Njia kuu na strabag...

Njia kuu na strabag...

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
8,084
Reaction score
15,069
foleni foleni foleni njia kuu zimevurugika siku hz kila upitapo unapambana na STRABAG si kusini si mashariki si magharibi wala kasikazini njia kuu zote ni foleni na hizi mvua zinavyopiga ndio kabsaa njia kuu hazikaliki madimbi makorongo ya kutosha ..... bila michepuko na kupita vichochoroni unaweza kuilia weekend barabarani....

anyway: turudi kwenye siasa huku napo wanang'ang'ania kura ya wazi ila hawajui ukipiga kwa siri ndio ufanisi unaongezeka na tutapata misimamo ya kweli....ME NAUNGA MKONO KURA YA SIRI kwa nini kila mtu ajue
 

Attachments

  • FoleniDar.jpg
    FoleniDar.jpg
    22.2 KB · Views: 258
Hata hvyo hyo si njia ya strabag ila ujumbe ni ubaki njia kuu hata km kuna foleni!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Huku njia kuu kwanin kuwe na folen kubwa kiivi?
michepuko noo folen
 
Hata hvyo hyo si njia ya strabag ila ujumbe ni ubaki njia kuu hata km kuna foleni!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums

Foleni nyingi zinasababishwa na strabag siku hz !!! Ukiwa mtu wa kutojali muda ndio utabaki njia kuu ila kama u enjoy to keep time lazima uchepuke na vichochoro...
 
Leo tumeingiliwa MMU

Anaruhusu michepuko je anajua madhara yake

madhara yake ukikamatwa na traffic lazima akuandikie notification, wewe ukiona foleni mbele halafu hakuna traffic unafanyaje?
 
Ndio maana serikali kuu imeweka njia mchepuko zibasaidia sana halaf hamnaga mataa huko unakanyaga mafuta tu
 
Shortcut is the longest way you were not going! be precise stay on the highway , do not overtake do not divate do not tresspass .....!!!
 
Back
Top Bottom