As of Kutangaza kwenye site yako naona waone promotion departmet zao watakupa jibu zuri zaidi (straight from the horses mouth...) as of hizo namba zinaitwa switch codes.., kwahiyo inabidi upate a switch code provider..., ambapo atakupa a keyword yako ambayo mfano unauza miziki ya ku-download watakupa utumia keyword ya muziki..., hivyo basi watu wakituma hiyo message wanakuwa charges a premium rate lets say tshs 500/= sasa hawa switchcode providers (middle men) watatoa percent zao; watawapa mobile phones operator za kwao na tcra za kwao mwisho wa siku utabaki na about 25% depending on your volume and bargain...,
Kuna njia mbili wanaweza wakakupa limit ya kwamba kwa mwezi utumie sms kama 3,000 na hapo hakuna upfront fees yaani wanakata cha kwao baada ya watu kutuma message.., au unaweza ukanunua upfront kiasi cha sms kwa mwezi na kuwalipa au na wewe kuwa reseller au broker na kuwauzia wengine...,
Kwahiyo mkuu tafuta short codes provider hapa bongo au east africa nadhani itakuwa cheaper au kama unataka kuwa shortcode providers unaweza ukaongea na kampuni kubwa ukawa reseller wao
ni vigumu kwa blog yenye visitor chini ya 2000 kwa siku na clicks chini ya 10,000 kuweza kupata matangazo moja kwa moja ila mimi nina wazo laweza kuwasaidia.
Kama kuna wana it wazuri wanaoweza kutengeneza publishing and advertising website wao wakawa wanachukua tenda and then wanawapa nyie manake mtandao huo huo hautaweza kushughulika na nyie wajasi mpo weng sanaaa
mmh! Kaka unakatisha tamaa bt asante kwa ushaurı
mkuu mbona umewahi kusema tamaa..
kwan lazma hao tigo? Mbona makampun meng tu yalipa? Jiunge adsense admob mojiva buzzcity hitcross wote wanalipa kama hivi
viwango vyote kwa dola.
1.yale matangazo ya yesu na yanayofanania kila click 0.01
2.matangazo ya kampun kama nokia au gameloft ya text(bila banner) 0.03
3.yenye banner 0.04
then kuna other ways ya kuearn money ni hawa jamaa wa shorten url ukiwaletea visitor elf 10 wanakupa dola 5
pia makampun ya downloads kama ziddu.com kila kitu unachoupload kikidownloadiwa wanakulipa
njia zipo nyingi sana but uwe aware na fake ni nyingi google awe rafki yako
As of Kutangaza kwenye site yako naona waone promotion departmet zao watakupa jibu zuri zaidi (straight from the horses mouth...) as of hizo namba zinaitwa switch codes.., kwahiyo inabidi upate a switch code provider..., ambapo atakupa a keyword yako ambayo mfano unauza miziki ya ku-download watakupa utumia keyword ya muziki..., hivyo basi watu wakituma hiyo message wanakuwa charges a premium rate lets say tshs 500/= sasa hawa switchcode providers (middle men) watatoa percent zao; watawapa mobile phones operator za kwao na tcra za kwao mwisho wa siku utabaki na about 25% depending on your volume and bargain...,
Kuna njia mbili wanaweza wakakupa limit ya kwamba kwa mwezi utumie sms kama 3,000 na hapo hakuna upfront fees yaani wanakata cha kwao baada ya watu kutuma message.., au unaweza ukanunua upfront kiasi cha sms kwa mwezi na kuwalipa au na wewe kuwa reseller au broker na kuwauzia wengine...,
Kwahiyo mkuu tafuta short codes provider hapa bongo au east africa nadhani itakuwa cheaper au kama unataka kuwa shortcode providers unaweza ukaongea na kampuni kubwa ukawa reseller wao
ni vigumu kwa blog yenye visitor chini ya 2000 kwa siku na clicks chini ya 10,000 kuweza kupata matangazo moja kwa moja ila mimi nina wazo laweza kuwasaidia.
Kama kuna wana it wazuri wanaoweza kutengeneza publishing and advertising website wao wakawa wanachukua tenda and then wanawapa nyie manake mtandao huo huo hautaweza kushughulika na nyie wajasi mpo weng sanaaa
mmh! Kaka unakatisha tamaa bt asante kwa ushaurı
makampuni makubwa huwa naangalia mitandao yenye users wengi.... sasa kama una users wa kutosha nenda ukawashawishi kitengo cha Advertisement
Cheki hawa jamaa ingawa binafsi siwajui nime-google utapata contact zao na unaweza kuongea nao kumbuka always to bargain na sio lazima kutoa upfront fees kama una uhakika wa wateja watakupa minimum amount ya sms za kutuma kwa mwezi na wenyewe watakuwa wanachukua commission yao katika kila sms na kuwapa mobile phones zao na wewe zakoTHANKS MKUU so kwa hapa Tz naweza kuwapata wapi au unaanzia wapi. so kumbe ni separate entity na hawa wenye mitandao?! nilidhani wao ndio watoa code