Nje ya mawazo ya Mwanadamu Mungu hayupo, hajawahi kuwepo, na hatakuwepo

Nashiriki katika mijadala ambayo siulizwi swali hilo. Ndiyo maana ulipouliza swali nimekujibu kwamba kazi hiyo nimeshaimaliza zamani.

Kwahiyo rejea katika hiyo mijadala ya nyuma.

Maana yake mlango huo nimeshaufunga na hakuna wakupinga nilicho kiandika. Kwahiyo haijalishi idadi za hapo nyuma lakini kwa sasa kazi hiyo nimeshaimaliza ndiyo maana hata katika mjadala huu tunamkosoa mtoa mada kwa uvivu wake wa kufikiri.

Unaposema nijikite kwenye mada wapi nimetoka nje ya mda kijana ?

Nakupa kazi hiyo warejeshe katika nyuzi ambazo tulijadiliana kuhusu ithibati ya uwepo wa Mola. Maana unaweza kukataa pia kama hatujawahi kujadili hili.

Sasa mboma unaleta dhana kijana ? Au umesahau kama hatujawahi kujadiliana kuhusu hili ? Kama ni hivyo unavyo sema,sisi tunasema hivi kilicho andikwa kimeandikwa,rejea hiyo mijadala ya nyuma kisha kosoa nilicho kithibitisha.

Hii kazi nimeshaifanya zaidi ya mara kumi humu na hakuna aliyeweza kukosoa ithibati wala hakuna aliye weza kuthibitisha ya kuwa Mola hayupo.
Kwani hayo maswali unayoulizwa hapa hujawahi ulizwa kwenye nyuzi zingine? Mbona unayajibu? Kwanini usiwaelekeze wakafate majibu ya hayo maswali kwenye hizo nyuzi zingine ambazo ulikua ukijibu?

Mi nadhani probably ni maswali mepesi kwa upande wako na ndio maana unajibu, ila swali la kuthibitisha mungu yupo huwenda ni swali gumu ambalo huna majibu sahihi na ndio maana hulijibu

Na sio kweli kua umewahi kuthibitisha, hata huko kwenye hiyo mijadala ulikua uanaishia kusema hivyo hivyo kua tayari nilishawahi kuthibitisha

Kama una pinga kua hujawahi kuthibitisha weka nukuu ya uzi ukiambatanisha na post ambayo ulithibitisha mungu yupo
 
Shida ni kuw umesoma angle moja tu ya philosophy ambayo ni logic tena kwa terminology tu.
Philosophy ni pana jarbu kuielewa kwa mapana yake
Swali lako liko nje ya topic, wala haihitaji elimu ya philosophy. Hizo ni kanuni za kimjadala
 
Kwani hayo maswali unayoulizwa hapa hujawahi ulizwa kwenye nyuzi zingine? Mbona unayajibu? Kwanini usiwaelekeze wakafate majibu ya hayo maswali kwenye hizo nyuzi zingine ambazo ulikua ukijibu?

Mi nadhani probably ni maswali mepesi kwa upande wako na ndio maana unajibu, ila swali la kuthibitisha mungu yupo huwenda ni swali gumu ambalo huna majibu sahihi na ndio maana hulijibu

Na sio kweli kua umewahi kuthibitisha, hata huko kwenye hiyo mijadala ulikua uanaishia kusema hivyo hivyo kua tayari nilishawahi kuthibitisha

Kama una pinga kua hujawahi kuthibitisha weka nukuu ya uzi ukiambatanisha na post ambayo ulithibitisha mungu yupo
Poa.
 
Ninafuga njiwa WENGI MNO na kila ninapokuwa na SHIDA nzito huamka saa 11 na kutoka na kapu langu lenye mchanganyiko wa MTAMA ,ULEZI ,MCHELE ,CHOROKO NA NGANO NZIMA....

Ninasimama uwani na kumtaja muumba mbingu na nchi kwa UTULIVU mno huku nikimuomba aniondolee MATATIZO YANGU kwa huruma kuu kama ninavyowahurumia hawa viumbe ninaowafuga.....NINAWAMWAGIA MZIGO WOTE ULIOKO KAPUNI na kuwawekea maji masafi katika makopo yao na kurudi ndani kujiandaa kutoka.....

Ni mwaka wa 5 huu amini usiamini kila ninapofanya hayo MAMBO HUFUNGUKA KIMAAJABU.....

Wewe nione mjinga tu.......

ALMIGHTY GOD(SUPERNATURAL POWER) DOES EXIST

#YetzerHaTov
 
Hujalielewa swali, sali halijauliza mambo

Swali ni unaweza kuthibitisha mungu yupo? Thibitisha
Unarudia jambo nililo lijibu zaidi ya mara kumi humu.

Siyo kwamba naweza bali nimesha thibitisha zaidi ya mara kumi humu.
 
Unarudia jambo nililo lijibu zaidi ya mara kumi humu.

Siyo kwamba naweza bali nimesha thibitisha zaidi ya mara kumi humu.
Humu wapi?

Ulimthibitishia nani? kwasababu mimi hujawahi kunithibitishia

Kama jibu ni refu basi nenda ka copy huko ulikojibu uje uliweke hapa tulione
 
Humu wapi?

Ulimthibitishia nani? kwasababu mimi hujawahi kunithibitishia

Kama jibu ni refu basi nenda ka copy huko ulikojibu uje uliweke hapa tulione
Unanipotezea muda,halafu unauliza maswali ya kijinga sana.
 
Mara moja tu, thibitisha hapa wote tuuone huo uthibitisho
Ishazidi mara moja na nimekwambia zaidi ya mara kumi.

Kwanza swali nililo kuuliza umekosea kulijibu kwa muktadha wa mtiririko wa kile ninacho kisema.

Sasa tuliza akili uwe unajibu swal ikulingana na munasaba husika.
 
Unawaza kwa sauti sana jombaa!

Ni kweli ulichosema there are no gods but God does exist.

Yes, umetoa maelezo mazuri kulingana na mtazamo wako.So,ni muda nami naomba nitumie sehemu kidogo kuprove kwamba God does exist.Mind you! I won't reference in any religious book, instead I will try to draw my conclusion based on simple argument.

Some philosophers do believe on existence of phyiscal world and spiritual world. I will not tell you what they say but try to visit how idealists conceptualize this world .

Sasa ni wakati wangu kuprove kwamba God does exist. The truth is, wote ni mashaidi kwamba evil and goodness do exist. Sasa kama haya yapo ni mwanadamu yupi kaonyeshwa kwamba ndo yupo nyuma ya uwepo wa hivi vitu viwili?

Kuhitimisha sikutaka nifanye reference kwenye religious books najua bado ingekuwa ngumu kwako kuelewa but guess what wanaobelieve on existence of God hawajawahi kuongozwa na reasoning instead wako guided na faith.
Mkuu umeeleza ki ujumla sana maana uko vizuri hebu jaribu kutulia uje ueleze kwa upana uwepo wa Sir God

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Ishazidi mara moja na nimekwambia zaidi ya mara kumi.

Kwanza swali nililo kuuliza umekosea kulijibu kwa muktadha wa mtiririko wa kile ninacho kisema.

Sasa tuliza akili uwe unajibu swal ikulingana na munasaba husika.
Sio kweli kua umewahi kujibu, hujawahi kujibu na ndio maana swali hili limeulizwa hapa.

Huko unakosema umejibu kwanini umeshindwa hata kuweka post namba ya uzi ili wote tulione hilo jibu?

Weka hata screenshot ya hilo jibu vinginevyo we ni mzushi tu
 
Back
Top Bottom