Niwaulize watu wa Arusha, mnataka mageuzi gani?

Niwaulize watu wa Arusha, mnataka mageuzi gani?

Nimechangia kuwa tumeanzia kuifuta ccm kanda ya kasikazini, kadri elimu inavyoongezeka pande zingine za nchi, deleting ccm itaendelea, mbegu zingine zimeshamwagwa mkoa wa morogoro. Ccm have to die ili tz ipate kupona.

Haya bwana Chapa Nalo Jr,
 
CCM ya nini wakati hata rais wetu anatekeleza ilani yetu.
 
Mimi ni mwarusha naishi Kisongo lakini kwa Arusha naona kabisa watu wengi hawajui hata maana ya uchaguzi, ndo maana nimeamua kupita kuleee. Kwao Lema ndo mtu wa maana kuwaletea maendeleo wakati hana issue kila siku ni maandano na wao ni kufuata mkumbo tuuu na kupigwa na police.

CHAGUA MONABAN BHANA ARUSHA TUPATE MAENDELEO.

Kwa hiyo hao wa mkoa wa Dodoma, Tabora,na kwingine ambako ccm imevuna sana wabunge wao wamewaletea maendeleo yapi!? Elewa kuwa watu wa kasikazini wanajua kujitafutia mafanikio wenyewe hata masisiem wakizuia bajeti isiende kule.
 
kwani ccm imefanya nini Rukwa.katavi songea pamoja na kuipigia kura miaka yote ccm haitakaa ishinde Arusha as long as lema Anagombea,Lema alihangaika watu wajiandikeishe ccm mkiwa mmelalal
 
Shida ni nini kwani...! Arusha tunamtaka lema...na si vinginevyo...
 
Huku A.twon tulishaifuta ccm sikunyingi tuna mpango wa kuchukua yale majengo ya ccm tuna ya badili rangi.tu
 
Baadhi yao wanataka viogozi watoke kwao sio maendeleo kwani kama maendeleo kwa ni siku nyigi yalishaanza kuwafikia tangu enzi ya Tanu
Hata leo ikitokea kugombea uraisi bila kujali chama akiwa ccm ATC watampa tu kwakua katoka huko ndio maendeleo watayo
 
Ahaaa kumbe hapa ni pa maccm tuui? Kwaheri
 
Mh. Lema ndio anajua Wana wa Arusha ndio wanaitaji nini hakuna mtu kama Monoban anayejua wana Arusha wanaitaji nini
 
Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Mbeya, Morogoro na hata dar es salaam wanajua kwamba ccm ni ile ile hivyo hawakutaka kudanganyika na ahadi kibao, wamefanya kile ambacho kizazi chao hakitawalaumu

Kumbe sasa Ukawa walishinda sehemu ya mikoa hiyo 4 na sema na huo wa dar inakuwa 5, ok chukua na Pemba. Kumbuka nayo ni sehemu tu, ni baadhi tu ya majimbo! je mikoa mingine yoote hiyo kura zilienda wapi?

Halafu Lowasa Ameibiwa Kura!!!
 
Ni kawaida ktk siasa za vyama vingi chama hujijenga ktk eneo fulani na hiyo inakua ni ngome ya hicho chama, hata kwa hao wakubwa wanaotufundisha siasa ya vyama vingi ipo hivo, kwa hiyo cuf kujichimbia Pemba, cdm kaskazini, act kigoma CCM Dodoma ni vitu vya kawaida, ukisema majimbo nchi nzima yawe ya CCM basi itapoteza hata ile dhana ya demokrasia ya vyama vingi, hivo ni jukumu la kila chama kujichunguza kwa nini hakina wafusi ktk eneo fulani ili kujua sababu na kuzifanyia kazi
 
Wezi wa kura mnawatafuta nini watu wa Arusha? Mmesema kuwa Rais hawezi kutoka Kaskazini sasa mnawatafutia nini?
Kwamba labda mnataka kwa kuwa Magufuli amekuwa raisi awashitaki na kuwafunga watu fulani wenye kutuhumiwa kwa makosa yaliyoyumbisha taifa, (watajeni)
-labda mnataka watu fulani wafukuzwe chamani (watajeni)
-labda seraikari ifanye abc.. (taja)
-labda chama kifanye abc... (taja)

Kisaidieni CCM kufahamu haja ya mioyo yenu ili kipate wachumba (wabunge na madiiwani) wawili/watatu kutoka Arusha na Kilimanjaro, nina imani mtakisaidia kuelewa mambo muhimu ya kufanya kwa faida ya mikoa hiyo na taifa kwa ujumla, pia kujenga umoja wa kitaifa na kuepuka utengano maana tunakoelekea ss kuna siku watu watataka kujitenga na kuunda taifa lao au jamii fulani ya watanzania kuonekana ya wanaojikweza kisha tukabaguana waziwazi.

Tukisaidie CCM kirudi kuwa chama chakitaifa hata kama kuna vyama vingine.

(Siku nyingine tutashauri vyama vingine niini cha kufanya ili vijenge sura ya kitaifa
 
Siyo rahisi kufuta matendo na maovu ya CCM. Kwa nini waambiwe sasa na ili iweje?
 
Magufuli mwenyewe haitaki CCM sembuse watu wa Arusha!!! kama unabisha tafuta mahali kwenye kampeni ni mara ngapi Magufuli alisema ichague CCM!!!!
 
Back
Top Bottom