jike la simba
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 494
- 347
Habari wanajamvi!
Mimi ninawatoto wanamatatizo ya kutokuwa na hakili darasani ,najitahidi kuwapeleka masomo ya ziada kwa ushauri Wa walimu lakini bila mafanikio.Na ninajitahidi kutafuta pesa ili watoto wangu wapate elimu bora na sio bora elimu maana wote wapo privet Islamic toka nasali wapo wanasoma private na ni wakiume wote ila mpaka nakuachizi kila siku wamwisho na ninajitahidi kushilikiana na walimu wanaowafundisha lakini wapi! Nisaidieni njia mbadala nifanyeje nimeleta huku kwa wadau labda nitapata mawazo zaidi nakosea wapi nijirekebishe.