baada tu ya kumtumia namba alimpigia yule boda akamwambia namba nimepewa na fulani hivyo nahitaji kukuagiza chips uniletee na kweli yule bodaboda alikubali akaenda kuchoma chips wakati anachoma chips alipokea simu nyingne kutoka kwenye Ile namba akamwambia naomba uniwekee shilling elf 30,000/ kwenye namba yangu hii ukiwa unaleta chips basi utakuja kuipata pesa Yako. Kweli bodaboda alifanya hivyo Kwa kumuwekea pesa hiyo kwenye namba hiyo, na baadaye aliendelea kuchoma chips
Baada tu ya kumaliza kuchoma anampigia simu namba haipokelewi, alipiga Mara 3 namba haipokelewi akasema afike eneo alilotajiwa hakukuta mtu yeyote ndipo aliponitafuta na kuniuliza nikawaambia ni kweli mtu huyo alinipigia na Mimi ndiye niliyemtumia namba
Nikajaribu kumpigia kwa namba yangu pia hakupokea, baada ya muda kidogo ndipo nilipogundua amemtapeli bodaboda kwa kupitia Mimi.
Please ndg zangu naomba share kadri uwezavyo watu wapate uelewa na kufahamu
Wapo baadhi. Mimi kuna boda huwa ninamuagiza vitu mpaka hata vya 70k ananunua akileta namrudishia pesa yakengumu sana boda kuwa na hiki kiasi mfukoni
Hii Ni Chai
Mimi pia, nashangaa wanaokataa kua haiwezekani sijui wanaishi vijiji vya wapiWapo baadhi. Mimi kuna boda huwa ninamuagiza vitu mpaka hata vya 70k ananunua akileta namrudishia pesa yake
Wanajizima data tu Kwan bodaboda si ni kama wao tuMimi pia, nashangaa wanaokataa kua haiwezekani sijui wanaishi vijiji vya wapi
Haiingii akilini mtu aagize chips kwa watu ambao hawajui wala hajawahi kuwaona, tena za babantilie!Habar ya Leo,
Naomba kushare na wa Tanzania wenzangu kuna aina ya wizi mpya umeanza kushamili.
Iko hivi, Jana nikiwa nimekaa na familia yangu majira ya jioni nilipigiwa simu na namba ngeni, nilipopokea sauti ilikuwa ya kiume ikiniita Mkuu samahani naomba unisaidie namba ya bodaboda ambaye unamwamini nahitaji aniletee chakula eneo la new park range, nikamjibu sawa mkuu muda si mrefu nikamutumia Ile namba ya bodaboda ambaye mimi huwa ananisaidia kazi
Kumbe baada tu ya kumtumia namba alimpigia yule boda akamwambia namba nimepewa na fulani hivyo nahitaji kukuagiza chips uniletee na kweli yule bodaboda alikubali akaenda kuchoma chips wakati anachoma chips alipokea simu nyingne kutoka kwenye Ile namba akamwambia naomba uniwekee shilling elf 30,000/ kwenye namba yangu hii ukiwa unaleta chips basi utakuja kuipata pesa Yako. Kweli bodaboda alifanya hivyo Kwa kumuwekea pesa hiyo kwenye namba hiyo, na baadaye aliendelea kuchoma chips
Baada tu ya kumaliza kuchoma anampigia simu namba haipokelewi, alipiga Mara 3 namba haipokelewi akasema afike eneo alilotajiwa hakukuta mtu yeyote ndipo aliponitafuta na kuniuliza nikawaambia ni kweli mtu huyo alinipigia na Mimi ndiye niliyemtumia namba
Nikajaribu kumpigia kwa namba yangu pia hakupokea, baada ya muda kidogo ndipo nilipogundua amemtapeli bodaboda kwa kupitia Mimi.
Please ndg zangu naomba share kadri uwezavyo watu wapate uelewa na kufahamu
Ina weza isiwe chai kabisa. Mimi kuna boda boda kama watatu ninaishi nao kama ndugu, naweza kuwagiza vitu vya kibandani hata vya 500,000, na kama ni float inazidi hiyo hela na ananilitea kwa kujidhamini mwenyewe kwenye maduka.Kuna boda gani mjinga kisi cha kutuma 30000Tsh kwa mtu asiyemjua ili akaifate akienda..?
Yaani nikuazime 30000Tsh kisha uniambie nitaikuta nikija (probably baada ya 30mins kwamfano), kama unayo ya kunirudishia nikifika hapo kwanini usiitumie hiyo badala ya kuniomba yangu.?
Haiingii akili, CHAI hii.
Usikalili ndugu kuna boda boda wanaishi vizuri na hiyo 30,000 inawezekana ikawa ni mapato ya siku moja.ngumu sana boda kuwa na hiki kiasi mfukoni
Hii Ni Chai
Hii Chai mtainywa wenyeweUsikalili ndugu kuna boda boda wanaishi vizuri na hiyo 30,000 inawezekana ikawa ni mapato ya siku moja.
Au unajuaje ilikuwa hela ya kumpelekea bosi wake baada ya siku Saba?
Huyu wa Mtaani hapa yeye alipigiwa simu akaambiwa namba yako nimepewa na Mwl fulani wa Shule fulani,ambaye huyu boda wanafahamiana,basi jamaa akamwambia nichukullie utumbo kilo moja niletee,jamaa akampigia tena kuwa namba nakupa itumie 1,600,000 mimi nipo na mafundi hapa home ukifika nakupa,yule dogo akaenda kwa wakala ambaye wanafahamiana yule wakala akamwambia ipo 1,200,000 tu,dogo akampigie yule jamaa simu kuwa ipo mil 1.2 jamaa akamwambia weka hata hiyo.dogo akaweka akawasha boda ili kumfuata alipomuelekeza,kufika pale anapiga simu haipokelewi,pesa imeenda ule utumbo kabaki nao.Kuna dogo mmoja ni shemeji nae walitaka kumpiga juzi. Yeye aligizwa dawa na maji. Baadae akaambiwa amnunulie luku. Yeye alikomaa kuwa hana hela jamaa akamwambie aende Kwa wakala anaejuana nae. Dogo bado akakomaa na akaamua kumpelekea tu hizo dawa na maji. Kufikia eneo husika ni pembeni ya Shule ambao aliambiwa akifika apige honi. Kweli bwana, dogo kufika pale anapiga honi akatokea mlinzi wa shule. Dogo kumuelezea ndio mlinzi anamshtua kuwa wengi sana wanaelekezwa waje hapo ili ni matapeli tu.
Uzuri dogo alifanikiwa kurudisha zile dawa Pharmacy na akapewa hela yake
Kuna boda iyo 30k anaingiza ndani ya masaa sita tu, saa 8 za usiku mpaka sa 2 asubuhi ila usiniulize anaipatajeLabda boda wa kijijin na Sio Hawa wa kijiweni