Njia hii inafaa

Njia hii inafaa

Utakuwa ndio kwanza umetoka kuangalia filamu ya 'coming to america' ya eddie murph ya enzi zileeeee
 
Hahaha kaka mkubwa ukiwa na mawazo ya kuoa katika umri mdogo na vilevile ukiwa hujajiandaa huenda ndio ukawa mwanzo wa kutofurahia maisha.
Ndoa inahitaji ukomavu wa fikra, mwili na kipato...ni zaidi ya tamaa ya kulala bila nguo.

hapo kwa red...kama ni muelewa....lazima ajitambue....asante mangi...
 
Eli79 did you even read what I wrote au ulikurupuka tu? Kutegemea mwanamme awe na kipato haimaanishi kuwa nategemea kipato chake ili niwe dependent kwake. 2 incomes is better than 1. His income determines if he is a hard worker, or a worker at the very least. Ndio maana nilisema hata kama kipato hakitoshi ningependa kuona kwamba anachapa kazi na kufanya juu chini income ije, meaning I see the potential. Hata kama pesa haipo, inawezekana ikawepo in the future. Kama hachapi kazi, mwanamme huyu ni mzigo, the same applies for women. Hapa tunaangalia CHARACTER/TABIA za watu, si pochi. Na character ya mtu itaweza ku determine mambo yatakuweje wakati wa ndoa.

Chanzo #1 cha ugomvi kwenye mahusiano kati ya wanandoa ni PESA. Kama una mwanamke au mwanamme ambae hajui kutunza au/na kutafuta pesa NI MZIGO. Huo ni ukweli. Kusema kwamba umpende mtu hata kama ni useless kwenye mambo ya kujiinua kiuchumi ni unrealistic. Hugs and kisses don't pay the rent. I don't think it's pathetic to avoid anyone like this; it's called being smart.
HoneyBee
Wala sijakurupuka, i had to ask coz ur comment seemed to be more constructive na ndio maana nikataka kujua unaonaje mtu kuangalia kigezo cha what's in the wallet bila hata kufanya analysis ya mambo mengine ambayo ni vigezo muhimu hata kushinda hizo wallets.
Otherwise i concur with u.
 
Last edited by a moderator:
Hi wana jf
Moja ya njia nilizofikiria kwa mwanaume kumpata mwanamke mzuri kwa maana ya tabia yaani wife material mweny kuheshimu mume, watu na kulea familia vzr ni kujifanya maskini wa kutupwa ungali tu unamali zako kwa kila mwanamke unayedhani anakufaa sharti acjue ukiona ameshndwa kuvumilia hali yako na kuleta dharau tupa kule atakayevumilia hali yako hata mwaka moja weka ndani ndo njia pekee ilobaki kupata mpenz wa kweli mbali na hapo anafuata kitu kingne siyo wew huenda pesa jitahd acjue atapretend. naomba mawazo yenu kama kweli inaweza saidia kwa kizaz cha sasa


bado hujawajua wanawake na maisha kwa ujumla wewe , hii imekaa zaidi kifilamu/tamthilia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom