Naomba kujuzwa jinsi ya kuweka hizi (voda, tigo, Airtel, HALOPESA) Kama njia ya malipo kwenye website

Dkt Guston

Senior Member
Feb 28, 2022
105
110
Habari Wana Tech

Kuna start up yangu nimeanzisha nahitaji kwa mtu anayejua namna ya kuweka hizi (voda,tigo, Airtel,HALOPESA as gateway) Kama njia ya malipo kwenye website , sababu WordPress Kuna Plugin za PayPal na stripe ambapo kwa paypal waTanzania wengi hawana

Nahitaji kutumia njia hizi affordable kwa kila mtanzania awe na access ya kulipia Kupitia simu yake tu kawaida (nasoma comment zenu).
 
Habari Wana Tech

Kuna start up yangu nimeanzisha nahitaji kwa mtu anayejua namna ya kuweka hizi (voda,tigo, Airtel,HALOPESA as gateway) Kama njia ya malipo kwenye website , sababu WordPress Kuna Plugin za PayPal na stripe ambapo kwa paypal waTanzania wengi hawana

Nahitaji kutumia njia hizi affordable kwa kila mtanzania awe na access ya kulipia Kupitia simu yake tu kawaida (nasoma comment zenu)

Unatumia WooCommerce?
 
Tumai integration ya third party PESAPAL. Hapa utapata gateway za mitandao yote hapo.

Pesapal TZ

Ni simple tu kama dk 3 unamaliza integration unaanza kuaccept payment. Pia hata withdraw yao sio ngumu just few clicks unachomoa mpunga.

Honestly mimi huwa na prefer ku kode in app wallet alafu naweka simple ways za user ku depost fund. Hii inanisaidi ku monitor revenue zangi alafu pia nakwepa makato ya services zinazotolewa na hizo payment gateway.
 
Back
Top Bottom