MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,330
[SUB]Naomba nieleze wazi kuwa Mbunge wa Arusha siyo mvuta bangi wala mnywa Viroba. Ni mwanaharakati anayehitajika kuwatoa vijana katika kizazi cha giza, uoga na kutojiamini. Falsafa ya Lema haiingii akilini mwa wakandamizaji wa demokrasia wala wanaopenda kuwajengea watu nidhamu ya uogal!!.
Hawa ndio wanaomwona Lema kama mvuta bangi kwa sababu akili zao haziko smart na alert enough kumwelewa. Infact wao ndio waliopaswa kuitwa wavuta bangi na walevi na sio Lema.
Falsafa yake itachukua muda kukubalika kama ilivyokuwa kwa akina Galileo na Aristotles ambao idea zao zilikuja ku prevail zaidi katika vizazi vilivyofuata.
LONG LIVE LEMA!!!
[/SUB]