Njaa ya Mabinti Bwana

Baba Enock, heshima yako nimeishusha, yaani mkeo unamuita vuvuzela!!!!!!!!! khaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!! nilikuwa nasikiaga watu wanasema mitaani sasa hii ni live bila chenga, hebu futa jina hilo harakaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
Na kumbe una nyumba ndogo eeeeeee, jamani why!!!!!!!!!!!!!

aine,

Narudia tena "live" bila chenga - nina vuvu.zela na nina mipango ya pembeni mingi tu...!

Sawa?
 
Dawa yao mbona ndogo tu mkuu,1.Tafuta hotel ya kitalii yenye exit 22.Nenda nae kama kawaida 3.Mwache aagize kama kawaida yake,nawewe agiza sana4.Kuleni/kunyweni ikifika katikati jipigishe simu5.Nenda kapokee simu huko,ukimaliza chapa lapa ukalale hm6...............................Ha ha haaaaa dont try that at home pls.
Hapana ! hapana ! hapana !! Wengine wanaweza kufanya hivyo kikweli kweli. Msitoroke na pesa lipa tu ili demu akuheshimu.
 
Hii mada ina wachangiaje wengine nisiokubaliana na mawazo wanayotoa lakini imenibidi nicheke. Sasa huyo anayekuonyesha kuwa ni bingwa wa kutumia afu anaomba na kuvishwa pete in three months. wenzie wachunaji hawana mpango na ndoa na wakitaka kuolewa basi hawamchuni bwana harusi mtarajiwa maana nani ataoa mama matanuzi. Hata mwenye fweza lazima akache maana kuna leo na kesho ndio pale pesa ikiikata wife anatafuta minjemba nje.
 
Dawa yao mbona ndogo tu mkuu,

1.Tafuta hotel ya kitalii yenye exit 2
2.Nenda nae kama kawaida
3.Mwache aagize kama kawaida yake,nawewe agiza sana
4.Kuleni/kunyweni ikifika katikati jipigishe simu
5.Nenda kapokee simu huko,ukimaliza chapa lapa ukalale hm
6...............................

Ha ha haaaaa dont try that at home pls.




.......lol, una visa wewe.
 
Mie naona hivi

1. Nyie wanaume walala hoi mna majigambo sana! mkianza kuongea na sisis unaanza oooh! unajua nimeagiza Gx V8, iko bandarini! Wiki iyajo naenda hong kong kufuata mzigo, sijui dreva wangu yuko wapi sahiz etc! Sasa wewe pesa zako za mawazo unaongelewa mambo makubwa, sasa kwa nini tusijifanye na sisi tupo juu? Ukila majani ya juu tunakula wote baba, ukishuka ya chini washuka mwenyeweee kama akili zako zilikudanganya kila mwanamke anapatikana kwa kudanganywa mtajiju! muwe wakweli bwana, sisi tunaelewa, sema ukweli kwamba unapesa za mawazo kama umependwa mambo yanaendelea kimaskini maskini, tukienda bar nanywa maji, chips dume/ndizi choma na siku hauna tunakununulia na wewe! Huwa tunakasikira sana unapokuja na majigambo wakati sura inaonyesha umechooka, na hapo ndo tunawakomesha

2. Wanawake wengine tuna tamaa! tunapenda kuonwa babu, na tunataka tupate uhakika unajiweza sio unanunua bavaria unakua na mawazo hadi akili ! siku nikiwa na shida uweze kunisaidia. Huo ndiyo mfume dume kaka zangu mlioutengeneza. Ndo mana mimi nikimchikua mwanaume nikimlisha na kumvisha mnamwita marioo? basi kazi kwenu, mmeyataka mwenywe na tunautumia mfumo huo.

3. Tunapokuja wanne au zaidi wakati wa mwaliko inaashiria mambo mawili, kwanza mwanaume hajakubalika kilichobaki ni kumkomesha kwa kuja na kuagiza vya gharama tu hadi upasuke kwa mawazo. Pili, unakua haumjui mwanaume so lazima uende na rafiki yako angau akupe cmpny yasije kukuta mwenyewe. sasa we unaona tumekuja wanne unafikiri hatuelewi? tunaelewa sana tu nini tunafanya na kawaida huwa tunakuangalia machoni tunapoagiza vya gharama tuone unavyoangaika utafikri kiti cha moto
 
Mimi ninapokuwa na mahusiano (ya pembeni maana tayari nina vuvu.zela ndani) na msichana huwa najisikia kama anipenda asipo nipiga mizinga!!!

Akijua nia yako ni kumtumia tuu hapo kwenye red na yeye lazma akutumie ili mkiachana awe katumika kwa faida
 
Hivi jamani ni kwa nini Mabinti/Wasichana huamini kuwa rafiki wa Kiume ni mtu wa kupigwa Mizinga kwenye kila kitu, kuanzia vocha, simu, mavazi, shida zingine za uongo, n.k? Ni kwa nini ukitoka naye anaagiza vitu vya thamani wakati hajui ulicho nacho mfukoni na wakati huohuo mfukoni anakuwa hana fedha za kutosha anachojigharamia? Utasikia niletee Savannah/Heineken/Miller/Serengeti Ndogo. Niletee Chips na nusu Kuku halafu weka na mayai mawili. Utadhani ndo siku mwisho kula. Hivi hawa watu hawana mawazo ya savings/maendeleo? Wanafikiria leo hapo mezani tu? Na ndo maana jamaa wengi huishia kula mara moja, ya pili ni kwa nadra sana.



Ukianza nae kwa kutanguliza mshiko uhakikishe unaendelea hivyohivyo............ ukibadilika tu na yeye anabadilika!!


MTOTO UMLEAVYOOO..........................
 
Hivi jamani ni kwa nini Mabinti/Wasichana huamini kuwa rafiki wa Kiume ni mtu wa kupigwa Mizinga kwenye kila kitu, kuanzia vocha, simu, mavazi, shida zingine za uongo, n.k? Ni kwa nini ukitoka naye anaagiza vitu vya thamani wakati hajui ulicho nacho mfukoni na wakati huohuo mfukoni anakuwa hana fedha za kutosha anachojigharamia? Utasikia niletee Savannah/Heineken/Miller/Serengeti Ndogo. Niletee Chips na nusu Kuku halafu weka na mayai mawili. Utadhani ndo siku mwisho kula. Hivi hawa watu hawana mawazo ya savings/maendeleo? Wanafikiria leo hapo mezani tu? Na ndo maana jamaa wengi huishia kula mara moja, ya pili ni kwa nadra sana.

Hivi kwani we unaepigwa mzinga ni kipofu mpaka ulalamike. Hivi unashindwa kujua kwamba huyo mwanamke anaekufanyia hivyo hakupendi yaani hajisikii kabisa kuwa na wewe ndio maana anakukomoa. Hayo ni matunda ya kuacha wanaowapenda kwa dhati na kwenda kuvamia wasiowapenda.

Wanawake wenzangu ni mashahidi, tukimpenda mwanaume kwa dhati hiyo mizinga huwa anaisikia kwa nadra sana kiasi kwamba hata mwenyewe haoni kama ni mzinga. unless uwe huna kazi kwa kipindi hicho.
 
Mimi siku ya mwisho aliomba hela nikampa .Baada ya kutia mkobani akasema hazitoshi, " Baby kesho si uataniongezea eee?" Nyambafu, kuanzaia siku hiyo nikahama voda moja kwa moja , nikahamia eateli . chaaaa.
 
Kama binti anapenda kuolewa na wewe hawezi kukufanya buzi.

Anapojua kuwa uhusiano wenu ni short time,lazima apate faida kwa kukuchuna na kuharibu mfuko ako.
 
Hao wawili...siku hyo hudumu sana,kagonge moja alafu yet umechukua namba ya ile nyingine pindi moja ikienda huwani,hyo ya namba kamalizane naye kesho yake

mshikaji wangu mmoja alikuwa na mshikaji wake pamoja na demu wake,yule asiye na demu ndo alikuwa the Don akatoa sana mpaka yule demu akaanza kumuonyesha the provider 'G' yake,hee!the provider kuona vile akatega pindi mwenye demu alivyoenda toilet,the provider akabeba mzigo nilishangaa nagongewa mlango nitoe chance,toba!!

msela akaweka roki,akapewa G-spoti,sijakaa sawa nikamwona mwenye mzigo analia anawatafuta wanaomalizana,mie nikamwambia sijamwona mtu,nikacheka saaana na kamwe sitaisahau,lakini hii ndo dawa...pata uwezo zaidi,kazi ni kwako!
 
Jiulize mlikutana wapi wakati mnatongozana kama ulianza kwa kujisifia na mambo kama hayo kwa nini asikuombe hivyo vitu?
Heheee! kama unamchukua kwa starehe zako tu huna malengo ya msingi kwanini asikuombe au asikufanye atm wakati anajua huna future nae
 
Nawe bwana huna za kutosha mfukoni
Usimpeleke samaki samaki..
Mwingize mama ntilie...

Namaanisha unampeleka sehemu ambayo
Wewe wa.weza ku afford ....
 
no money no honey,so wewe gharamika then gonga kimtindoi alafu sepa. iyo ndo kawaida ya mademu wa siku hizi hasa hawa vicheche, ila sisi waume za watu tushazoea na sahivi wanatupenda wenyewe.
ila inakuwaje nawe sahvi demu umweleze unampenda,chamsingi mkute road pale ifm kamata mkono ingia pale savanah mpe glass mbili za wine then kamata tena mkono peleka kwenye hotel ya karibu na anapoishi kula mzigo tena kamata mkono rudisha nyumban kwao. subiria simu kesho asubuh ya kukumis then nawe jibu i miss u too.mchezo kwisha divert namba yake kwa wife akipiga tuu anapewa makavu yake,.unasonga mbele kwa kichwa kingine.
 
Anza kukataa kutumika kwanzia mwanzo....mtu anataka chips kuku sijui na vinywaji gani kila siku wakati kabla yako alikua anapata mara moja moja kwaa bahati??!


Lizzy, sometimes nikisoma comments zako, I wish ningekuwa mwanaume, nikaleta posa kwenu!
 
most of the girls nowadays wanauza dudu indirectly,yaani ni bora watuambie tuu kwa tunachokitaka tunatakiwa kulipia kiasi gani,kuliko mizinga ya mtindo huu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom