Njia gani nitumie watoto wangu wawe na akili darasani?

jike la simba

JF-Expert Member
Jan 3, 2017
494
346
Habari wanajamvi!
Mimi ninawatoto wanamatatizo ya kutokuwa na hakili darasani ,najitahidi kuwapeleka masomo ya ziada kwa ushauri Wa walimu lakini bila mafanikio.Na ninajitahidi kutafuta pesa ili watoto wangu wapate elimu bora na sio bora elimu maana wote wapo privet Islamic toka nasali wapo wanasoma private na ni wakiume wote ila mpaka nakuachizi kila siku wamwisho na ninajitahidi kushilikiana na walimu wanaowafundisha lakini wapi! Nisaidieni njia mbadala nifanyeje nimeleta huku kwa wadau labda nitapata mawazo zaidi nakosea wapi nijirekebishe.
 
Vyote wanakuiga wewe
 
hakili ndio kitu gani
 
Watoto wamerithi kwa baba... si kosa lao.
 
Unachoomba mbona Hata wewe huna...hakili???? Ndo nini?
 
Vipi wewe ulikuwaje katika umri kama huo walio nao!?
...usisahau kuwa kinachofundishwa mashuleni wengi ni 'memorization of facts' sasa wanao wanaweza wakawa wanataka kufikiri on their own (creative) hivyo walimu wakadhani ni kutokuwa na akili. Chukulia mfano katika nchi ambayo umasikini na rushwa vimekithiri na hata vitabu vya shule vimeandikwa na makosa lakini unalazimishwa kukariri hayo yote ili uchukuliwe kama mwenye akili! ...si ina maana kwamba ukikariri vizuri hayo basi ukianza kuyatekeleza (practicing) utakuwa bora mara mbili!?
 
Habari wanajamvi!
Mimi ninawatoto wanamatatizo ya kutokuwa na hakili darasani ,najitahidi kuwapeleka masomo ya ziada kwa ushauri Wa walimu lakini bila mafanikio.Na ninajitahidi kutafuta pesa ili watoto wangu wapate elimu bora na sio bora elimu maana wote wapo privet Islamic toka nasali wapo wanasoma private na ni wakiume wote ila mpaka nakuachizi kila siku wamwisho na ninajitahidi kushilikiana na walimu wanaowafundisha lakini wapi! Nisaidieni njia mbadala nifanyeje nimeleta huku kwa wadau labda nitapata mawazo zaidi nakosea wapi nijirekebishe.
Hakili=ajili
Kushilikiana=kushirikiana
 
Mkuu Simply watoa katika Hizo taasisi za Kiislamu na Uwapeleke Shule ambazo hazina udini au za kikiristo,
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom