Njia hii inafaa

Njia hii inafaa

CALMAN

Senior Member
Joined
May 23, 2013
Posts
190
Reaction score
56
Hi wana jf
Moja ya njia nilizofikiria kwa mwanaume kumpata mwanamke mzuri kwa maana ya tabia yaani wife material mweny kuheshimu mume, watu na kulea familia vzr ni kujifanya maskini wa kutupwa ungali tu unamali zako kwa kila mwanamke unayedhani anakufaa sharti acjue ukiona ameshndwa kuvumilia hali yako na kuleta dharau tupa kule atakayevumilia hali yako hata mwaka moja weka ndani ndo njia pekee ilobaki kupata mpenz wa kweli mbali na hapo anafuata kitu kingne siyo wew huenda pesa jitahd acjue atapretend. naomba mawazo yenu kama kweli inaweza saidia kwa kizaz cha sasa
 
kwa hiyo for an entire year unajinyima raha, unajifanyia uniko mwenyewe ili umuone atareact vipi?
 
Mwaka mzima is too much. Ila ukitanguliza pochi wakati unamapproach mwanamke ujue utavuna ulichopanda. Msiendekeze sana $$ kwenye kila kitu. Si lazima ujifanye masikini wa kutupa, mnyonge, useless etc. hayo yote ni turn-off na mwanamke pia ukumbuke anatafuta provider, yaani hata kama mambo ni magumu mwanamme hutabaki umeshika tama unajionea huruma. Mradi unachapa kazi to make things work, anajua at least unaweka jitihada kujipatia pesa. Lakini kila siku wewe pesa huna, kazi huchapi, why should she stay? Utakuwa mfano gani kwa watoto wenu? That is all 🙂
 
Unajisumbua. Mke mwema anatoka kwa bwana, we subiri ukiona amepewa tu talaka na bwanaake jiwahi.
 
ha ha ha mie nsivyoweza shida na nsivotaka kuijua.
Lazima wenzio wakusaidie
 
Dogo maliza shule kwanza...maisha ni safari na kuna vituo vingi...hicho cha mke subiri kwanza basi likifika utashuka hapo.
 
hahahaaa! naona bado uko tu na mdogo wako! hii ni thread yake ya tatu kwa leo tu ndani ya jukwaa la MMM! kazi unayo!
 
Hahaha kaka mkubwa ukiwa na mawazo ya kuoa katika umri mdogo na vilevile ukiwa hujajiandaa huenda ndio ukawa mwanzo wa kutofurahia maisha.
Ndoa inahitaji ukomavu wa fikra, mwili na kipato...ni zaidi ya tamaa ya kulala bila nguo.
 
ha ha ha mie nsivyoweza shida na nsivotaka kuijua.
Lazima wenzio wakusaidie

Hivi nyie wana adam! mnasema haya kulifurahisha jamvi au u really mean what u are saying?:yell:
 
Hahaha kaka mkubwa ukiwa na mawazo ya kuoa katika umri na vilevile ukiwa hujajiandaa huenda ndio ukawa mwanzo wa kutofurahia maisha.
Ndoa inahitaji ukomavu wa fikra, mwili na kipato...ni zaidi ya tamaa ya kulala bila nguo.

HOHOHOOOO! AISEE UMENIACHA HOI HAPO! walio nje ya uwanja hawayajui haya! "...ni zaidi ya tamaa ya kulala bila nguo."
 
Hi wana jf
Moja ya njia nilizofikiria kwa mwanaume kumpata mwanamke mzuri kwa maana ya tabia yaani wife material mweny kuheshimu mume, watu na kulea familia vzr ni kujifanya maskini wa kutupwa ungali tu unamali zako kwa kila mwanamke unayedhani anakufaa sharti acjue ukiona ameshndwa kuvumilia hali yako na kuleta dharau tupa kule atakayevumilia hali yako hata mwaka moja weka ndani ndo njia pekee ilobaki kupata mpenz wa kweli mbali na hapo anafuata kitu kingne siyo wew huenda pesa jitahd acjue atapretend. naomba mawazo yenu kama kweli inaweza saidia kwa kizaz cha sasa

......utazeeka mke hujampata!!!!!!!
 
Unaweza ukajifanya maskini na bado ukasalitiwa vile vile...kuwa na pesa au kutokuwa na pesa sio kigezo,Mapenzi hayana formula!!!
 
Mwaka mzima is too much. Ila ukitanguliza pochi wakati unamapproach mwanamke ujue utavuna ulichopanda. Msiendekeze sana $$ kwenye kila kitu. Si lazima ujifanye masikini wa kutupa, mnyonge, useless etc. hayo yote ni turn-off na mwanamke pia ukumbuke anatafuta provider, yaani hata kama mambo ni magumu mwanamme hutabaki umeshika tama unajionea huruma. Mradi unachapa kazi to make things work, anajua at least unaweka jitihada kujipatia pesa. Lakini kila siku wewe pesa huna, kazi huchapi, why should she stay? Utakuwa mfano gani kwa watoto wenu? That is all 🙂

Let me ask u HoneyBee .
- Kwani wewe kama mwanamke huna uwezo wa kukuingizia kipato mpaka uwe so dependant kwa mwanaume?
Nakubali kuwa a man has to be responsible to his wife/woman ila naona wanawake wengi wanadhani a man should be everything. Ni kama vile wengi wa wanawake hawana mikono, that's why most of u look into a man's pocket kabla hajaamua kuwa na uhusiano nae.
- Jaribuni kuangalia potential aloyonayo mwanaume, uwezo wa kufikiri na kufanya kazi...sio kila saa mnaangalia what a man has, by the way...hana guarantee ya kuwa nahiyo pesa siku zote so when he gets broke...u jump into another ship...pathetic!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hi wana jf
Moja ya njia nilizofikiria kwa mwanaume kumpata mwanamke mzuri kwa maana ya tabia yaani wife material mweny kuheshimu mume, watu na kulea familia vzr ni kujifanya maskini wa kutupwa ungali tu unamali zako kwa kila mwanamke unayedhani anakufaa sharti acjue ukiona ameshndwa kuvumilia hali yako na kuleta dharau tupa kule atakayevumilia hali yako hata mwaka moja weka ndani ndo njia pekee ilobaki kupata mpenz wa kweli mbali na hapo anafuata kitu kingne siyo wew huenda pesa jitahd acjue atapretend. naomba mawazo yenu kama kweli inaweza saidia kwa kizaz cha sasa
kuna movie flani hivi ya kinigeria ilikua hivi hivi baada ya jamaa kupiga dili la kuacha umaskini nin lakin bahati mzuri manzi ake alikua pamoja nae..mwisho wa siku wakahamia kwenye crib la maana..mixa ma Lincoln Navigator...kibao yan..title nimeisahau..!!!
 
Hembu niambie amu
N kwa asilimia ngapi unamtegemea mumeo/bf/mcumba wako?

achana na mimi changia mada kama huwezi/huna point kakojoe kalale
 
Last edited by a moderator:
Eli79 did you even read what I wrote au ulikurupuka tu? Kutegemea mwanamme awe na kipato haimaanishi kuwa nategemea kipato chake ili niwe dependent kwake. 2 incomes is better than 1. His income determines if he is a hard worker, or a worker at the very least. Ndio maana nilisema hata kama kipato hakitoshi ningependa kuona kwamba anachapa kazi na kufanya juu chini income ije, meaning I see the potential. Hata kama pesa haipo, inawezekana ikawepo in the future. Kama hachapi kazi, mwanamme huyu ni mzigo, the same applies for women. Hapa tunaangalia CHARACTER/TABIA za watu, si pochi. Na character ya mtu itaweza ku determine mambo yatakuweje wakati wa ndoa.

Chanzo #1 cha ugomvi kwenye mahusiano kati ya wanandoa ni PESA. Kama una mwanamke au mwanamme ambae hajui kutunza au/na kutafuta pesa NI MZIGO. Huo ni ukweli. Kusema kwamba umpende mtu hata kama ni useless kwenye mambo ya kujiinua kiuchumi ni unrealistic. Hugs and kisses don't pay the rent. I don't think it's pathetic to avoid anyone like this; it's called being smart.

Let me ask u HoneyBee .
- Kwani wewe kama mwanamke huna uwezo wa kukuingizia kipato mpaka uwe so dependant kwa mwanaume?
Nakubali kuwa a man has to be responsible to his wife/woman ila naona wanawake wengi wanadhani a man should be everything. Ni kama vile wengi wa wanawake hawana mikono, that's why most of u look into a man's pocket kabla hajaamua kuwa na uhusiano nae.
- Jaribuni kuangalia potential aloyonayo mwanaume, uwezo wa kufikiri na kufanya kazi...sio kila saa mnaangalia what a man has, by the way...hana guarantee ya kuwa nahiyo pesa siku zote so when he gets broke...u jump into another ship...pathetic!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom