Njama za kuhujumu upinzani zabainika

Njama za kuhujumu upinzani zabainika

Kuna mahali nilikuwapo stationary kuna gamba moja likikuwa linasoma e mail kwenye laptop, e mail zote zilikuwa zina mihuri ya SIRI nilitamani nisogee kidogo nijue siri yenyewe ni nn lkn nilishindwa.ss tutapambana nao tu.afe kipa afe beki lazima tushinde safari hii.

Wewe mwenyewe Gamba unakoleza sukari tu hapa tumia akili yako kuangalia ushirikiano wa hizo document!!
 
Mipango ovu ya kila aina inayopangwa na dola ya CCM inazidi kubaini hivi sasa, Intelijensia ya CHADEMA iliyojichimbia kila walipo waovu hawa inajuza yakuwa kuna mikakati kabambe yakuhujumu wabunge na madiwani hasa kwenye halmashauri nyingi zinazoongozwa na CHADEMA,

Katika mikakati hiyo kwanza, wameweka alama nyekundu majimbo ya Hi, Ilemela, Iringa, Nyamagana, Msoma Mjini na Arusha Mjini,

1. Itaanza kamakata ya machinga katika halmashauri zote zinazoongozwa na Chadema,

2. Itaanzishwa bomoabomoa katika halmashauri hizo

3. Upo mpango wa kufunga akaunti za wabunge na madiwani wa CHADEMA, pia watawacheleweshea mafao yao.(utekelezwaji umeanza)

4. Wamepandikizwa vijana wa KITENGO kama wanachadema na wamechukua fomu za kugomea ubunge hasa kwenye maeneo ambayo Chadema inanguvu kubwa.

5. Mkakati wa kuwanunua makatibu na wenyeviti wa wilaya wa CHADEMA (Tayari wapo kwenye negotiations nawahusika)

6. Wanaandaa nyaraka feki za ubadhirifu katika halmashauri hizo.

NB:

Tayari Bot na TRA wameshaelekezwa kutoa waraka unaoagiza akaunti za wabunge (wa upinzani) zisimashwe kwa madai ya uhakiki wa taarifa zao. (waraka utawekwa)

Pia tayari akaunti za wabunge 15 mpaka sasa zimefungwa ambapo ufafanuzi yakinifu umekosekana kutoka kwa mamlaka husika

View attachment 269763
View attachment 269764

Mkuu yerico tunakutakia afya njema na kukutia moyo wala husivunjwe moyo na maneno ya wapinzani wetu.endelea kutuletea uoza huo unaofanywa na serikali ili tuwaadabishe siku ya kupiga kura
 
Big up bro sasa tutafanyaje ili umma wa watanzania wapate habari hizi ili yakitokea tujue la kufanya
 
Ila ccm kama ni kufa basi itahakikisha amani inatoweka kwanza.na watanzania tupo tayari kwa lolote kutetea haki zetu.
 
wanataka kuleta vita nchini Hawa magamba.wataisoma namba

Tujitahidi kuhamasisha wananchi wote familia zetu na marafiki zetu kuwakataa ccm kwa kuwapigia kura upinzani,kamwe wasiwachague ccm
 
hili la kupandikiza wagombea wao na baadaye kujitoa nafikiri lilishatahadharishwa..kumbuka ya Elibariki Kingu 2010..na hii hamiahamia CHADEMA iwe makini...

Huo ndio ukweli na juzi wakati nipo bukoba mjini nilisikia kuwa mwaka 2010 cdm walimuweka mgombea wao,ccm wakampatia fedha akakimbia
 
Wenyewe wanakalia upuuzi huku wanachama wao wanazidi kupukutika

Esther Bulaya aweka bayana kuhusu kuwania ubunge

IMEWEKWA NA Ahmad Machaku @ 9:32:00 AM

bulaya-akitoa-maoni.jpg
Aliyekuwa mbunge wa Viti Maalum CCM esther Bulaya, ameweka wazi hatma yake ya ubunge ndani ya CCM. Bulaya ameandika ujumbe huu katika AC yake ya Facebook leo asubuhi

"Habarini watanzania, nimesema nitagombea jimbo la Bunda mjini lakini sitogombea kwa tiketi ya CCM, sina ugomvi na CCM wamenilea na nimekulia huko, na kutogombea kwangu kupitia CCM kusihusishwe na mtu na nafasi ya Urais. Ila nimelitumikia Taifa langu nikiwa CCM naona nitalitumikia Vizuri zaidi nikiwa kwingine. Kumbukeni chama ni njia ya kupita ila umuhimu wa kulijenga Taifa letu ni la watanzania wote bila kujali vyama vyetu. Mungu ibariki Tanzania'
 
uzuri ni kwamba MUDA ni Mwamuzi asiye na upendeleo, akishafika atatoa hukumu ya haki kwa kila tendo na kwa kila neno kwa ujumla wake
 
Mipango ovu ya kila aina inayopangwa na dola ya CCM inazidi kubaini hivi sasa, Intelijensia ya CHADEMA iliyojichimbia kila walipo waovu hawa inajuza yakuwa kuna mikakati kabambe yakuhujumu wabunge na madiwani hasa kwenye halmashauri nyingi zinazoongozwa na CHADEMA,

Katika mikakati hiyo kwanza, wameweka alama nyekundu majimbo ya Hi, Ilemela, Iringa, Nyamagana, Msoma Mjini na Arusha Mjini,

1. Itaanza kamakata ya machinga katika halmashauri zote zinazoongozwa na Chadema,

2. Itaanzishwa bomoabomoa katika halmashauri hizo

3. Upo mpango wa kufunga akaunti za wabunge na madiwani wa CHADEMA, pia watawacheleweshea mafao yao.(utekelezwaji umeanza)

4. Wamepandikizwa vijana wa KITENGO kama wanachadema na wamechukua fomu za kugomea ubunge hasa kwenye maeneo ambayo Chadema inanguvu kubwa.

5. Mkakati wa kuwanunua makatibu na wenyeviti wa wilaya wa CHADEMA (Tayari wapo kwenye negotiations nawahusika)

6. Wanaandaa nyaraka feki za ubadhirifu katika halmashauri hizo.

NB:

Tayari Bot na TRA wameshaelekezwa kutoa waraka unaoagiza akaunti za wabunge (wa upinzani) zisimashwe kwa madai ya uhakiki wa taarifa zao. (waraka utawekwa)

Pia tayari akaunti za wabunge 15 mpaka sasa zimefungwa ambapo ufafanuzi yakinifu umekosekana kutoka kwa mamlaka husika

View attachment 269763
View attachment 269764

Hamia CCM basi kama unaogopa kuwa upinzani
 
uzuri ni kwamba MUDA ni Mwamuzi asiye na upendeleo, akishafika atatoa hukumu ya haki kwa kila tendo na kwa kila neno kwa ujumla wake
 
Huyu Yericko Nyerere , ana hadithi za kijingajinga sana! yaani kumbe unataka halmashauri zisikaguliwe, mipango miji isifanyike eti kwa kuwa kuna chadema! upuuzi! Na hizo barua unazoleta hivi dunia ya leo bado kuna watu wanaandiakiana barua za siri mpaka we uipate!!? utoto huu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom