Njama za kuimega Sudan

Njama za kuimega Sudan

Naona al Qaeda AMi amekacha kujibu hoja kuhusu Ayaan Hirsi Alli.

Ayaan anasema kwene kitabu chake kipya cha Nomad:: nanukuu,

.''.and in Amsterdam's red-light district it was easy to see with one own's eyes that most of the clients of the prostitutes were not tourists but immigrants men. Many, if not most of them, were Arab, Berber, Turkish, and Somali''..mwisho wa kunukuu..

Hawa ndio waarabu koko al Qaeda fanatic walivyo two-faced..wanajifanya waenda masjid, wakitoka kule wanaeka kanzu pembeni kisha wanaenda kuchakachua mashoga..kwi kwi kwi..haya bana kila la kheri usitaazi AMi
 
Ami! hakika umejitahidi, lakini hapana kazi ngumu kama kumfundisha kipofu wa moyo. Moyo ukishaingia kiza ni kazi sana kiza kile kuondoka. Siwashangai wala hawanichukizi wale wanaopinga maendeleo ama kuukataa ukweli, kwani wengi wao ukweli moyoni mwao wanaujua ila kwa ujahili wao wanabisha ili kuwafurahisha wengine. Vivyo basi hujikuta watu hao wakitumika kwa manufaa ya wengine; Kichekesho ambacho mi hukiona ni kuhusu hiyo SUDAN wengi wa WATANZANIA na nchi nyinginezo hawaujui ukweli wa SUDAN, Wakaazi wengi wa Sudan ya kusini kabila kubwa ni Wanubi na jamii yake, na pia kuna makabila mengi madogo madogo kama waacholi, walugwara n.k. Kinyume na wanubi ambao wengi wao ni waislamu hayo makabila mengine wengi wao hawana dini. kanisa lilifanya jitihada toka miaka ya 1800 ili wabadilike lakini ilishindikana kutokana na mazingira ya kuhama-hama na vita zisizoisha baina ya koo tofauti na makabila. Lakini cha ajabu ukisikia wanasema WAKRISTO WENGI KUSINI MWA SUDAN!! Wakombolewe kutoka kwa WAARABU WAISLAMU wa KASKAZINI... Hii ni ajabu na kinyume na ukweli wenyewe. iko siku watakapomaliza kuigawa kitakachofuata ni VITA MPYA! Sijui itakuwa ya ukombozi mpya? kidini au baina ya makabila au koo??? Kwa kifupi tusubirie SOMALI nyingine.... WAGAWE UWATAWALE... Waafrika bado wako usingizini :embarrassed:

Na wewe nawe kama mwenzako Ami naona hufahamu vizuri siasa za Sudan:
- Kabila kubwa la Southern Sudan ni Dinka na si Nubi
- Kuacha masuala ya kutengwa kiuchumi na kuwa “second class citizens”, tatizo la vita vya Southern Sudan si Uislami vs Ukristu ni “forced Islamiation” kwa “Southerners” wote (wakristu na wanaofuata dini za kitamaduni ambao watu wanawaita “Animists”). Vita kali ilianza pale utekelezaji wa Sharia ilipoanza hapo 1983. Ndio maana John Garang alihusisha mapambano ya “self determination” na uhuru wa watu wa Southern Sudan kufuata itikadi za dini wanazopenda, ziwe ni “Christian,” “Animist,” “Islam,” etc na si kulazimisha watu kuwa Waislamu (wakati sera ya “Ismanization” ilipoanza, kama mtu hana jina la Kiislamu hakuruhusiwa kujiunga na shule/ chuo, kwa hiyo wote wenye majina na kiasili (“Animist”) na Kikristo ilibidi wabadili). Ndio maana hivi sasa Southern Sudan kuna watu wanaiwa majina na Kiislami lakini ni Wakristo au hawana dini (“Animist”)!
- Kuhusu hoja ya kwamba Waafrika bado wako usingizini, wewe unaona ni sawa tu kwa Southern Sudan waendelee kuishi maisha ya kudharauliwa, kutothaminiwa kiuchumi na kulazimishwa wafuate Sharia hata kama hawataki? Nakubali kwamba kuna “risk” za wao kupigana tena baada ya kujitenga lakini kwa sasa hizo ni "speculations." Kama kujitenga ni umamuzi wao wenyewe wa Southern Sudan wanaoufanya kwa KURA, wewe unaona unajua vizuri “future” yao zaidi kuliko wao wenyewe? Kwa mtizamo wa watu wa Southern Sudan ni kwamba matatizo kati yao wenyewe kwa wenyewe wanaweza kuwa rahisi zaidi kushughulikia kuliko kati yao na North.
 
Mimi nadhani wewe una matatizo ya kufikiri. Kwanza kumbuka kuwa Nyerere alichukua shule za wakristo Mpwapwa, ILBoru, Kigurunyembe morogoro, Hosptali kama Mhimbili, KULE MWANZA zote zilichukuliwa toka kwa Wakristo ili watz wawe moja. Na mwislamu kama wewe uweze kusoma na kuandika email kama unavyofanya sasa. Bahati mbaya unaandika uwongo. Wakristo wange lalamika shule zote na hosp zote hizo zirudi kwao nchi nzima itakuwaje? Maana ni nyingi sana kila mkoa kuna shule/hosp ilikchukuliwa IKIWEPO KIBAHA SEC nk. Tafakari.

Zile shule zilzotaifishwa na Nyerere zilikuwa zinamilkiwa na Wakristo lakini zilikuwa ni mali ya Waislamu na WTZ wote. Zile shule zilijengwa kwa hela za kodi za WTZ wakiwemo waislamu walikuwa wanatozwa kodi na Wazungu wakoloni.
Waislamu walipigania Uhuru upatikane kwa sababu walikuwa hawatendewi haki na Wazungu Missionaries. TZ ilipopata Uhuru tu, Nyerere aliwaahidi Waislamu kwamba shule zote zilizojengwa na Makanisa zitachukuliwa na Serikali kwa sababu hizo shule, SI MALI YA MAKANISA ni mali ya walipa kodi wa WTZ pamoja na Waislamu.
Jiulize kwa nini Wakristo wengi walikuwa hawataki kupigania Uhuru?
 
Zile shule zilzotaifishwa na Nyerere zilikuwa zinamilkiwa na Wakristo lakini zilikuwa ni mali ya Waislamu na WTZ wote. Zile shule zilijengwa kwa hela za kodi za WTZ wakiwemo waislamu walikuwa wanatozwa kodi na Wazungu wakoloni.
Duh! Wamisionari ndio waliojenga sio serikali ya wakoloni. Hivi leo kanisa fulani likijenga shule utasema ni kodi yako wew ustaadhi? Differentiation na integration ni ngumu, hata 1+1 unashindwa?
Hizi Madrassat al qaeda bwana, bomu tupu!!!
 
Ami! hakika umejitahidi, lakini hapana kazi ngumu kama kumfundisha kipofu wa moyo. Moyo ukishaingia kiza ni kazi sana kiza kile kuondoka. Siwashangai wala hawanichukizi wale wanaopinga maendeleo ama kuukataa ukweli, kwani wengi wao ukweli moyoni mwao wanaujua ila kwa ujahili wao wanabisha ili kuwafurahisha wengine. Vivyo basi hujikuta watu hao wakitumika kwa manufaa ya wengine; Kichekesho ambacho mi hukiona ni kuhusu hiyo SUDAN wengi wa WATANZANIA na nchi nyinginezo hawaujui ukweli wa SUDAN, Wakaazi wengi wa Sudan ya kusini kabila kubwa ni Wanubi na jamii yake, na pia kuna makabila mengi madogo madogo kama waacholi, walugwara n.k. Kinyume na wanubi ambao wengi wao ni waislamu hayo makabila mengine wengi wao hawana dini. kanisa lilifanya jitihada toka miaka ya 1800 ili wabadilike lakini ilishindikana kutokana na mazingira ya kuhama-hama na vita zisizoisha baina ya koo tofauti na makabila. Lakini cha ajabu ukisikia wanasema WAKRISTO WENGI KUSINI MWA SUDAN!! Wakombolewe kutoka kwa WAARABU WAISLAMU wa KASKAZINI... Hii ni ajabu na kinyume na ukweli wenyewe. iko siku watakapomaliza kuigawa kitakachofuata ni VITA MPYA! Sijui itakuwa ya ukombozi mpya? kidini au baina ya makabila au koo??? Kwa kifupi tusubirie SOMALI nyingine.... WAGAWE UWATAWALE... Waafrika bado wako usingizini :embarrassed:
avatar29596_5.gif

Afadhali umebadili avatar yako kureflect aina ya mageuko unayopigania!
 
Kila issue, lina strategic mbinu zake. My point is:
1) Umujaribu kuutizama uarabu pekee - ndio nikakujibu KUWA ubaguzi hauna kabila: Mbona waafrica pia wabaguzi tena hata wenyewe kwa wenyewe? Nami nikakupa mifano ya mamilion wengi waliokufa nchi nyingi tena jirani na Tanzania ili labla ufahamu kidogo. Hii sio sababu msingi ya kuzikata nchi ama sivyo Tanzania mtajikuta na bantustan 120.

2) Iraq strategic rahisi ili hata hiyo vita watu waisupport ni "mass destruction weapons" Silaha sizisopatIKana zimechangia vita. Kilichofuatia ni urahisi wa vita kwa kutia vitina kwa kuwagawa waislam kimadhehebu na hii imeback-fire vibaya sana. Miaka 7 leo haijaulia and marekani imekuwa stuck. Afgan ni nchi ina madini mengi sana Uqaeda usiokwisha unatumika. Pia moto haujamizimika

Suala la Sudan, main issue is Politics kuliko dini au ujinsia na ndio maana ni bora ukizungumza kutumia logic na analysis sio feelings na Ubaguzi mindset.
Kwanza Waarabu wa Sudan ni weusi kama wewe sasa tatizo lako ni nini? Kama unafikiri mgawanyo ndio solution so let is be so. What is the problem?
Dinka will next have to fight with fellow Dinku. It will be less burden anyway.

Sijawachukia waarabu wa sudan kwa ubaguzi wangu ila ni kutokana na ukatili wao dhidi ya waafrika wa sudan
 
Dervish675.jpg

Mbona hizi sura ni kama za watanzania!.Jee watanzania nao ni waarabu koko?.
Huyo jamaa aliyeshika fimbo kafanana sana na rafiki yangu fulani.Yule aliyevaa guo jekundu na kukunja mikono kifuani utadhani yule askofu aliyeshiriki kuapishwa Kikwete.Sasa jee wote ni waarabu?.

Hao hapo chini ni wanamgambo wanaoiunga mkono serikali ya Sudad dhidi ya njama za nchi za magharibi.Jee nywele zao zikoje?
images

Kwa hiyo Ami unataka kusema Waarabu wa Sudan na waafrika hamna tofauti au unataka kusema sudan hamna waarabu? Maana naona napoteza muda kuongea na mtu ambaye labda hajui kuwa kuna waarabu Sudan
 
Kwa hiyo Ami unataka kusema Waarabu wa Sudan na waafrika hamna tofauti au unataka kusema sudan hamna waarabu? Maana naona napoteza muda kuongea na mtu ambaye labda hajui kuwa kuna waarabu Sudan

Kweli Sudan wako waarabu iwapo uarabu ni lugha na waafrika ni wachache.Ama iwapo uarabu ni rangi na nywele basi waarabu Sudan ni wachache sana kuliko waafrika.
Najuavyo ni kuwa vitu hivi viwili Uarabu na uafrika havijulikani sana ndani ya Sudan kuliko vinavyojulikana nje yake.Watu huku maeneo yaliyo mengi hawana habari kabisa na vitu hivyo ukiondoa maeneo machache ambayo propaganda imepenya sana.

Tukubaliane kuwa wazungu ni watu wasiopenda binadamu wenzao mbali na nafsi zao.Hivyo kuwagombanisha watu kwa mbinu yoyote wala si shida kwao.Kufanya uovu au kuona uovu pahala ukamsingizia mwengine wala si jinai kwao.Wana uzowefu wa fani hii na kwa ufundi mkubwa kila eneo na namna yake.Nakumbuka kisa cha Livingstone na Tippu Tip.
Tatizo liko zaidi kwetu waafrika na waarabu.Ni watu dhaifu sana katika kufikiri na kung'amua mbinu hizi za tangu enzi za wazungu.Daima wanachonganishwa wakachukiana na kupiganishwa kama kuku.
Iraq, kabla hawajaingia wamarekani na waiengereza vinara wa mbinu hizi,hakukuwa na kuuwana kwa ushia na usunni au ukurdi na uarabu.Tangu waingie huko wairaq hawashikiki kila mmoja anamuona mwenzake adui.
Orodha ya vituko hivyo vya wazungu hao ambao dini yao ni ukristo ni vingi mno.
Ninachotabiri ni kuwa kuanguka kwa mataifa hayo kutatokana na dhambi hizi dhidi ya binadamu wenzao.
 
avatar29596_5.gif

Afadhali umebadili avatar yako kureflect aina ya mageuko unayopigania!
... hata tangazo lililomo kwenye avatar yako wadhani ni wachache wanaolitambua :teeth:

avatar28091_1.gif

vipi hizo avatar zikichanganyisha udongo wa muungano???:teeth:

Tukirudi kwenye mada:
Naogopa kutaja jina la mhusika kwa maana yeye hajui... ndio wanaosemwa kuwa wengi ni Wa-Dinka lakini kiuhalisia walio wengi ni Wanubi. Na kukuthibitishia hili kama una mtu yeyote MSF muulize atakusaidia. Binafsi nayatambua vema maeneo ya kusini mwa Sudan, nimefanya kazi maeneo hayo kuanzia moyo uganda mpaka juba. Na inasemwa pia kwamba Wa-Dinka wengi ndio wenye elimu. Kwa mujibu huu huu ndio maana SPLA ndio iliyokuwa ikijulikana kama wapigania uhuru wa Sudan ya kusini bila kutajwa wengineo ambao nao wakipigana na Serikali ya Sudan na kwa wakati huohuo na SPLA. Pia mjadili mana anapaswa kukumbuka mnamo miaka ya sitini wakati bwawa la Aswan likijengwa wanubi zaidi ya laki moja waliyahama makazi yao na kuingia kaskazini mwa Uganda na kaskazini magharibi mwa Kenya. Mjadili mada alichoshindwa kuweka wazi ni kuwa huko kusini mwa Sudan kuna zaidi ya makabila saba makubwa ambayo watu wake wengi ni Waislamu. Na miaka yote wameishi kwa kushirikiana na jirani na ndugu zao Wakristo. Tatizo linaanzia wapi? Miaka yote na mahala pote ambapo kama si wakoloni na wamissionari walipoandika historia, waliiandika kwa upotofu. Kwa makusudi na maslahi yao, na hili ndilo lililoko Sudan ya kusini kama ilivyo kwa biashara ya Utumwa Afrika ya mashariki. Ukisikia babu zetu waliteswa na waarabu.. hapasemwi na wale waingereza waliokuwa wakiwapakia kwenye meli kuwapeleka kwenye mashamba yao au kuwaulia baharini :embarrassed:
 
Kila issue, lina strategic mbinu zake. My point is:
1) Umujaribu kuutizama uarabu pekee - ndio nikakujibu KUWA ubaguzi hauna kabila: Mbona waafrica pia wabaguzi tena hata wenyewe kwa wenyewe? Nami nikakupa mifano ya mamilion wengi waliokufa nchi nyingi tena jirani na Tanzania ili labla ufahamu kidogo. Hii sio sababu msingi ya kuzikata nchi ama sivyo Tanzania mtajikuta na bantustan 120.

2) Iraq strategic rahisi ili hata hiyo vita watu waisupport ni "mass destruction weapons" Silaha sizisopatIKana zimechangia vita. Kilichofuatia ni urahisi wa vita kwa kutia vitina kwa kuwagawa waislam kimadhehebu na hii imeback-fire vibaya sana. Miaka 7 leo haijaulia and marekani imekuwa stuck. Afgan ni nchi ina madini mengi sana Uqaeda usiokwisha unatumika. Pia moto haujamizimika

Suala la Sudan, main issue is Politics kuliko dini au ujinsia na ndio maana ni bora ukizungumza kutumia logic na analysis sio feelings na Ubaguzi mindset.
Kwanza Waarabu wa Sudan ni weusi kama wewe sasa tatizo lako ni nini? Kama unafikiri mgawanyo ndio solution so let is be so. What is the problem?
Dinka will next have to fight with fellow Dinku. It will be less burden anyway.
Ndugu yangu hapa mtajitahidi kuwatoa watu wenye UJINGA lakini kwa sababu wengi wao ni WAPUMBAVU haitawezekana watoke katika UPUMBAVU wao. Hapana ugonjwa mbaya kwa wanadamu kama kutokumjua Mungu na kuuogopa ukweli. hapana tatizo kuu kama mtu kuziepusha fikra zake kuona yaliyo wazi. hapana kitu kiovu kama mtu kuusimamia uovu na kuikwepa haki...

Ndio maana hata Bwana Yesu aliwaita wale kuwa ni " WANAWALI WAPUMBAVU na HAWATAMBUI!!":embarrassed:
 
...
Tukirudi kwenye mada:
Naogopa kutaja jina la mhusika kwa maana yeye hajui... ndio wanaosemwa kuwa wengi ni Wa-Dinka lakini kiuhalisia walio wengi ni Wanubi.

Walioko Southern Sudan wengi ni Dinka na si Nubi na ndio maana kwenye majibu yangu hapo juu niliweka neno Southern Sudan kwa bold. Wanubi wana population kubwa vile vile lakini wengi wao georaphically wako north kutokana na mipaka iliyowekwa hapo awali. Kwa maelezo zaidi soma statistical information zozote za "Southern Sudan." Baada ya referrendum na kugawanjwa kwa Sudan mwakani, Wanubi wengi watabaki North Sudan na population kubwa ya Southern itaendelea kuwa Dinka!
 
Hivi Mnadanganyika vipi???Data watu wanakaa maofisini wanazipika??? Arua, Moyo na Soroti -Uganda hayo maeneo yako kaskazini mwa Sudan? ama hujui kuna mpaka na Sudan?? Je Juba na Darfur ziko kaskazini? sihitaji kukutajia vitongoji, ukipita barabara inayotoka Kenya ama Uganda humo njiani kuna misikiti ya kiislam na Wanubi hawana historia ya kuwa Wakristo na kumbuka pia Wanubi utawala wao ulikuwa ukianzia kusini mwa Misri mpaka kaskazini mwa Kenya na Uganda. Na humo wakifanya biashara na kuingiliana na koo (kabila) nyingi za Wadinka. Hivyo basi ukijua kwamba kuna wa-Dinka wengi katika maeneo hayo jua pia na Wanubi wamo na takriban koo zao saba ziko huko kusini mwa Sudani. Na wengine wao ni mchanganyiko na wadinka. Hii hainistaajabishi ni kama vile wachina wanapokuja Afrika huona sote tunafanana nasi tuwaonapo husema wanafanana KISA MACHO TU!!

HISTORIA YA WAARAB, WAISLAM na WADINKA kwa Ufupi:

Islam, Christianity and perhaps Judaism may have been features of Sudanese civilization from earliest times.(7) The Islamic states of Sinnar and Darfur traded with the Dinka and they had trading, cultural, and military contacts with many Islamic peoples.(8) During the Turko-Egyptian period (1820-1885) and the slave trade, the Arab dealers did not themselves engage in hunting down slaves, but relied mostly on native suppliers or middlemen. For example, in 1860, 110 armed Muslims accompanied by 1,000 Dinka undertook extensive raids against other Dinka groups.(9) Later in 1865, stations built on the Bahr El Zeraf conducted raids for slaves with the aid of Nuer clans, whilst certain Dinka entered into the slave trade for themselves.(10) Hence, in the early years of the Turkiyya, Dinka people were exposed to Islam by way of Muslim militiamen fighting alongside them for their own gains.

The slave trade was not the only representation of Islam in the Southern Sudan during the Turkiyya. Islamic teachers, or fekis, also made their way into the Southern Sudan following Northern traders in order to proselytize.(11) Members of the Egyptian government attempted, peacefully, to introduce Islam into the Southern region and during this period many Southern groups were converted.(12) During this period, a deputation of Agar Dinka chiefs travelled to Lado to complain to Emin Pasha, a European Muslim convert, that merchants had been seizing their children.(13) Emin Pasha was a Muslim and trusted by the Dinka, therefore it appears the Dinka did not always view Muslims in a negative context.

By 1863 slavery and violence increased.(14) With the removal of the previous weak Egyptian administration, the Northerners no longer needed to collaborate with various chiefs. They built$permanent bases (zeribas) and directly plundered the surrounding Southern groups. The influence of these Muslim Northerners now extended beyond their trading activities and Islam spread through the sanction of raiding expeditions under the guise of religion.(15) At this time, more Southern peoples became Islamicized, particularly those living in and around the zeribas.(16) However, the Dinka, exposed to the traders in much the same fashion, remained strangely impervious to Islam.

During the Mahdiyya, many Southerners, including Dinka, joined the Mahdists to drive out the colonial Turko-Egyptians.(17) In 1884 units of the Egyptian army, which comprised many Southern recruits, joined the Southern insurgents and the Mahdists. At this point, the Egyptian administration in the Bahr-al-Ghazal collapsed, and eventually vanished from the province.(18) In 1898, the Sudan came under the domination of the Anglo-Egyptian Condominium, and by this period many Southern groups had been Islamicized, however, the Dinka collectively did not number among them.(19)

It has often been argued that the Anglo-Egyptian Southern Policy, promulgated in 1930 by the Civil Secretary, Harold MacMichael, isolated the South from the North and halted the penetration of Islam into the Southern Region.(20) However, "Southern Policy" failed in one of its major objectives: to inhibit further Islamic influence. There were a number of administrative and economic reasons for this failure. Burton argues that colonial rule in the Southern Sudan can be viewed as beginning with a general lack of administrative policy, and then to a policy of benign neglect.(21) This factor, coupled with the world depression, affected British policy in the South.

Shortly after 1930, the Sudan was plagued by the oncoming depression, and staff in the Southern region were drastically reduced. Few Southerners were trained and promoted, and significant numbers of Northerners remained.(22) Arab-Dinka contact was widespread, particularly among the peoples sharing common grazing grounds of the Bahr-el-Arab/Kir River, and in the Western Twij region. However, adoption of Islam was on a minor scale among these Dinka,(23) even though, according to Dominic Akeg Mohamed, a Twij Dinka, during this period Dinka and Bagarra contact was common in his home town of Gogrial:

Intermarriages went on between each side and both of us constantly raided the other, not only for cattle but for women and children. Strangely, there was little adoption of Islamic culture or religion amongst the Dinka, even though there were a sizeable number of Dinka with Baggara names.......

Na kusema kwamba kuna Wakristo wengi Sudan ya Kusini ndio UONGO mkuu kuliko wote unaofanywa na WAONGO tuwajuao. Pia wa-Dinka wengi kusini mwa Sudan ni hawazitambui dini zetu hizi. Kwa mtu asiyejua wadinka ni jamii ya Walugwala na Waacholi walioko kaskazini mwa Uganda. Kiasili ni watu wasio wepesi kukusanyika na wageni, na hili linapelekea mashirika ya misaada kupata tabu sana kuwafikishia misaada kwa wakati husika. Wazee wa koo ndio wenye amri ya nini kifanyike katika maeneo yao. Msaada unaweza kupelekwa na kijiji kikakutwa kitupu watu wamehama baada ya kusikia kuna ujio. Kuna mambo yanaweza kukuchekesha kusini mwa Sudan lakini hata hapa kwetu yapo pia. Kupita kwa ndege ama helkopta ni tatizo tosha, niliwahi kuongea na bikizee mmoja wa ki-dinka alinieleza kwamba ndege za wazungu ziliwafanyia maafa makubwa. Nikamuuliza si za wasudani wa kaskazini alikana na kusema kwamba ni wazungu kwani hao wa kaskazini wakati wa shambulio walikuwa kijiji hapo. Hivyo basi hali hiyo ndio iliwapelekea kutoamini magari ama aina ya chombo chochote cha wasomi! mwisho wa kunukuu. (kuna kitu kimoja kizuri kusini mwa Sudan - katika kundi la watu ishirini angalau waweza kupata watu wawili watatu wanaongea kiswahili) Aidha na walio wengi wanaongea lugha zao na kiarabu pia - wao wanasema ndio lugha ya biashara.
 
Hivi Mnadanganyika vipi???Data watu wanakaa maofisini wanazipika??? Arua, Moyo na Soroti -Uganda hayo maeneo yako kaskazini mwa Sudan? ama hujui kuna mpaka na Sudan?? Je Juba na Darfur ziko kaskazini? sihitaji kukutajia vitongoji, ukipita barabara inayotoka Kenya ama Uganda humo njiani kuna misikiti ya kiislam na Wanubi hawana historia ya kuwa Wakristo na kumbuka pia Wanubi utawala wao ulikuwa ukianzia kusini mwa Misri mpaka kaskazini mwa Kenya na Uganda. Na humo wakifanya biashara na kuingiliana na koo (kabila) nyingi za Wadinka. Hivyo basi ukijua kwamba kuna wa-Dinka wengi katika maeneo hayo jua pia na Wanubi wamo na takriban koo zao saba ziko huko kusini mwa Sudani. Na wengine wao ni mchanganyiko na wadinka. Hii hainistaajabishi ni kama vile wachina wanapokuja Afrika huona sote tunafanana nasi tuwaonapo husema wanafanana KISA MACHO TU!!
Kwa hiyo ina maana unapingana na statistics za sensa zote za Southern Sudan zinazo onesha kwamba Dinka ndio wana population kubwa Southern Sudan?
Hii kuchanganya changanya hoja inasababisha tusieleweshane mambo vizuri. Umetoa hoja kwamba sehemu kubwa ya Southern Sudan ni Wanubi wakati si kweli, ni Dinka. Katika kutetea hoja yako umeleta hoja mpya inayoashiria kwamba watu wote wa Southern Sudan wanahusiana na Wanubi wakati hii vile vile ni uongo na opotoshaji. Dinka ni Nilotes ambao hawana uhusiano wowote na Wanubi ambao asili yao ni Egypt, (probably hamitic). Dinka wana uhusiano na makabila mengine ya kusini ambayo ni Nilotes kama Nuer, Shilluk, Atuot, Jur, Balanda, Anuak na Acholi ambao umewataja, etc. Article uliyo paste haina maelezo yoyote ya kuhusisha msingi wa hoja yako kwamba Wadinka wana uhusiano na Wanubi. Nuba Mountains walipo Wanubi ni sehemu ya Northern Sudan na baada ya Sudan kugawanyika, wengi wao watabaki North. Soma tena uelewe facts vizuri zaidi
Jambo ninalokubaliana na wewe mia kwa mia ni kwamba jamii ya Dinka iko nyuma sana na inahitaji aina fulani ya uamsho. Umeshajiuliza hii ni kwa nini? Ni kwa sababu walitumiwa na Waarabu na Wazungu kabla ya ukoloni na baada ya Ukoloni wakaendelea kutumiwa na Serikali ya Sudan bila ya wao kufaidika chochote kiuchimi na kijamii. Kwa hiyo ni kwa sababu hii hawaijui dunia, hawaamini mtu yoyote na wanataka kuendelea na maisha yao ya ujima (animist!). Hata baada ya kama wakipata nchi yao, wana kazi kubwa sana kusimama kama taifa.
 
admission letter,
unapoteza muda na watoto wa allah hawa!
Walichomeza madrassa ndo wanachoandika humu. Ngoja tu wasudani kusini wajipatie uhuru wao hata kama al Qaeda wa humu ndani hawataki. Mwanamageuko, ami na john10 bado wana hangover za 'Islam will dominate the world'
 
Unaonesha ni ufinyu wa kimawazo na ufinyu wa eleimu na kutovumilia au kukubali mawazo ya watu wengine. Usiingize mambo ya kidini kila ukishindwa hoja.
au hii ni ile "Fundamentalist of Kikiristo?".
Tena hizo propoganda za kuupakazia Uislam kila zinapozidi, SubhanallAH, ndio uislam unazidi kuPAMBA NA KUongezeka WA Watu wanaoslim na mfano mzuri angalia huko Ulaya na Marekani mpaka nchi zingine kukiri kuwa zinakuwa za kiislam kwa kipind kichache kijacho. Ukweli hauzimiki hata ukijaribu. Nakushauri soma ndio ujibu. Ndege na vifaru vikuuwa maelf ya watu wasiokuwa na hatia hiyo kwako sawa? na muonewaji ashukuru tu afe tu hii ndio dini yako ya haki! - wake up!
 
You're right. Huu mjadala niliutaka sana na nimejitahidi kujadiliana na hoja zangu hazina element yoyote ya dini lakini naona majibu mengi yanakwenda kwenye dini bila kuchambua siasa za Sudan as such. Kuna wakati nilijitoa kuendelea kuchangia huu mnyororo lakini nilishidwa kujizuia nikarudi tena nikidhani kuna watu wapya wamekuja na hoja mpya, lakini wapi, ni dini tu! Sasa naondoka moja kwa moja na sitarudi tena kwenye huu mnyororo. Hata hivyo namshukuru Ami kwa kutoa hoja na Mwanamageuko vile vile kwa kubadilishana mawazo!!
 
you saved your enegy! Nafikiri umeelewa wana ka ajenda ndio maana hata historia wanaikataa. Very funny!
 
Unaonesha ni ufinyu wa kimawazo na ufinyu wa eleimu na kutovumilia au kukubali mawazo ya watu wengine. Usiingize mambo ya kidini kila ukishindwa hoja.
au hii ni ile "Fundamentalist of Kikiristo?".
Tena hizo propoganda za kuupakazia Uislam kila zinapozidi, SubhanallAH, ndio uislam unazidi kuPAMBA NA KUongezeka WA Watu wanaoslim na mfano mzuri angalia huko Ulaya na Marekani mpaka nchi zingine kukiri kuwa zinakuwa za kiislam kwa kipind kichache kijacho. Ukweli hauzimiki hata ukijaribu. Nakushauri soma ndio ujibu. Ndege na vifaru vikuuwa maelf ya watu wasiokuwa na hatia hiyo kwako sawa? na muonewaji ashukuru tu afe tu hii ndio dini yako ya haki! - wake up!
na wewe uko ktk jihadi kama ndugu zako?
 
Back
Top Bottom