jike la simba
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 494
- 346
Kwanini ?Hii thread itafungwa
Habari wanajamvi!
Mimi ninawatoto wanamatatizo ya kutokuwa na hakili darasani ,najitahidi kuwapeleka masomo ya ziada kwa ushauri Wa walimu lakini bila mafanikio.Na ninajitahidi kutafuta pesa ili watoto wangu wapate elimu bora na sio bora elimu maana wote wapo privet Islamic toka nasali wapo wanasoma private na ni wakiume wote ila mpaka nakuachizi kila siku wamwisho na ninajitahidi kushilikiana na walimu wanaowafundisha lakini wapi! Nisaidieni njia mbadala nifanyeje nimeleta huku kwa wadau labda nitapata mawazo zaidi nakosea wapi nijirekebishe.
hakili ndio kitu ganiHabari wanajamvi!

Watoto wamerithi kwa baba... si kosa lao.Habari wanajamvi!
Mimi ninawatoto wanamatatizo ya kutokuwa na hakili darasani ,najitahidi kuwapeleka masomo ya ziada kwa ushauri Wa walimu lakini bila mafanikio.Na ninajitahidi kutafuta pesa ili watoto wangu wapate elimu bora na sio bora elimu maana wote wapo privet Islamic toka nasali wapo wanasoma private na ni wakiume wote ila mpaka nakuachizi kila siku wamwisho na ninajitahidi kushilikiana na walimu wanaowafundisha lakini wapi! Nisaidieni njia mbadala nifanyeje nimeleta huku kwa wadau labda nitapata mawazo zaidi nakosea wapi nijirekebishe.
YHii thread itafungwa
Unachoomba mbona Hata wewe huna...hakili???? Ndo nini?Habari wanajamvi!
Mimi ninawatoto wanamatatizo ya kutokuwa na hakili darasani ,najitahidi kuwapeleka masomo ya ziada kwa ushauri Wa walimu lakini bila mafanikio.Na ninajitahidi kutafuta pesa ili watoto wangu wapate elimu bora na sio bora elimu maana wote wapo privet Islamic toka nasali wapo wanasoma private na ni wakiume wote ila mpaka nakuachizi kila siku wamwisho na ninajitahidi kushilikiana na walimu wanaowafundisha lakini wapi! Nisaidieni njia mbadala nifanyeje nimeleta huku kwa wadau labda nitapata mawazo zaidi nakosea wapi nijirekebishe.
Pole sana ila kunasiku atakulaumu mno,Wahamishe shule za Islamic na pia kama wanasoma chuo cha dini waache pia wakomae na elimu dunia tu ,mwanangu nilimsomesha Islamic nilijuta nikamuhamisha sasa hivi anaongoza darasani
Hakili=ajiliHabari wanajamvi!